Wakuu habari ya sahizi, ninandugu yangu kachomwa na msumari jana jioni, ikabidi twende kituo vituo vya afya ili apate sindano ya tetenasi.
Katika hali ya kushangaza tangu jana hadi leo...
Hii picha nimeipata kwenye forums za Kenya sasa hawajui huu ni ugonjwa gani, Wengine wanasema ni Herpes zoster, wengine wanasema Nyairobi fulae sijui ndiyo ugonjwa gani....
Habari za Saa wana jf Mimi nikijana mwenye umri wamiaka 21 ninasumbuliwa natatizo lakuwa na uume mkubwa kila ninapo kuwa wakati wa faragha nampenzi wangu analalamika anaumia nisiingize yote Mimi...
Yapata mwezi sasa nimekuwa nageukageuka sana usiku huku nikipata usingizi finyu sana, sina mahali popote mwilini ninaposikia maumivi yoyote.
Kitu pekee nilichoona ni kuwa nimeongezeka uzito kwa...
Naombeni msaada juu ya Tatizo la kukosa usingizi, kwa baadhi ya siku, Yaani kuna siku huwa nahesabu mabati mpaka asubuhi, usingizi hauji kabisa, nawezaje ondokana na hili tatizo.
WAPO WATU WENGI WANAOGOPA SANA UCHAWI HUFIKIA MTU ANAPOPATWA NA TATIZO HUDHANI
KAROGWA UISLAMU HAUJARUHUSU MTU YEYOTE KUFANYA UCHAWI NI HARAMU KABISA:
UCHAWI NI AMALI YA UKAFIRI UCHAWI HUFANYA...
Hello wana Jf. Kwa wale wazazi wana watoto wachanga wenye kusumbuliwa na chango la tumbo.Kuna mbaba anayetibu kwa njia ya mbadala na mtoto anapona kabisa anaacha kulia, mimi mwenyewe Ni shuhuda...
Habari wakuu, samahanini kwa maelezo yangu marefu ila sina jinsi inabidi nieleze yote.
.
Naishi na mpwa wangu ana umri wa miaka 17 yuko kidato cha nne huyu bwana mdogo ana tatizo la kuvimba tezi...
kuna jamaa yangu mmoja ana pumbu moja na mpaka sasa ana miaka 37 hana mtoto. Kila mwanamke anayekaa nae kama mke hazai. Akimwacha tu akikutana na wanaume wengine anabeba mimba.
Swali hapa ni...
Yanapotokea maumivu ya goroli za kiume pamoja na shaft baada ya kusex na mwanamke ambaye yupo kwenye bleed ya kutoa mimba,dawa zipi zinafaa kwa matibabu ya haraka,mgonjwa katumia doxy anapata...
Yupo anaendelea na mazoezi ila mpaka sasa hawezi kujitegemea,hawezi kaa peke yake,aliugua manjano siku 2 baada ya kuzaliwa,pia alizaliwa kwa shida kidogo maana hakulia moja kwa moja,kiakili yupo...
Jamani,wandugu naombeni ushauri tafadhari.Kuna kijana wangu wa miaka 17 anapenda sana mieleka na kick box,sasa juzi kamchokoza msela mmoja kampiga Kofi moja la kwenye korodani,zote zimeshuka chini...
Habarini wapendwa wa JF,pole na majukumu ya kila siku,
Husika na kichwa cha habari hapo juu
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka takribani 24,
nimekuja kwenu kwa kuamini nyie ni wajuzi...
Ulimi umechubuka na vidonda vimetokea nashindwa kula vizur maana chumvi ikigusa balaa.ilianza kama kipele kidogooo kikaacha kidonda na kila cku kidonda kinakua kila siku.naomba kujua tatizo hili...
Wadau nauliza ikiwa demu wangu anaelekea kutimiza miez nane ya ujauzito je naruhusiwa kusex nae hadi muda gani?/au hadi siku ya kujifungua? Na pia style ambazo sio hatarishi ni zp?
Pia inaruhusiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.