Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Mafuta ya samaki ni muhimu kwa ubongo na mfumo wa fahamu. Ulaji wa samaki wenye minofu kama samoni (salmon) na dagaa, utaweza kupata faida hizo kwa sababu aina hii ya samaki ina kiasi kingi cha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
NDIZI ni kati ya matunda yanayopatikana katika maeneo yetu,basi leo nataka nikushirikishe faida kuu utajazopata kwa kula ndizi mbili tu kwa siku: ->Ndizi husaidia kuondoa tatizo la allergy -ndizi...
0 Reactions
5 Replies
14K Views
Habari za muda huu, naomba mnisaidie japo ushauri tu. Ndugu yangu alikuwa anasumbuliwa na kifua hapo awali na tulipoenda hospitali unaonekana ni nimonia homa ya mapafu. Tukapewa dawa akatumia...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Culture China 08:49, 17-Mar-2019 Chinese Medicine Day: An ancient yet modern way to stay healthy...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Wanaume wengi huelewa kuwa kuna umuhimu wa kumuandaa mwanamke kwa kumshika shika maungo yake ya mwili lakini wengi hupuuzia suala hili kwa kuwa wao hamasa yao ya mapenzi huamka na mwili...
2 Reactions
8 Replies
9K Views
Hello wadau... Je ni kweli kwa kushindia kula matunda na maji bila kula chakula chochote, kwa mwezi mzima kunaweza kushusha uzito na kupungua unene? Na je kutakua na madhara gani labda yanayoweza...
3 Reactions
125 Replies
19K Views
Hilo swali nimejiuliza nimekosa jibu kwanini nature imechagua usiku ndio watoto wengi wanazaliwa na sio mchana?
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Wadau mtoto anaanza kucheza tumboni kuanzia mda gani? Maana mke wangu ana ujauzito wa miezi karibia sita na hakuna dalili za kurusha mateke tumboni . au kuna tatizo mwenye ujuzi tafadhari
0 Reactions
47 Replies
130K Views
Wadau Salam!! Hususani kwa watu wenye pharmacies na wengine wote wenye ufahamu! Ningependa kufahamu machache kuhusu dawa inayoitwa Enterogermina. Ambacho ningependa kufahamu ni pamoja na:- 1. Je...
0 Reactions
2 Replies
674 Views
Hivi ni kwel mtu akiwa analamamba asali inaboresha kizazi yaani mfuko wa uzazi unakuwa imara kumpelekea yeye kupata mimba kwa haraka kwa wale wenye uzazi wa shida? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Nimejaribu kuwaza hapa,, hivi kwa mwanamke anaepata bleed kwa mara ya kwanza,, hiyo bleed inatokea tarehe sawa na tarehe yake ya kuzaliwa. Maana nimejaribu kuwauluza magirlfriend wangu sita maex...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Zina madini aina ya zinc, kopa, magnesium, chuma , manganese, phosphorus Husaidia uzalishaji wa Maziwa kwa mama anaenyonyesha Husaidia kurekebisha sukari mwilini na kuwezesha kongosho kufanya...
5 Reactions
34 Replies
39K Views
Habarini wandugu,wiki hii katikati nilienda shamba na kipindi nikiwa nafanya kazi nilivua t- shirt na kupaki na singlend na kipindi nafanya kazi kulikuwa na jua kali kidogo sasa jioni narudi home...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari ya asubuhi.... Nina ndugu ameachisha kunyonyesha. Mtoto ana mwaka na miezi mitatu. Tatizo matiti yamejaa sana na yanauma sana hadi amepata homa. Tumsaidieje ili asiendelee kuumia? NB ...
0 Reactions
4 Replies
8K Views
Jamani naombeni ushauri Nina mafua makali sasa no mwaka wa 9 nimetumia dawa za hospital lakn bado dawa za mitishamba nimetumia lkn bado naangaika. Kuna MTU kama anajua utatuzi wa hili tatizo...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Naombeni msaada wa kujua vyuo vya afya kwenye ada isiyozidi 1M hapa tz Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wana jamvi mwenye ufahamu na hili gonjwa naomba atuelimishe, maana linashikaga pabaya, tusijekuta watu wanapata athari kubwa kiafya zaidi ya kujikuna. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kama kichwa kilivyo jieleza nina mchumba wangu ambaye amekuwa akilalamika kuwa anaona vitu vya ajabu kama vifo hili tatizo anasema lilianza tu alipo jifungua ila kwa sasa tatizo lina zidi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu ndugu zangu,naombeni msaada wenu kwa hili. Jana nilienda kununua soda nikanyw ila baada ya kumaliza nikagundua kuw chupa ilipasuka mdomo na kuhisi kuwa nitakuwa nimemeza vipande vya...
1 Reactions
6 Replies
8K Views
Msaada wenu ma Doctors,mwanangu wa mwaka 1.5 aasumbuliwa na kifua yaani sija lala usiku ni kifua kina dalili ya kifua cha pumu,kwani akipata unafuu na kulala kidogo unakisikia kwa mbali kama kiji...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…