Wakuu nimegongwa na nge,wataalamu naomba mnisaidie tiba,natakiwa nifanyaje,maumivu ni makali sana na hadi saiv ishapita nusu saa bado sielewi natakiwa nifanyaje,msaada wenu tafadhali...
Mama yangu ana uvimbe usio na maumivu kwenye ziwa lake.hospitali wanasema hormone imbalance. Jamani naogopa sana nisaidieni inaweza kuwa nini? Nipo arusha nataka nianze kumtibia nianze wapi?
Mara nyingi watu wanaugua maradhi mbalimbali, lakini wengi wao hawapendi kwenda hospitali kufanya vipimo au kupata ushauri wa kitaalamu kutoka kwa daktari.
Kutokana na uwepo wa maduka ya dawa...
Habari Wakuu! Msaada Wenu Tafadhali...
Ni Muda Wa Mwaka Mmoja Sasa Haya Maumivu Nayasikia, Ni Kama Yanauma Kuanzia Upande Wa Mbele Wa Eneo La Moyo, Baadae Yanapanda Taratibu Hadi Kwenye Shingo...
Habari wanajamvi
Ninashinda moja nimeiona kwa mpenzi wangu ambaye ninatarajia kufunga naye pingu za maisha Kama mungu Akipenda shinda yenyewe ni kwamba matiti yake yanatoa maziwa wakati yeye Hana...
Habari za majukumu mke wangu amepatwa na matatizo ya akili tarehe 5 mwezi 2 mwaka huu mwanzo tulihisi labda ni mapepo tukaweka nguvu katika maombi sio siri hali ilizidi kua mbaya wa kukimbia...
Baada ya mimba ya kwanza kufanyiwa operation ni kama 4yr, na sasa yuko na mimba ya miezi mi nane tatizo lina kuja hapa kwenye mshono wa operation upata maumivu yasio elezeka wakati wa kusimama ni...
Habari nawasalim ! Nina mtoto wa kiume umri wake ni miaka 2.3, Tangu kuzaliwa kwake hakua na shida sana ila wakati anavyozidi kukua homa za hapa na pale hazimuishi zaidi kukohoa, Kadi ya Kriniki...
Shemeji yangu alikuwa anasumbuliwa na kifua yaani kinauma kiasi kwamba mpaka tukaogopa
Baada ya kwenda hospital akafanyiwa vipimo vya mionzi X-ray ili kuangalia kama kuna shida lakini hapakukuwa...
Kwa muda sasa nimekuwa nikukutana na watu wanaojiita madaktari kwenye mabasi wakitoa elimu kwa abiria juu ya maswala ya afya.
Baada ya maelezo hayo wanatangaza dawa zao wanazodai kutibu magonjwa...
Heshima zenu wakuu, nina hili tatzo linanichanganya sana. Maana huwa napata maumivu katikat ya kifua na hii hutokea pale tu ninapokuwa nimefanya kazi nzito kidogo, Je nini linaweza kuwa tatizo...
Wadau,
Kila siku nasikia kwenye radio, tv, mitandao na vyanzo mbalimbali vya habari kuhusu dawa za kuongeza nguvu za kiume, je hakuna dawa ya kuongeza nguvu za kike?
Kwanza Niungane na Muhenga Aliyetunga Methali isemayo " Mficha Maradhi Kifo humuumbua"
Na kwa sababu sitaki kifo, nimekuja kwenu kuomba msaada.
Wakuu naandika Thread hii ikiwa ni Saa 9 usiku...
Wapi ntapata virutubisho hivi and yeyote ajuaye dawa ya kuzuia saut kwenye viungio ambayo ni rahisi kuipata....nawasilisha nipo shinyanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kufahamu kwa yeyote anaejua. Nimejaribu ku-Google lakini sijapata ufumbuzi wa hili gonjwa, maana huwa napata changamoto kuujua kiundani huu ugonjwa huwa naufananisha na mshipa wa ngiri...
#1
Jamani msaada ninavipele mkononi vidogo vidogo vinaniwasha sana usiku. vinataklibani miezi minne hata havitoki vipo kama shigles hivi mikono yote miwili vimenianza mwez was kumi na moja toka...