Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Samahani ndugu zangu, kuna hili swala linanichanganya sana. Mimi nimekuwa na kawaida ya kufanya mapenzi mara kadhaa kama ilivyo kawaida ya mwanaume, lazima upizi ili tendo ulifurahie. Tatizo...
1 Reactions
34 Replies
24K Views
Habari wakuu,Ninatatizo la ndevu kuota upande mmoja ila awali zilikua zinaota sehem yote ya kidevu,wataalam tatizo nini naomben msaada.
0 Reactions
3 Replies
848 Views
Wana jf!! Mpenzi wangu ni mwezi sasa analalamika kuwa nna joto kali sana ukeni hivyo inamuwia vigumu kusex with me. Je hili ni tatizo kiafya?
3 Reactions
41 Replies
31K Views
Habari za majukumu wakuu bila shaka mko poa Kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu Sisi Wanaume tunakutana Na changamoto kubwa sana hasa ktk kuwaridhisha wapenzi wetu Kama tatizo hilo unalo ndugu...
2 Reactions
19 Replies
5K Views
wana jf habari mpenz wangu alitoa mimba kwa kutumia vidonge(misoprostol). Sasa hivi anatokwa na damu none stop takriban one consecutive month. Naomba kwa yeyote anayefahamu madhara ya muda...
1 Reactions
71 Replies
99K Views
Habar zenu wataalamu kwa tatizo linalomsumbua mtu kama huyu . la kuongeza mbegu za kiume na ubora wake . je afanyaje kutibu ila alikuwa ni mtu wa kupiga nyeto sana kila siku hata 4 kwa siku...
2 Reactions
34 Replies
11K Views
Kama kichwa cha habari kinaposema hapo juu nimekuwa nikipinga punyeto huu ni mwaka wa 11 sasa kwa kweli siyo kwamba nilikuwa napiga punyeto nilikosa wanawake hapana nilikuwa na mademu wengi tu ila...
2 Reactions
45 Replies
6K Views
Nimekutana na hii ,,tafadhali bonyeza link. Soma mpka mwisho kisha. Tupe maoni yako http://mtanzania.co.tz/wanasayansi-wapata-njia-kutibu-ukimwi/amp/
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nasumbuliwa na kiuno kinakua kinakaza ata nikikaa nikija kuamka nikianza kutmbea naskia maumivu ! nikaenda kupima nika ambiwa nina uti ya 25 ndo first time kuugua uti nimepewa dawa ila naona akuna...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Naomba wale wote ambao wamewahi kutumia madawa na mizizi ya kimasai na hawa waganga wa kienyeji wasioisha ili kuongeza urefu na unene wa pampu pamoja na perfomance ya kitandani waje hapa jukwaani...
7 Reactions
100 Replies
36K Views
Wakuu habarin? Naomba madaktari walipo hapa JF wanisaidie kwa dalili hizi hapa kwenye picha nitumie dawa gani.?
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Swali langu ni hilo,tunasikia mengi mitaani,Mara fulani alikufa kwa sababu alinaniii na nanii,Mara mara fulani kavimba mapu... kwasasa kananii na Mwanamke ambaye ameporomosha mimba,wataalam...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Nahitaji Kujua Dawa Zitakazo nisaidia Kutibu haya Magonjwa niliyonayo Nimeenda Hospitali Kupima Nikakutwa wadudu wa H pylori,Typhoid Vile nina Kikohozi Baada ya Hapo Daktari Ameniandikia...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Jaman naomben msaada! mwanangu ana wiki mbili ananyonya kwa shida kisa mke wangu mziwa hayatoki inavyotakiwa! ni nini sababu? na tufanyaje ili kutibu tatizo?
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Habari za kutwa wadau wote wa jf. leo asubuhi nimeamka nikajikuta na ujasiri wa kutoka home na kwenda zahanati kupima ukimwi lakini nilienda kwa staili ya kucheki magonjwa baadhi ya damu lakini...
4 Reactions
17 Replies
4K Views
Wataalaam naomben mnielekeze dawa ya KIENYEJI ya UTI SUGU Coz nmetumia kila aina ya madawa ya hospitalin lkn sion mabadiliko Huu ni mwaka Wa tatu inanitesaga tu
1 Reactions
6 Replies
10K Views
Wanasema "sharing is caring" so, nkaona kuna umuhimu wa kushare hili. Leo tutaangalia dawa ambazo jamii yetu hupenda sana kuzitumia lakini bahati mbaya baadhi ya dawa hizo hazitakiwi kupewa kwa...
46 Reactions
70 Replies
144K Views
Habari wana jf!Kama title ilivyo,yaani nikinywa kinywaji chochote cha barid napata maumivu makali sana katika jino langu la mbele juu.Tatizo litakua ni nini?
0 Reactions
12 Replies
5K Views
JF Dr. Naomba mnisaidie hili, Mume wangu alianza kusikia maumivu kwenye kichwa cha uume anapokojoa baada ya siku kama nne maumivu yaliendelea kupanda juu, baada ya siku kama tatu maumivu yalikoma...
0 Reactions
14 Replies
76K Views
Mimi na mke wangu tumebahatika kupata watoto wawili, wa kwanza 10 April, 2015, wapili 02 Feb,2019. Mtoto wa kwanza alizaliwa na 3.74 kg na wapili amezaliwa na 4.1kg. Tangu amejifungua tu mtoto...
2 Reactions
58 Replies
6K Views
Back
Top Bottom