Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wifi angu kaharibikiwa mimba yake wiki ya 10 aliona dam bila hata kuumwa Akakimbia hosp mapema Sana wakaambiwa mapigo ya moyo ya mtoto yamepotea..... missed abortion....akawekewa kidonge chini...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Vipi wakuu, Ni hivi nina mpango wa kufuatilia bima ya afya, sasa nasikia sasa hivi hawaruhusu wategemezi wengine zaidi ya watoto wako tu,maana nilitaka nikate ya mama yangu! Je ningependa kujua...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimefanya vipimo vyote, tumia dawa zote za kuhusu tatizo na kifua kuuma upande wa kulia kwa mda Sasa lakin sina kuanzia, ecg echo, damu kupima mgonjwa mengine kama dengu, maralia yote sina...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimekuwa na tatizo la kusikia vitu vinanichoma choma kwenye vidole vya miguuni na kuisi miguu kuchemka hill tatizo linanifanya nikose hata usingizi naomba mwenye ujuzi anisaidie jamani nateseka...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Niaje.... Juzi katika mizunguko yangu ya hapa na pale nikajikuta navutika kwenda kumsalimia mwana mmoja kitaa cha zamani maana nilishahama hiko siku nyingi.... Nikamkuta mshakaji kava msuli...
0 Reactions
137 Replies
13K Views
Habari za Jumapili..... Naomba nipate kujuzwa hili Nahitaji vioo vya miwani ambavyo vinakinga mwanga wa jua lakini havibadiliki rangi kua vyeusi, vinabaki na rangi yake ile ile ya kioo Kama...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mkuu Mimi Nina mama angu Anasumbuliwa na Koo anadai panauma Kama panawaka Moto saa nyingine anahisi Kama panashimo kubwa na akila au akinywa hapaumi ila akitulia ndo anasikia maumivu tumezunguka...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ndugu zangu JF naomba kujua hili tunda kwa kiswahili au kwa kiingereza linaitwaje?Kisukuma wanaita Ng'wicha. Inasemekana Tunda hili likiwa bado changa ukilichanja na kiwembe kisha ukachanja...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari zenu wana JF. Niende moja kwa moja kwenye mada. Nina tatizo la sickle cell, sijapata kuugua kwa muda sasa lkn tokea juzi halo imebadilika ghafla, kifua kilinibana kupumua ikawa shida pia...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau naomba kujua dawa sahihi ya kusafisha masikio hata kama hayaumi ila ni suala la kuyaweka safi kuondoa nta (wax).
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau naomba kujua dawa sahihi ya kusafisha masikio kwani kuna wakati yanakuwa kama yameziba.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Shaur wakuu mapenz yananpa uchizzi nifanyajee???
0 Reactions
19 Replies
1K Views
"As a retired physician, I can honestly say that unless you are in a serious accident, your best chance of living to a ripe old age is to avoid doctors and hospitals and learn about nutrition...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari zenu members wote wa JF! korodani zangu kuna magamba madogo madogo nikiyatoa yanatoka pia sometime nawashwa sana hasa nikioga hali hii imejitokeza hivi karibuni yani najihisi ovyo msaada wa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Sababu/tiba ya maumivu makali ziwa la kushoto ni yapi??
0 Reactions
35 Replies
2K Views
Hello Doctor.. Embu nipen maelezo kuhusu mama mjamzito mwenye damu group O- negative na mume wake ni group O-positive kuna shida kwa mtoto atakayezaliwa ....????
3 Reactions
26 Replies
12K Views
Habarini wandugu, Suala la mapenzi kinyume na maumbile ni jambo la kufurahisha kwa wapuuzi ila ni jambo hatari sana kwa afya kwani hii hupelekea mwanamke kupata madhara ambayo hayatibiki.k...
7 Reactions
187 Replies
14K Views
Huwa inauma sana pale unapougua kwa muda mrefu bila kupata suluhu ya kinachokusumbua , inafika sehemu unawaza heri ufe tu ili upumzike , ili nafasi yako aichukue mwingine aendelee kuishi badala...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kiukweli demu wangu ana tatizo la tumbo kumuuma mara kwa mara na hii ni tangu tufanye mapenzi. Anadai tumbo linamuuma na sasa ana wiki moja tangu hapo tumbo linamuuma tu anadai hawezi tumia dawa...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Mim kwa muda mrefu nmekuwa nikiigua homa Kali sana bila kupata nafuu Cha kwanza nikapima ukimwi majibu yakatoka npo negative Then nikapima UTI,TYPHOD,Amiba,maralia nikaambiwa Nina maradh hayo...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…