Nina wiki mbili sasa nikifanya mapenzi na mpenzi wangu najishanga nikimpiga goli moja tu uume unalala na unachelewa kusimama.
Nanukuu anavyonambia ''wewe sio bure, mara wewe kama umenichoka...
Ndugu wadau kuna taarifa nimezisikia kuwa mwanaume aliyetahiriwa ana asilimia chache za kupata maambukizi ya virusi vya ukimwi endapo atafanya mapenz na mtu aliyeathirika na vvu, je ni kweli?
Kwa muda sasa nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la kufika kileleni mapema wakati wa tendo la ndoa kwani dakika moja au mbili tu inanichukua kufyatua manii hali ambayo inaninyima raha na kuchukiwa...
Kwa ufupi
Ugonjwa wa kisukari ni miongoni mwa maradhi sugu ambayo yamekuwa yakiwapata watu wengi katika siku za karibuni. Hadi sasa hayana tiba mwafaka.
Lawrence Mashati (si jina lake halisi)...
Habari zenu wanajf , kama kichwa cha habari kiavyojieleza hapo juu
Nina mtoto wa umri wa miezi minne sasa, jana majira ya saa moja jioni mtoto alisusa kunyonya ziwa kutoka kwa mama yake, hii...
Neno Sex ni 'gender' ikimaanisha jinsia. Sexual act inamaana ya tendo la ndoa lenye kuhusisha jinsia mbili.
Wale wanaoenda zaidi na kufanya ile inaitwa kinyume na maumbile ni kosa kwa Mungu wao...
Nimeishi zaidi ya miaka 4 nikiwa na hofu ya kuambukizwa virusi vya Ukimwi,ila tangu nilipopimwa,nimekuwa na amani sana moyoni,haswa pale nilipoambiwa afya yangu iko salama,sitasahau wasiwasi...
Ndugu zangu wenye taaluma ya afya ya binadamu, naomba kuulizwa swali dogo tu ambalo limenitatiza kwa muda mrefu sasa bila majibu.
Swali:
Kila ninapokula pilipili au kinywaji cha baridi sana haswa...
Kumekuwa na matangazo mengi kwenye mitandao ya kijamii juu ja uwepo wa dawa mbalimbali za kiasili zenye kuongeza umbile la ndonga.Binafsi nimewahi kutumia baadhi ya dawa lakini sioni matokeo...
Kwa sasa kuna wimbi kubwa la watu ambao wanasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume, wengi wao matatizo yao yanatumiika kwa kubadili mfumo wa maisha tu na wachache ambao wamejiharibu kwa kujichua na...
Leo asubuhi kuna mdudu wa kuruka kaning'ata juu ya jicho paliumaa halafu pakaanza kuvimba mpaka now jicho limevimba balaa ila sikufanikiwa kujua ni mdudu gani
Ushauri plz...
Habari wana Jf
Tatizo langu ngozi yangu ya uso inakuwa inajitengeneza vipele mpaka inafikia kama jipu na ukivishika unahisi kama vimetunga usaha ila avijitengenezi pakutokea inaweza ikakauka ila...
Nashindwa kuelewa,saivi kuna utaratibu wa kupimwa HIV kabla hata hujaenda maabara,nasikiasikia tu kuwa ni mwongozo wa serikali,je hii ni kweli,au ni huku tu nilipo mimi?
Msaada please!
Nina ndugu yangu hapa mke wake anaujauzito wa miezi 6 ila tatizo lake ni kuwa, anaona maruweruwe machoni pake si mchana wala usiku. Je ni nini tatizo?
Mimi nina ndugu yangu katokea jijini Dar kaja kuniona jijini mbeya lakini toka amefika baada tu yakukaa siku nne yalimuanza mafua mazito wakati mwingine ya maji maji pia kifua kina mbana na...
Napenda kuwa julisha wana JF kuwa nakaribisheni maswali mafupi mafupi yanayohusu tatizo lolote la kiafya.Maswali yote yatajibiwa mara moja kwa wiki iwe ni tatizo ulilonalo wewe binafsi au...
Kama kuna vitu vinaniondoa mchezoni wakati wa kugegedani ni hivi vitu vyeupe vinavyoonekana katika hatua za mwanzo wa show
Haki mimi hua nashindwa kuendelea maana havihamashishi kabisa...
Je, hii hali huletwa na nini na dawa yake ni nini? Ni nguvu za giza au ni hali ya kawaida tu kwa mwanamke yoyote? Au ni sababu ya vyakula nnavyotumia?
Ushauri please