Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

STOOL/BLOOD CULTURE AND SENSITIVITY FOR TYPHOID FEVER Members salama ? Naomba kujua ni HOSPITAL gani kwa DAR naweza pata huduma hiyo kwa WEPESI na ubora zaidi ukiacha Muhimbili ? ?
0 Reactions
2 Replies
945 Views
STOOL/BLOOD CULTURE AND SENSITIVITY FOR TYPHOID FEVER Members salama? Naomba kujua ni hospitali gani kwa Dar naweza pata huduma hiyo kwa wepesi na ubora zaidi ukiacha Muhimbili.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wakuu, si mnajua siku hizi ni mwendo wa masinki tu huku kitu unakiona kabla hujakisindikiza na maji.. Sasa unavoona maharage yakiwa mazima kabisa tatizo ni nini?
0 Reactions
24 Replies
3K Views
http://jukwaalaafya.ml/2018/03/13/yajue-mazoezi-rafiki-kwa-nguvu-za-kiume/
0 Reactions
0 Replies
979 Views
http://jukwaalaafya.ml/2017/11/27/tatizo-la-kushindwa-kushika-mimba-kwa-wanawakeugumba/
0 Reactions
0 Replies
889 Views
Habari ndugu zangu sipo hapa kudhihaki wala kukosoa uumbaji wa Mungu au kumtukana yeyote kwa namna yeyote ile naomba atakayekwazika na swali langu anisamehe ndugu zangu. Nimekuwa nikijiuliza...
1 Reactions
20 Replies
9K Views
Kwanza kabisa niwape pole kwa majukumu na mihangaiko yenu ya kila siku nimekuwa na uhusiano na mdada (manzi) mmoja hivi for almost three months sasa,na kiukweli tangu tuanze uhusiano wetu...
1 Reactions
30 Replies
5K Views
Habari wataalamu! Naomba msaada kwa yeyote ajuaye wapi nitapata dental probiotics na gut probiotics hapa dar, hasa zile za kampuni ya hyperbiotics. Nimejaribu kutafuta hapa dar sijaona mpaka...
0 Reactions
0 Replies
719 Views
Habari wana JF wote. Naomba mwenye uelewa anisaidie kuniweka wazi katika masuala haya. Virusi vya UKIMWI vinaishi kwenye damu au maji maji yoyote yanayotoka mwilini kwa aliye athirika? kama...
2 Reactions
24 Replies
61K Views
UTANDO WA NGOZI ANAOZALIWA NAO MTOTO SIO UCHAFU,FAHAMU UMUHIMU WAKE - DOCTOR JOH
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Habari za muda huu wana-JF! ASALI inafahamika kwa muda mrefu kama chakula muhimu ambacho pia kinasaidia sana katika kupambana na magonjwa mbalimbali na matatizo yatokanayo na uzee. Kwa mujibu...
6 Reactions
461 Replies
501K Views
Wenye vitambi mnaweza kusoma hii list ya vidonge vinavyoweza kusaidia kupunguza kitambi. Hizi dawa zimethibitishwa na serikali ya Marekani, sijajua kama Bongo zinapatikana. Chanzo ni...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Imeelezwa kuwa matatizo ya kisaikolojia yanayoendana na msongo wa mawazo yanayowakumba zaidi wanaume chini ya umri wa miaka 35, yamekuwa chanzo cha kuwepo kwa upungufu wa nguvu za kiume. Hata...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Nataka kujua sababu ya mtu kutafuna /kula kucha na nn madhara yake
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari njema ziwafikie wanawake wote mlio na matatizo ya uzazi. Wanawake wanaohusika na huu uzi ni wale wenye matatizo yafuatayo. 1. Kudaka mimba alafu hazifiki miezi tisa zinatoka 2. Kupata...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wakuu naombeni msaada juu kama nlivyouliza hapo juu
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari ya wakati huu ndugu zangu. Hili suala la mtu kulundikiwa dawa ukienda hospitali hasahasa sisi wa bima ni kwamba madaktari mnataka tupone kwa haraka au limekaa kibiashara zaidi.Niliwahi...
0 Reactions
7 Replies
913 Views
Habari wana jf. Naomba mwenyekujua naweza kupata wapi vidonge vya phertamine kwa Tanzania ama dukagani la dawa maana wameniambia inapungiza uzito ila lazima upate prescription ya daktari ambayo...
1 Reactions
6 Replies
8K Views
Wataalam, Naombeni jibu. Dem kashika mimba within 3 weeks akagundua kwamba anamimba na hakua tayar kuzaa, akatumia vidonge vya kutoa mimba. Anasema dalili zilionyesha kwamba alianza kupata...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Habari za sahizi wana jamvi ningependa mnifahamishe nimempa mimba mwanafunzi wa kidato cha sita sasa yeye ameniambia aitaji kuzaa tukashauriana tuitoe sasa amekwenda duka la dawa akaanunua...
3 Reactions
38 Replies
28K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…