Mke wangu ana mimba ya week 11, jana nimemaliza show nilipiga ya kibabe asubuhi akasema ameona matone ya damu
Sasa jioni pia imeendelea kutoka, roho inaniuma sana ndo tunapoteza kiumbe chetu daah...
Wanajamii naombeni msaada wenu...!
Eti ni nini chanzo au kitu kinachosababisha mtu kutokwa na vidonda pembeni ya mdomo! KUna baadhi ya watu huwa wanasema inatokana na labda homa/maleria ndio...
TIBA YA UGONJWA WA KUOTA KINYAMA SEHEMU ZA SIRI NA SEHEMU MBALIMBALI ZA MWILI (GENITAL WARTS & SKIN)
Habari rafiki, natumaini mnaendelea vizuri leo napenda kuzungumzia tatizo la kutokewa...
Emerginor
Levonorgestrel
Hii dawa kwa ajili ya kuzuia mimba kwakuwa mtoto bado ananyonya na ana miezi 4 sasa ili kuepuka mimba maana mke wangu hapendi matumizi ya kondomu hasa siku...
Habari zenu wakuu, Dada yangu anasumbuliwa sana na maumivu makali sana ya mguu na mkono,wakati mwingine yanapelekea mguu au mkono kuwa na ganzi na mara nyingine kuvimba. Amejaribu kwenda hospital...
1. Malaria
Malaria, jina Lina asili ya Italian ikiwa na Maana "upepo mbaya" au “bad air”, ni homa inayosababishwa na vimelea viitwavyo Plasmodium, ambao wanaeneza baada ya kuumwa na mbu jike...
Habari wanajf...
Leo najisikia vibaya mno, asubuhi kilianza kichwa pekee nikameza panadol kikatulia..
Jioni hii najisikia vibaya sana, hata kueleza siwezi ila najisikia vibaya kwelikweli...
Wakuu msaada wenu wa kimawazo tafadhari.
Juzi nilikuwa Ambiance sasa bhana kwenye kucheza cheza mziki akaja msichana fulani hivi akaniminya mkono halafu akatangulia mbele na kunipa ishara ya...
Watafiti katika nchi ya Malaysia wamegundua kwamba juice ya majani ya mpapai inasaidia katika kutibu homa ya dengue. Ni dawa ambayo watu wa maeneo ya Asia ambako ugonjwa huu upo wamekuwa...
Habari Wadau!,
Jana Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania Inmi K. Patterson na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa na Waziri wa Afya Mh. Ummy Mwalimu...
Fanya hivi kila siku
1. Unapoamka Asubuhi kula Tunda la Tufaha (Apple) Hutoweza kuonana Daktari siku nzima.
An apple a day keeps the doctor away
2. Kula Punje 2 za Kitunguu Saumu hutapata...
Nina binti yangu ametoka mba usoni.Atumie nini kuuondoa. Chanzo alikuwa na vipele akaenda hospital wakampa Sonaderm baada ya kutumia ndiyo mba zikaanzia hapo.
I'm the girl from nowhere,... the...
Saratani hii hutokea kwenye tezi ya thyroid iliyopo sehemu ya mbele ya shingo ya mwanadamu ikiwa na sehemu mbili (lobes) moja kila upande wa shingo nahuwapata watu wa umri mbalimbali, kuanzia...
VYAKULA VYA AINA 5 VINAVYOSAFISHA INI LAKO
Vyakula vingi vinavyotumika kwa kizazi cha sasa ni vile vya kusindika, kukaanga ambavyo vinafanya ini liweze kufanya kazi nyingi na mara nyingine...
Habari zenu ,
Pumbu zinawasha washa has a nikioga mchana. Sijui hizi fungus gani nimejaribu kila dawa ya fungus but huwa napona tu kwa muda then tatizo linarudi pale pale. Wakati mwingine nikienda...
Nimeshtushwa, nimeogopa na nimekosa raha hadi hivi sasa kwani kwa muda sasa nimekuwa nikisia katika pitapita zangu huku na kule kwamba Siku hizi Watanzania wamekuja na ' Ubunifu ' wa Kipekee...
Habari za wakati huu wana JF Dr. Naomba msaada wenu hasa wa mawazo na ushauri wa tiba kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nilipata ajari nika vunjika mguu eneo la jointi.
Habari ndg zangu,
Nimeleta kwenu uzi huu mnisaidie jinsi/mbinu ya kupata mtoto wa kike kwa kutumia karenda.
Mwezi wa 4 niliona siku zangu za hedhi tarehe 15,
Mwezi Wa 5 niliona Siku zangu za...