Ni kitu ambacho kinaweza kuonekana au kufahamika(common) kuwa kina mama(wanawake) wengi kuwa huwa wanaongezeka uzito(gain weight) pindi wanapo jifungua(kupata mtoto) kwa mara ya kwanza na...
Habari zenu wadau?
Poleni na majukumu ya kila siku.
Niende kwenye hoja ya msingi, tumekuwa tukiona wa mama waja wazito wakihudhuria clinick mpaka wakijifungua bado wamekuwa wakipeleka watoto wao...
Jf naomba mnisaidie sukari imepungua mwilin hadi kufikia 4 hv ni vyakula gani natakiwa kuviepuke au natakiwa nizidishe vyakula vya sukari hli ipande nisaidien kwan hadi sasa nimechanganyika na...
Habari za asubuhi wakuu. Ni mara yangu ya kwanza kupost katika jukwaa hili la Jf Doctor. Naimani nitapata ushauri wa hili tatizo langu maana ni kama siku ya nne sasa linajirudia pamoja na dawa...
Wakuu habari za leo?
Naomba kuuliza endapo kundi la damu linaweza kusababisha mwanamke au mwanamme kuwa mgumba. Naamini wataalam hapa jukwaani watasaidia kutoa majibu sahihi.
Samahani kama...
Mtoto wangu ana miezi 10 huwa kama nikijaribu kucheza na mke wangu yaani tuna pretend kupigana ngumi au makofi basi mtoto wangu analia kweli, akitulia bado nikiwa najifanya kumpiga mke wangu...
Salaamu sana wana JF mwanangu ana miezi mitatu na siku 13 mpaka sasa.
Anayo shida ya kujisaidia kinyesi cha ranging kama ya kijani vile , kikiambatana na utelezi hivi na kikiwa na povu kwa juu...
Habarini za jumapili wakuu.
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. N vyakula gani ambavyo unaweza kupatiwa watoto ili kuwapa hamu ya kula hasa kwa watoto wadogo..?
Tupeane ujuzi kwa wale wanaojua...
Salam!
Jamani bila kupoteza muda Mimi ninatatizo ,na nila hivi karibuni. Naota bila kufaham sometimes nakikumbushwa nakumbuka lakini sio kila kitu, wakati mwingine sikumbuki, najua kuota sio jambo...
Kama unasumbuliwa na tatizo LA kutopata hedhi mara kwa Mara.
√ chukua kijiko kimoja cha tangawizi changanya na kijiko komoja cha mdalasini.
√ weka kwenye maji nusulita.
√ chemsha mchanganyo huo na...
Habari wana jamii forum, kwa experience yangu kuna dawa nyingi zinazotibu schizophrenia, ila ukiacha kunywa hizo dawa tatizo linajirudia. je kuna dawa inayotibu hili tatizo moja kwa moja? kama ipo...
Wa salaam...
Nimekuwa mhanga wa hili tatizo kwa mda wa miezi minne Sasa.
Miguu inawasha mda wote na nikiikuna kwa nguvu Kuna vitu vyeupe flani hivi hutoka... Hakuna dalili zingine na hizo. Naomba...