Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Jmn mim naomba msaada nilikua nasumbuliwa na fangasi za ukeni, nikapewa dawa nkatumia na sasa tatizo limeisha Ila saiz natwok na maji meupe ukeni hayan muwasho wala hayana harufu mbaya ya kukela...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Matarajio ya mgonjwa wa miaka 27 yalikuwa tupu. Mnamo Mei 2016, aligundua kuwa alikuwa na UKIMWI. Wiki mbili baadaye, aliambiwa alikuwa na ugonjwa wa leukemia ya papo hapo. Lakini madaktari...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwann virus vya Ebola vinaweza kukaa mpaka Miaka Mitatu kwenye Semen ( Shahawa) baada ya Mgonjwa kupona ... Na huweza kuambukiza kwa Sex ingawa hawez kujiambukiza mwenyewe Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Tanzania ni miongoni mwa nchi 15 zilizoko katika hatari ya kupata mlipuko wa ugonjwa wa ebola kwa mujibu wa maelezo ya wanasayansi. Wanasayansi hao wa Chuo Kikuu cha Oxford nchini Uingereza pia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kujuzwa mke wangu ana mimba ya wiki 7, hapo awali alikuwa hapendi chakula mpaka tugombane ndio atakula tena kidogo.. Ila sasa amekuwa kila baada ya masaa machache analamika njaa, mchana...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
HV ni nn kinapelekea mtu kupata watoto Wa kike wengiii au Wa kiume wengiii? Ina uhusiano na nguvu ya kimapenzi kati ya mume na mke, timing, ukali Wa mbegu au? Karibuni wajuzi, sijapitia...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naamini wewe unayesoma habari hii utakubaliana nami kuwa ngono kinyume na maumbile limekuwa ni jambo linaloongoza katika maongezi na ushawishi kwa kasi kubwa katika jamii yetu pasipo kujali rika...
1 Reactions
28 Replies
9K Views
Wakuu habari yenu,natafuta daktari aliyebobea kwenye maswala ya urology hapa mkoani mbeya,wakuu mnaweza nielekeza ni hospitali gani naweza kwenda iliyopo hapa jijini mbeya
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Depo Provera Ni sindano ya uzazi wa mpango iliyotengezwa kwa kichocheo (hormone) ya (progestin), sawa na homoni ya kawaida ya asili aina ya (progesterone) inayopatikana katika mwili wa mwanamke...
1 Reactions
6 Replies
11K Views
Ninataka kumpeleka mama akawekewe meno ya bandia yale ya kuweka na kutoa kwa muda. Mwenye utaalam, ushauri na uzoefu karibun wakuu.
0 Reactions
2 Replies
980 Views
Habari, Nahitaji msaada wenu. Katika kukua kwangu nilipata hedhi mda mchache ikasimama... Miaka mingi imepita na nilivyofuatilia sana nikaambiwa mayai hamna kabisa. Inaniuma sana kua umri unaenda...
2 Reactions
45 Replies
5K Views
Habari wakuu. Je hospital ya Cardinal Rugambwa ina daktari wa magonjwa ya wanawake. And je wanakubali bima ya NHIF?
1 Reactions
2 Replies
3K Views
hivi dawa za UTI zinaweza kubadili mzunguko wa hedhi wa mwanamke??
0 Reactions
1 Replies
746 Views
Habari wanajamvi wataalamu, Madokta, Mabaharia na great thinkers kwa ujumla. Bila kupoteza wakati naomba nijikite kwenye mada Moja kwa Moja. Nina tatizo ambalo nashindwa kulielewa na kilipatia...
1 Reactions
36 Replies
14K Views
Kwa wabobezi nilihitaji kujua kwa undani juu ya masuala yahusuyo ugonjwa wa Ukimwi kama ifuatavyo,umuchukua mda gani mwathirika wa HIv kuanza kuambukiza mtu mwingine toka mwathirika...
0 Reactions
1 Replies
969 Views
Miaka ya nyuma kuna baadhi ya magonjwa yalikuwa yanawapata zaidi watu wenye umri mkubwa/wazee hivyo tulishazoea kuona kwamba magonjwa hayo ni ya wazee Magonjwa kama macho Presha Moyo Kisukari...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kiufupi, Mawe ya nyoka au Jiwe la sumu ya nyoka au Jiwe jeusi, hayafanyi kazi hata kidogo, hasa tukiongelea kuondoa sumu kwenye eneo la mwili lililong’atwa na nyoka. Dunia ina vituko vingi mno...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Natumaini wote wazima humu na kama kuna mwenye tatizo basi mwenyezi MUNGU amfanyie wepesi. Naomba msaada wenu kujua kama kuna madhara yoyote kwa mwanamke anaetumia dawa za kuzuia mimba P2.
2 Reactions
38 Replies
51K Views
DAWA ZA KUPUNGUZA MAUMIVU HUSABABISHA MARADHI YA MOYO... Matumizi ya dawa za kupunguza maumivu na uvimbe huchangia ongezeko la hatari ya kupata maradhi ya moyo, utafiti umebaini. Dawa kama vile...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Back
Top Bottom