Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari wana jamii, hongereni kwa majukumu, Mimi ni mdada au wa miaka 34, nina watoto 3 ninahisi kama nina tatizo sasa hivi, ni kwamba wakati nikiwa msichana nilikuwa naloa sana ukeni, baadae...
0 Reactions
13 Replies
9K Views
Wadau habarini za masiku. Naomba kufahamishwa mimi nimeamua kuanza program ya kupunguza mwili na nashkuru nafanikiwa kwa sababu nilikuwa na kilo kama 77 ila saivi nipo na kilo 70 na mwili bado...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Habarini JF, Kwa kipindi kirefu nimekuwa nikiuziwa au nikipata changamoto nzito napunguza maumivu kwa kulia na ilikuwa inanisaidia maana nikishalia automatically nakuwa sawa kama kusamehe...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Wakuu, nna dozi ambayo haifai kuchanganya na diclofenac, na natakiwa kuianza leo mchana, sasa jana mchana nlikunywa diclofenac pill moja, je mpk sasa itakua out of system ili nianze mchana huu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Juzi nilifika Hospitali moja ya rufaa itwayo Ligula mkoani Mtwara kwa lengo la kumjulia hali mke wa ndugu yangu ambae alifanyiwa Operation week 1 baada ya kujifungua. Nikiwa pale Hospitalini...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Naomba kujua kutoka kwa madaktari 1.nini sababu inayopelekea kupoteza hamu ya kula ya aina yoyote ya chakula ili hali unajihisi kuwa na afya tele (yaan haugui hata kidogo) 2.nini sababu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu habari, Kama kichwa cha habari kilivyojitosheleza, kuna mtu anatafuta dawa ya asili ya kutibu koromeo kuwasha... Yaan haipiti sekunde anafanya "ahha ahha " nafkiri mnajua huo mlio...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
habari ndugu jamaa na marafiki. nipo hapa kuwashauri na pia kuwasaidia, wote wanao sumbuliwa na vidonda vya tumbo! mimi niliwai kuumwa vidonda vya tumbo taklibani miaka 5. vilinitesa sana, kama...
5 Reactions
36 Replies
11K Views
Wakuu naulizia hospital nzuri ambayo inakushauri vizuri namna ya kupunguza pressure yako. Kwan naona hoapital nyingine ni kama wanakupa madawa tu unywe. Dawa unakunywa lakin still pressure bado...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Niaje wakuu... Mwenye kufahamu dawa ya kuondoa makovu ya ngozi naomba anitajie hapa jina kamili la dawa.. Iwe ya kupaka, kuchua au kunywa So 900 itapendeza sana.
0 Reactions
9 Replies
31K Views
Wakuu nina mwanangu mwenye miezi minne hivi ameanza kuvimba fizi za juu kuonesha ishara kwamba meno yanakaribia kuota watu wameniambia ni vibaya kwa mtoto kuanza kuota meno ya juu naombeni ukweli...
1 Reactions
8 Replies
15K Views
Napata maumivu kwenye meno nikitafuna vyakula kama karoti....nyama...n.k Msaada kwa mwenye kujua dawa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za jioni watu wa Mungu,naomba msaada mezani kwangu Nina hoja nimeletewa na mshirika Fulani kuwa yeye anatatizo La Sperm Infertility, Nikaona ni vema nikalileta humu kwenu madaktari...
1 Reactions
52 Replies
7K Views
Naomba ushauri nawashwa sehemu ya uume kuzunguka sehemu yote ya siri mpaka pumbu zinawasha sana mpaka sipati raha wakati nikifanya tendo la ndoa. Nimepima mkojo hakuna tatizo ila mkojo una rangi...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Habarini Za Muamko Kizazi Cha JF.. Nipo hapa kuomba msaada juu ya tatizo hili..,nimalizapo kusex na mama watoto huwa nakuta mabaki ya damu kwenye vitambaa ambavyo hutumia kujifutia japo s...
2 Reactions
28 Replies
18K Views
Mtoto wangu ataanza kula wiki inayokuja maana anafikisha miezi sita naombeni diet nzuri sitaki anenepe sana kama mama yake maana hapa kananyonya tu ila ana 10 kg. nimpe chakula gani?
2 Reactions
54 Replies
24K Views
Daktari wa wanyama nchini Tanzania, Dkt. Obed Kiariro amedai kuna uwezekano mkubwa wa Paka anayefugwa majumbani hupelekea kuharibu ujauzito kwa binadamu endapo mnyama huyo hatopewa matunzo mazuri...
0 Reactions
30 Replies
13K Views
Habari zenu, Naomba kuuliza ni hosptali gani ambayo naweza kupata Dr. mzuri wa magonjwa ya kinamama tu (tumbo) Ahsante.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nini sababu ya mtu kukojoa usaha na maumivu wakati wa kukojoa?? nini tiba yake(dawa)??
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…