Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wakuu, Naomba kuuliza, Huyu manzi wangu nimekuwa nae mda, sasa hivi karibuni kuna style nimempatia basi ana mwaga maji balaa, lakini inachukua mda kuanzia lisaa. Sasa tatizo mwenzangu anataka...
7 Reactions
55 Replies
15K Views
Aiseee salaam kwanza popote mlipo natanguliza shukrani Mi ni kijana 24 years sina historia yoyote ya kuugua uhonjwa mkubwa wowote ule tofauti na homa ndogo ndogo za mafua na kikohoo labda,, sasa...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Maendeleo ya sayansi na teknolojia yamebadili mfumo wa maisha ya watu pamoja na kuathiri afya zao kwa kiasi kikubwa. Hivi leo watu wanatumia vyombo mbalimbali vya usafiri kwenda karibu kila eneo...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
MWANAMKE KUKOSA HAMU YA KUFANYA MAPENZI Tatizo la kukosa hamu ya kufanya mapenzi au kukosa nyege kwa lugha ya mitaani huwatokea zaidi wanawake kuliko wanaume lakini ni wanaume wanaokerwa zaidi na...
0 Reactions
6 Replies
28K Views
Yamenizidi kimo sina mengi zaidi ya kuomba msaada.
0 Reactions
36 Replies
16K Views
Habari ya muda huu.Rejea kicha cha habari hapo juu,ni kwamba nina tatizo la nguvu za kiume kwa muda mrefu sana(karibia miaka 15)na hii imesababishwa na tabia ya kujichua kwa muda mrefu sana...
0 Reactions
40 Replies
12K Views
Jioni hii ameanza kupumua kwa shida afu anakataa kunyonya nipo mbali na hospital usafiri nimekoswa nimeenda kwenye kibada kimoja cha madawa nimepatiwa dawa hii Itanisaidia Sent using Jamii...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamii wenzangu Nilikuwa naomba masaada wa dawa ya kuumwa kichwa kwa mda mrefu kwa maana Niko nasumbriwa na tatizo hilo kwa mda wa mwez mmoja na cjui nn tatizo dawa nimetumia sana...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Habar zenu Naomba msaada Sioni ule ute ambao unatoka siku ya hatar hvy nashindwa kujua ni siku gani ambayo ni sawa kwangu kwa ajili ya kutafuta mtoto Na ni vyakula vipi naweza kutumia ili...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Napenda kutoa ushuhuda wangu katika mjadala wa Loliondo ambao umekuwa ukivuma sana katika blog ya michuzi kwa siku za hivi karibuni. Nawapongeza vijana wetu wakina, Magidd Mjengwa, mashaka john na...
0 Reactions
100 Replies
11K Views
Habarini wanafamilia, Utotoni mwangu nilikuwaga hata sinuki lakini nilivyojiunga na shule ya boarding nikaanza kunuka kuanzia form 2. Basi nimekuwa ninanuka mpaka leo nimeishakuwa mtu mzima na...
6 Reactions
103 Replies
14K Views
Jamani nimeshindwa kuelewa maana ya neno hili PLASMATIC HUMAN VIRUS(PHV) Naomba kujuzwa na inafanya VIP kazi na nikitu gani hasa Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Uzi tayari Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Mwenye ufahamu wa dawa tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
3 Replies
1K Views
jaman habar.. mim nina matatiza.. huwa napat san maumiv ya misuli ya shingo mabega na mgongo... nina zaid ya miez mi3.. na nimeshatumia san dawa tofaut tofaut bila ya manufaa yotote.. maumivu...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Nimepima BP nimekutwa na 129/81 Uzito Nina 75 Je? Kwa Majibu ayo Presha Ipo kawaida au Imezidi?
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Wanabidi wataalamu wa afya naomba msaada wenu, mtoto wa ndugu yangu anaumri wa miaka 5, alikuwa analalamika sana kuwa anapata maumivu ya tumbo baada ya kula chakula na walipompeleka Hospitali...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari za leo wapendwa Cancer ya utumbo mkubwa (Colon Cancer) ni ya tatu duniani kwa kusababisha vifo ukitoa breast na lung cancer. Dalili za cancer hii ni pamoja na kupungua damu, kutoa damu...
8 Reactions
27 Replies
13K Views
Habari wandugu,jamani nimepata tatizo pindi nikiwa nafanya mapenzi na mpenzi wangu uume huwa unasimama lakini nikianza kumfanya tu kama dakika moja hivi umme husinyaa ghafla na hausimami tena sasa...
0 Reactions
9 Replies
8K Views
Naomba kusaidiwa kuwa ni kwa nn ugonjwa wa maralia hauwekwi ktk list ya magonjwa ya kuambukiza km HIV?,au vp mtu akifanya mapenzi na mgonjwa wa maralia na michubuko kwa wote ikatokea si wale...
0 Reactions
1 Replies
885 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…