Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Ni muda kama mwaka na kadhaa najamba mara kwa mara bila sauti,lakini inakera sababu ni nini; ila sina vidonda vya tumbo
0 Reactions
23 Replies
31K Views
Mafuta asilia yenye manukato Uhusiano kati ya matiti yasio ya kawaida ambayo humea miongoni mwa wavulana na utumizi wa mafuta ya mti wa lavender na ule wa chai umetoa uzito tofauti baada ya...
0 Reactions
2 Replies
905 Views
habari wakuu nna tatizo lakupat maumivu wakati wakukaa ila sio muda wote nimejichunguza kuna kijipu uchungu karibu na njia ya haja kubwa ila hakijaiva na nikikigusa hakiumi inaweza kuwa ndio...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Mara baada ya kufanya ngono na mpenzi wangu alisema anahisi kama kuna uwazi halafu maji yanaingia. Je hii ni dalili ya kwamba mimba imeingia?
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Mtoto wangu tangu azaliwe sijui ana janga gani alikuwa anapata choo mara moja kwa week nilimuuliza Dokta akasema haina shida sasa hivi ameanza kula misosi bado hapati choo fresh ukizingatia...
7 Reactions
47 Replies
5K Views
Nilitoka kusex na mke wangu mara baada ya kumaliza akaniambia anahisi tumboni mwake kama kuna tundu na maji yanaingia. Je hii inaweza ikawa dalili moja wapo ya ujauzito?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika uzinduzi wa kiwanda cha Phillip-Morris, Morogoro, Rais wetu Dokta Magufuli, alirudia kuyakosoa mafuta ya kula yanayoletwa nchini kwamba hatujui kilichomo ndio maana tunapata ma kansa...
4 Reactions
9 Replies
3K Views
Nina tatizo la kuwashwa haswa nikipigwa na jua na kuamka huku nikiwa nina alama za kuchanjwa mgongoni na mgongo kuuma. Haya matatizo yanatokana na nini?
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Ningependa kujua tatizo hili linasababishwa na nini? na je linaweza kutibiwa na kuisha kabisa? Asanteni.
0 Reactions
46 Replies
31K Views
Mdomo ukliwa umeathiriwa na bakteria kufuatia kutumiwa kama njia ya kufanya mapenzi Saratani imeendelea kuwa tishio hapa nchini huku hofu ikiendelea kuikumba jamii kutokana na wataalamu wa afya...
1 Reactions
254 Replies
47K Views
wajuzi wa mambo nijuzeni. nini chanzo na tiba za huu ugonjwa.nina ndugu yangu jana alikutwa na hili tatizo. nawasilisha
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Ma-daktari na waelevu mliojaa humu JF naomba mnisaidie coz nina tatizo, mnamo mwaka 2010 niliwahi kufanya operesheni ya korodani yangu ya upande wa kushoto baada ya kugundua kuwa imeanza kuvimba ...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Lips za mdomo wangu umekua mweusi kwa juu na chini alafu umefanya mstari mweusi pics umepasuka pasuka kama vile mnywa gongo. Ni muda wa mwezi sasa nisaidieni nitumie dawa gani sina amani kabisa.
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Moja kwa moja kwenye swali. Hivi hospitali, ambazo wanauwezo wa kupima kundi la damu la mtu.. Na bima ya afya ya taifa yani NHIF inakubalika katika hospitali hiyo. vipimo hivyo nitaweza kupatiwa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Moja ya mambo ambayo huwa nayo makini sana napokuwa na barafu wa moyo wangu ni kuangalia sehemu zake nyeti kwa umakini mkubwa. Huwa sometime napenda tu kumwona ameiachia wazi then mimi napaangalia...
30 Reactions
236 Replies
24K Views
Habari wana jF nilikuwa naomba msaada wa maelekezo juu ya hospitali nzuri ya masuala ya uzazi mke wangu anatatizo upande wa uzazi sasa nahitaji akafanyiwe vipimo kuhusu uzazi Je ni hospitali ipi...
0 Reactions
10 Replies
11K Views
Je inakuaje mwanamke mwenye mimba anatokwa na damu mara moja halfu inakataa?
0 Reactions
0 Replies
551 Views
nipo arusha kwa siku kadhaa sasa.leo asubuhi hapa ofisini kuna jambo lilitokea mbalo kwa kiasi flani lilihatarisha hali ya utulivu ,amani na utengamano ambayo ilikuwepo ofisini. ndugu yetu mmoja...
2 Reactions
10 Replies
5K Views
Habari za jioni ndugu zangu. nilisafiri kwenda kijiji flani nikatumia maji sio salama. sasa nkapata typhoid yaaani imekataa kupona. nmepima mpaka ukimwi sina. Tatizo nn?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…