Kwa anaefahamu wapi znapatikana dawa aina ya OLIGOCARE na ADDZOA Kwajili ya kuboresha wingi na ubora wa maniiHapa jijin Dar anifahamishe itakuwa vyema zaid endapo ntajua na bei zake
Muwe na mchana...
Toka nimemaliza dozi ya CEFTRIASONE INJECTION(5).
Yapita siku 5 ila nimekuwa nikipatwa na matatizo Kama.
1. Kuwashwa mwili hasa sehemu za tumboni na mapajani
2.Maumivu ya misuli na kuishi a nguvu...
Nina ndugu yangu alienda pima akakutwa yupo hebatitis b positive, doctor akamwambia kua hatakaa apone,akaanza dozi akatumia ndani ya mwaka mzima ,juz kaenda kuchukua dawa watu wa ctc wanamhoji...
Natanguliza shukrani zangu Za dhati kwa wanaa jf wote ambao mmekuwa mkitusaidia kwa ushauri mbalimbali.
Mwenzenu nimekuwa nikiwashwa kwenye koo kwa muda sasa yaani pakianza kuwasha inabidi nitumie...
Nmekua nikihisi maumivu nyuma chini ya mfupa wa bega, hasa nikikaa na kwa mbali nikisimama ila nikilala yanapotea, anaejua hii dalili ya nini tafadhali?
Wajuvi wa masuala ya afya na tiba naomba kuuliza tangu napata kujifahamu hadi sasa ni mtu mzima huwa wakati wote najiskia kama ni mtu ambae ana homa.
Lakini nafanya shughuli zote na wala huwezi...
Niende moja kwa moja kwny point, mtoto wangu mweny miak 4 anatokwa na mkojo, yan anahisi kutokwa na mkojo akitaka kuvua nguo mkojo tayar unamtoka,na usiku hujikojea mpk mar 3 je atakuw na tatizo...
Mwili kuwaka Moto, kuhisi vitu vina tembea na kuchomachoama choma mwilini pia kukakamaa kwa shingo na baazi ya maumivu ya viungo vya mwili. Tatizo hili husababishwa na nn?
Habar za jion wapendwa
Niend moja kwa moja kwenye maada kama kichwa kinavyojieleza mim ni binti wa miaka 20 nimepatwa na ili tatizo la kuumwa kiuno awali nilipima nakugundulika kuwa nina PID...
Ni wiki ya pili sasa nasumbuliwa na matatizo ya fuatayo.
Maumivu ya Koo, kuhisi Kama kitu kimekwama kooni na kukakamaa kwa shingo na shingo kupata joto hasa napotoka mazoezini.
Maumivu ya joint...
Salaam waungwana
JF ni kisima cha maarifa na watu wengi wa humu wana uzoefu wa vitu vingi. Naomba kuuliza kama kuna dawa ya asili ya mtu mwenye matatizo macho specific kutoona mbali ( myopia)...
Nina mdogo wangu anasumbuliwa na flue kila siku, mpaka anatilisha huruma. Yani alikua hamalizi wiki. lakini hivi sasa imekua too much kabisa. yani ni mwezi mzima nonstop. leo akiwa afadhali siku...
Habari wakuu polen na majukumu rejea kichwa cha habari halo juu shemeji yenu anaujauzito wa miezi 9 sasa ila toka Jana jion anasema mtoto kagoma kucheza tumboni hii ni dalili ya nini wakuu naomben...
WanaJF doctors category naomba kufahamu kwa mtu yeyote anaeweza kunisaidia taratibu za kufanya usajili wa maabara za binadamu kwa kutumia NGOs na vifaa ambavyo ni muhimu kuanza navyo. Asanteni
Habari...
Tafadhali... nasumbuka na meno sana sasa Doctor kanishauri nifanyiwe root canal kwa baadhi ya meno!
Naomba kwa anayejua side effect za hili zoezi..anifahamishe...maana naona inahusiana...
Habari wana JF,
Kwa muda sasa huu ugonjwa unaniletea shida japo nimejaribu kutumia dawa mbali mbali za hospitali na za asili lakini bado kwa kiasi fulani hali sio nzuri.
Nataka kujua kama ipo...
Baadhi ya maumivu ya shingo na bega hasa yanayotekea upande mmoja huchangiwa na ubebaji wa mabegi ya mkononi
Je begi LA mkono huchangiaje maumivu?
1. Uzito mkubwa wa begi Hii husababisha misuli...