habari wakuu,
nina tatizo linanisumbua nimeona niliweke hapa jamvini mnisaidie.nina ujauzito wa wiki 10 sasa,tatizonililo nalo ni kusikia njaa kupita kiasi kila wakati.yaani nakula sasa ivi...
Wakuu habari za muda huu!
Leo nimekutana na mkanganyiko wa majibu ya HIV test baada ya kumpima girlfriend wangu...
Kwanza ilionesha Single Line Kwenye Control "C" baada ya dk 5-10 hivii tangia...
Nahisi nina virusi viko kwenye korodani kila Niki test HIV nakuta Niko negative nikwa muda sasa zaidi ya miaka 8. Toka siku nilivyovipata kwa njia ya unsafe sex nilihisikabisa kuwa vinaniingia...
Mimi ni kijana wa miaka 20 nilianza kujichua miaka 8 iliyo pita sikujua kwamba kuna mazara kwaiyo niliendelea na mchezo ule siku hangaika na wasichana paka sasa ndiyo naona mazara yake nguvu...
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU TATIZO HILI
Hivi tatizo kupinda kwa uume husababishwa na nini?
Je, wanawake huwa mnafeel nini wakati wa tendo na uume wa namna hii?
Je, hii hawezi...
Katika pita pita zangu mitandaoni, nimekutana na video ya mzee akielezea namna alivyotibiwa ugonjwa wa presha na ganzi ya miguu kwa njia ya reflexology, sasa nataka kujua hii tiba ni ya kweli? na...
Samahan jamani nimecheki magonjwa kibao sikutwi na tatizo lakin mtu bado najihisi naumwa, ukimwi ndo karibu mara nane sasa tangu mwaka uanze lakini hamna kitu nataka kujua nikipimo gani unaweza...
Nina mtoto wa wiki tano na siku 4 anasumbuliwa na tatizo la kukosa choo leo ni siku ya 14 hajapata , na hiyo mara ya mwisho kupata choo na penyewe alikaa siku 11 bila kupata choo ndipo akapata...
Kizazi chembamba (Cervical stenosis)
Ugumba unaweza kutokea kwa sababu manii hayawezi kupita kwenye mlango huo ili kwenda kulirutubisha yai, hali hii huweza kusababisha mkusanyiko wa damu katika...
Wakuu habari za muda.
Juzi kati kuna demu flani hivi nilisex nae, sasa siku iliyofuata nikawa nahisi uchovu na usingizi kutwa mzima.
Wakuu hii ni dalili ya nini?
25ml mbili sampuli ya maziwa ya binadamu.sampuli ya Mkono wa kushoto ni maziwa ya kwanza, maziwa majimaji yanayotoka kutoka titi lililojaa. sampuli ya Mkono wa kulia ni maziwa ya nyuma, maziwa ya...
Habarini doctors na wanajamii wa forum hii.
Naomba nipate dawa ya kisukari kushuka nipo mbali na huduma za hosipital.
Ila hizi dalili ziliwa kunipata 2014
Nikapima nikaambiwa sukari imeshuka...
Wataalam wa afya mliopo humu kumetokea kuadimika kwa dawa za truvada CTC je hili swala ni la taifa zima? Na je dawa hizi zaweza patikana madukani japo watu wanunue kwa pesa? Na je ni ipi dawa...
Habari...
Ni kwa mda sasa nimekua nina tatizo ambalo naitaji kujua chanzo chake na ni dalili za tatizo au ugonjwa gani mana napata wasi wasi kidogo
Nikwamba......sehemu zangu baadhi za mwili...
Habari polen majukumu,kwanza nitoe shukran zangu za dhat kabsa kwa wanajukwaa hili kwa msaada mkubwa wa kimawazo ya kitabibu pia nashukuru Mungu nmepata mtoto wa kiume week iliyopita ila kuna...
Habari za wikend waungwana..
Kwa muda wa kama miezi2 nimekuwa muhudhuriaji wa hospitali kumuugiza Mama yangu Mzazi. Ndani ya miezi hiyo, amelazwa kama mara3. Tatizo linalomsumbua halieleweki...
Imekuwa ni kawaida sana kwa mzazi(mwanamke) aliyejifungua kulifunga tumbo lake kwa mkanda au kitambaa ili kulifanya lirudi katika hali yake ya kawaida. Hii inafanyikaa sana kwa akina mama ambao...
SOMA HADI MWISHO NA NUSURU NDG YAKO.MUHIMU KWA MUSTAKABALI WA AFYA YAKO, SOMA.. USIPUUZE.!!
Azam Company ni kampuni inayorisha watanzania na nchi nyingi kusini mwa jangwa la sahara..Mzee wetu...
Ndugu wanajamvi,
Kutokana na kuongezeka kwa wimbi la tatizo la upungufu wa nguvu za kiume hivo naomba kujuzwa zaidi na wataalamu na wazoefu wa mambo hayo kama ni miongoni nwao na je nifanyaje ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.