Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Naomba msaaada wenu madaktari wa jf hedhi yangu ni mabonge kwa siku tatu mfululizo.je ni kawaida au ni matatizo kiafya?
0 Reactions
35 Replies
28K Views
Ukiwaambia wewe unakoroma" unaweza hata kugombana nao sijui kwa nini?
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habarini wahenga wenzangu na msio wahenga pia. Leo nauliza ni vyakula gani hasa na vinywaji ambavyo mtu anayefanya mazoezi anashauriwa kuvitumia? Naombeni majibu kwa anayefahamu
0 Reactions
17 Replies
14K Views
1.anahisi mwili wa baridi sana lwa ndani hadi anaumia..anakosa nguvu mwili unalegea. hali anayojiskua analia kama mtoto mdogo 2.anahisi hofu ya kufakufa mda wote.analia.usiku anaogopa hata...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu Salaam! Mimi sio Daktari, but Nahitaji kujua vifaa tiba vya muhimu sana kwa kuanzisha Maabara ya Dispensari hasa maeneo ya Vijijini.Kuna kijiji kimoja nimeona wanateseka sana kwa huduma za...
0 Reactions
16 Replies
11K Views
Habarin wadau? NI Matumaini yangu mnaendelea vizuri na majukumu...! Nianze na kusema kumekuwa na matangazo mengi mitandaoni ya madawa ya kuongeza ukubwa wa maumbile na nguvu pia mtandaoni! Wengine...
1 Reactions
12 Replies
7K Views
kwa nini baadhi ya nchi wanaruhusu !? Hayo madhara hawayaoni ama!? ....
0 Reactions
12 Replies
8K Views
Hili limekuwa linanitatuza sana yaani mda mwingi nakuwa natoa harufu mbaya hata nikienda choo kikubwa , kushindwa kwenda haja kubwa kwa kawaida mpaka kuladhimisha wakuuu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Madaktari na Wauguzi naomba mnipe elimu juu ya huu ugonjwa wa presha ya macho, na je inatokana na nini hiyo presha na jinsi ya kujilinda nayo ni vipi? Mama yangu kaambiwa jicho lake moja presha...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
In this thread I’m going to take on a very controversial topic. And I will gladly like to read what you guys think. No insults. No tantrums. Just a healthy intellectual discussion on a global...
0 Reactions
1 Replies
865 Views
Habar zenu humu ndan? Nlikuwa natani kufahamu uhusiano uliopo kati ya HIV na TB sababu vinakuwa vipo sambamba sana. Utakuta mtu mwenye TB anaambiwa unauwezekano mkubwa wa kupata HIV sasa upi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
How to write cv
0 Reactions
2 Replies
736 Views
Habari wakuu,ninataka kujua upi ni umri sahihi wa mtoto kuota meno, nasikia habari kuhusu natal na neonatal teeth ila sizielewi vizuri mwanangu ana umri wa miezi miwili na nusu na ameshaanza kuota...
0 Reactions
24 Replies
70K Views
Kichwa cha habari chajieleza. Nimeikuta mahali hii, Kuna jamaa mwembamba na hajawahi kuwa na mwili japo ana hela na kila kitu. Sasa wanamshambulia eti hanenepi kisa anahusudu sana papuchi. Je...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
In the first study of its kind, academics managed to compare the known dangers of smoking to that of drinking too much. They found the 'cigarette equivalent' of one bottle of wine – roughly 10...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mimi ndimi comrade. Hii mbanga imekaaje waseeee? Eeebbaaanaae! Mimi sielewi hii hali inaletwa na nini, yani wakati wa mbungi napiga sana shoo lakini unaweza kuta natumia dakika 45 mpaka lisaa...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Wakuu habari za majukumu, nina mba zmenitesa sana, mba za kwenye ngozi,, naomba anaejua dawa inayotibu kabisa, anielekeze. Asanteni.
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Ni hivi juzi nilienda hospital kwa dhumuni la kujua afya yangu. Ajabu nilivyochukuliwa damu tayari kwa kipimo nesi yule alichukua muda mrefu kunipatia majibu hali iliyopelekea kuingiwa na hofu...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Imefikia hatua nawaogopa sana mabinti warefu na wale wenye maumbo makubwa kwa dhana kuwa nitaumbuka lakini nimegundua hata hawa wafupi habari yao si haba. Baada ya tendo, wengi wameonesha...
3 Reactions
74 Replies
15K Views
Naomb kujua gharama za ct scan kwa hospital binafsi
0 Reactions
0 Replies
610 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…