Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wakuu na mchumba wangu nimempa ujauzito na nilikuwa na process za kufunga ndoa lkn nipo njia panda baada ya kumpeleka clinic kupimwa ukimwi na tukatoka salama wote shida ikatokea upande wa group...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Meno ya mbele yameoza nimeshauriwa nisiyatoe niweke crown ,nahitaji kufahamu hospital nzuri au daktar mzuri kwa ajili ya huduma hyo, gharama zake pia zikoje kwa wenye uzoefu naomba muongozo si vby...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Mwanzo nilisita sikujua options za mboga bila nyama. Baada ya kuacha kula nyama nimegundua options ni nyingi sana tena mno. Si nyama tu bali hata vyakula vya wanga nimepunguza sana. Nina mpango...
10 Reactions
69 Replies
8K Views
Kwanza naanza kwa kuwapa pole na majukumu ya kila siku wana jamii wote, ivi hii tabia ya watoto Wachanga kukataa kunyonya maziwa ya mama na kunyonya vidole inasababishwa na nini??.. Msaada wadau!!!
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Habari wakuu? Naomba kufahamu vitu vifuatavyo ili niweze kugharisha meno yangu kutoka unjano uliokelea nipate tabasamu zuri? Gharama za ku bleach/ whitening kama ni kwa jino au kinywa kizima...
3 Reactions
39 Replies
8K Views
Habarini ndugu. Naomba Kama kunamtumishi wa Aghakani ya mwanza ama Kuna mtu anaifahamu gharama za pale husipitali hasa kwenye vitengo vya ENT Anijuze au nipate mawasiliano yake maana nimesumbuka...
0 Reactions
0 Replies
554 Views
Wakuu wangu, wenye ku experience tatizo kama langu naomba msaada. Hivi karibuni, around miezi kadhaa imepita, uwezo wangu wa macho umeanza kupotea, kiasi cha kupata tabu kuingiza vocha usiku hadi...
3 Reactions
28 Replies
5K Views
Wasalaam, Mwaka jana mdogo wangu alisadikiwa kumpa ujauzito binti wa jirani ili kupisha mambo mengine tukamwonya na kwa sababu binti yule alikuwa anaendana naye tulimsihi atulie ajifungue ikiwa...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Habari zenu wana JF , samahani sana kwa usumbufu kama vile tujuavyo misemo ya wahenga kua mficha uchi azai. Picha znajionesha tatzo linalonikabili ni hili hapo kwenye picha
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Naomba ushauri jinsi y kuondokan n msongo wa mawazo
0 Reactions
4 Replies
832 Views
Jamani naombeni msaada pliz. Kuna kipind nlipima hosp nkakutwa na tatizo la homon imbalance, nikawa sipat perio vzuri, sasa ishu ni kwamba tokea nimegundulika na hilo tatizo, nimeanza kuota...
1 Reactions
15 Replies
34K Views
Habari za hasubuhi wadau natumaini wazima Uzi nilikua niulete kwenu siku nyingi lakini nikakosa muda Achaniandike kwaufupi stori nyingi zinachosha, kamaunashindwa kurudi tendoni mara ya pili...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Tatizo hili linasumbua sana, nani anafahamu dawa yake, yani ndani ya mdomo nimeshajiuma vya kutosha yani hadi inakua siyo vzr Msaada wakuu kwa anayejua dawa
0 Reactions
0 Replies
9K Views
Uganda. Mlipuko wa lori la mafuta nchini Uganda umesababisha vifo vya watu tisa na wengine kadhaa kujeruhiwa. Tukio hilo limetokea siku ya jana jioni katika kituo cha biashara cha Kyambura...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanabodi mwenzenu hapa nasumbuliwa na tumbo kuuma chini ya kitovu pamoja na kunguruma ikiambatana na homa kali.miguu kukosa nguvu na viungo vya mwili kuuma. Nilikwenda Aghakan hospital kwa ajiri...
1 Reactions
1 Replies
20K Views
Mwanamke ambaye anayefanya kazi ya ubinadamu inchini 'Nigeria katika Mfuko wa ubinadamu, Adamawa State amaye anatoa huduma kwa mama mjamzizito nchini Nigeria. Ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya...
0 Reactions
0 Replies
676 Views
Ulikuwa unajua asilimia 41% ya wanaume Tanzania huwahi kumwaga ? Kumwaga nini ? Ni hatua ya mwanaume kurusha nje shahawa (Mani) yake hiyo ndio maana ya "kumwaga". Kuna aina mbili za kumwaga ...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nina miaka 27 kuna madhara gani kukaa bila kufanya mapenzi mpaka sasa Nina mwaka sasa sifanyi Na sifanyi hata punyeto japo napata wakat mgumu sana Je kuna madhara au kufanya mapenzi nikujiendekeza tu
1 Reactions
8 Replies
795 Views
Huu ni ugonjwa gani? Nini kinasababisha? Kama unameza mate unakuwa kama unameza mchanga, koo linakwanguka hivi. Imesababisha kupiga chafya kwa wingi na kulundikana makamasi mazito puani...
0 Reactions
10 Replies
21K Views
6 years as a medical practitioner (MD)& 1 year as a nutritionist this has been my experience with food & dietary supplements For any I hear it all the time from my patients: "Dr.Brenda I'm...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom