Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Anaejua hii kitu hapo chini naomba anieleze naweza kuipata wapi..inasaidia kwa wenye presha
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Anaejua hii kitu hapo chini naomba anieleze naweza kuipata wapi..inasaidia kwa wenye presha
0 Reactions
0 Replies
839 Views
Kwanin tarehe za period kwa mwanamke huwa inabadika? Exp mie huwa naingia tarehe Tisa kila mwezi na ninapata ada yangu ndani yasiku tatu tu laini mwezi huu sijapat ada yang na sins dalili zozote...
0 Reactions
3 Replies
796 Views
Tarehe 06/06/2019 usiku mimba ya miezi mitatu iliporomoshwa kwa maksudi,mporomoshaji alikuwa akibleeda kwa maumivu makali sana,siku sita baadae akaenda hospitalini kusafishwa,baada ya hapo damu...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Wakuu habari, Kama mnakumbuka muda kadhaa uliopita, nilipandisha uzi hapa Jamvini kuomba ushauri wa kitabibu kuhusu tatizo la Fungus sugu kwenye Nyeti lililokua linatusumbua mimi na mke wangu...
1 Reactions
42 Replies
12K Views
MATUMIZI ya mafuta ya habat soda ni mengi sana katika mwili wa binadamu lakini leo utajifunza na kufaidika na haya machache ambayo ninayaandika hapa chini: KWA AFYA Kunywa kijiko kimoja cha...
1 Reactions
70 Replies
80K Views
Binafsi sioni gonjwa hili likipungua au kutokomea hivi karibuni. Kikubwa kinachoeneza hili gonjwa ni kitu kinachoitwa "usiri" watu hawako wazi si kwa ndugu, marafiki wala wapenzi wao. Kila...
0 Reactions
35 Replies
2K Views
Hello JF salaam! Nimekuja kwenu nipate mawili matatu huenda nikawa na tatizo. Nilikuwa na mwili wa wastani siyo bonge sana wala mwembamba sana.Kimbembe kimeanza kama miaka miwili nyuma naona...
0 Reactions
57 Replies
7K Views
Wanajamii, ikiwa kama kuna mtu anafahamu sehemu ambayo naweza kupata kipimo kizuri cha uchunguzi wa Tumbo au Vidonda vya Tumbo. Naomba anifahamishe, inaweza kuwa Dar au nje ya Dar. Nasikia kuna...
0 Reactions
14 Replies
9K Views
Wanafunzi katika shule moja nchini Uingereza wameunda mipira ya kondomu inayowaonya watumiaji wanapojamiana na mtu aliyeambukizwa maradhi ya zinaa. Kondomu hiyo inabadili rangi pindi inapokutana...
0 Reactions
30 Replies
7K Views
Habari wakuu, Lengo la kuweka thread hii ni kuwaomba wataalamu wa mazoezi ya viungo kutupatia ufafanuzi zaidi juu ya mazoezi ya aina mbalimbali, mazoezi yenye faida na faida zake na mazoezi yenye...
4 Reactions
44 Replies
15K Views
Nina demu wangu na alishawekaga vijiti mkononi vya kuzuia mimba, lkn juz kati kaniambia kama ana dalili zote za kuwa kabeba mimba. Ila amepima hamna kitu. Msaada Kwa wajuzi je ni keel inaweza...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari! Nina mtoto wa kiume ana miezi minne sasa. Tatizo ni kwamba huwa analia sana nikimshika/nikimbeba, lakini akishikwa au kubebwa na mama yake ananyamaza na mwisho wa siku anakua kawaida tu...
1 Reactions
44 Replies
5K Views
Mheshiwa waziri na serikali yako, staki kuongea mengi bali nikustue tu kuwa dengue imeua, inaua na inaendelea kuua, hivi mnataka tufe sote ndo mchukue hatua? Bado uko ofisini na wala hutaki kujua...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Mood nisaidien kufuta net ilikua inasumbua uzi umejipost Mara 3
0 Reactions
0 Replies
935 Views
Poleni kwa kazi! Naomba kuuliza kama mtu unaona unadalili zinazofanana na dengue na kwa bahati mbaya eneo ulilopo vipimo vya ugonjwa huo havijafika ni dawa zipi tunazoweza kuzitumia ili kutibu...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hi all napenda kuuliza hivi karibuni ilitokea rafiki yangu ameshika damu ya muathirika wa ukimwi aliyekuwa akimuhudumia ikamgusa kwenye mkono hakuwa amevaa gloves na wala hakuwa na michubuko...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Huu ugonjwa unachukua muda gani kupona mbona ni wiki ya tatu sasa bado najisikia dhaifu ingawa sio kama ilivyokuwa wakati wa ugonjwa?na pia naulizia dawa gani nzuri kwa kuondoa kabisa tatizo la...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nauliza kuhusu gharama za matibabu kwa masikio yenye uwezo mdogo wa kusikia. Sikio langu moja linanisumbua. Mliowai kupatwa na tatizo hili mlikutana na changamoto gani? Msaada tafadhali
0 Reactions
3 Replies
699 Views
Wazee naombeni msaada wa jambo langu juu hapo
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…