Huyu anaitwa Francves ndio jina lake halisi ni kuruta mstafu wa jeshi.....mwaka 2006 alikutwa na High Blood Pressure.
So, nini maana ya presha ya juu ya damu acheni ujinga nafundisha masomo afu...
Some dental anesthetics and Vitamin B12 injections now contain Graphene
August 6, 2024
By Diana Wojtkowiak- MD, PhD
Image courtesy: Graphene Oxide TEM Substrates Graphene Oxide TEM Substrates –...
Wakuu habari zenu,
Kama nimevyoandika hapo juu nimepima presha Leo na presha yangu ni kama hiyo niliyoandika Ila sikuwahi kuwa na presha. Sasa wakuu ushauri wenu nianze dawa au nianze lishe ya...
Wana JF Mimi ni mmoja wanaopenda sana watoto mapacha, tena mapacha wanaofanana hasa wakiwa wa kike!
Je, kuna njia yoyote ya kitaalam au hata ya kienyeji, au dawa iwe ya kisasa au ya kienyeji...
Nawauliza wataalamu wa Afya, hususani Damu.
Je, mtu anayetumia Pombe na Sigara haruhusiwi kumchangia mtu Damu?
Kama ni kweli, Kwa nini?
Ndugu yangu ameshindwa kumchangia Mgonjwa Damu kwa sababu...
Kuna tiba kadhaa za asili zinazoweza kusaidia kuboresha tatizo la uume, lakini ni muhimu kushauriana na mtoa huduma ya afya kabla ya kujaribu matibabu yoyote mapya. Baadhi ya tiba zinazowezekana...
Mimi ni miongoni mwa vijana wa kitanzania wanaoshtua yaani kutumia kilevi ( pombe) ili kuchangamka Na kuongeza confidence, nilikuwa nikitumia pombe kwa kiasi kikubwa kesho yake Basi naamka Na...
Kiukweli hata mimi huwa ninaogopa baadhi ya mambo yakinisibu, lakini huwa najipa Moyo kuwa yatapita tu.
Hata Liwe Jambo kubwa kiasi gani najipa moyo mwenyewe tu kuwa nitatoboa tu.
Na mara nyingi...
Montelukast sodium 10g
Amepewa mtoto wa miezi saba. Anakohoa kwa mbaali kihohozi kama amepaliwa na maji.na sio kiviile lbda mara tatu kwa siku koh koh koh koh sio kiviile yaani. Na Yuko tu poa...
Habari za muda huu wakuu, hili imeanza muda lakn sasa hivi imeshika kasi, yani ipo hivi naweza kuwa nimelala au nimekaa au nafanya mishe yeyote lakini ghafla nikapata mshtuko hadi watu wa karibu...
Bamia ni mboga yenye umuhimu mkubwa katika lishe yetu na maji yake yana faida nyingi kwa afya. Mbali na kutumiwa kama sehemu ya mboga kwenye mchuzi au rosti ya mboga, maji ya bamia yana umuhimu...
Wakuu,
Kuna kitu huwa najiuliza sijawahi kupata majibu ya kuridhisha!
Mimi ninachojua; ubongo upo kichwani, uwe ni unaohusika na mambo ya hiari, yasiyo ya hiyari, upo Kichwani.
Swali...
Nafahamu utendaji wa figo, kuchuja uchafu na vitu vinginge vilivyo katika damu na kutoka kwenye mwili wa binadamu kwa njia ya mkojo.
Na hii hufanyika mara thelathini na ushee hivi kwa masaa 24...
Habari wakuu... Wapi naweza pata Liquorice/Licorice root hapa Dar kwa ajili ya matibabu ya vidonda vya tumbo.
✓ Wholesale au retail.
✓ Bei ikoje kwa kilogram au kipimo Chochote.
Natanguliza...
Wazee habari za majukumu nina shida ya ngozi ambayo inapelekea fingerprint za mikono yangu kadiri siku zinavyozidi kwenda .
Binafsi mi likija suala linalohusisha fingerprint kwangu uwa ni...
Homa ya nyani ni ugonjwa unaosababishwa na kirusi kinachotoka kwa nyani.
Kirusi hiki kiligundulika mnamo mwaka 1958 barani Ulaya.Ila mwanadamu wa kwanza kuupata ugonjwa huu aliupata mwaka 1970...
Habari wanaJF
Wapo wanawake ambao hujifungua kwa njia ya kawaida ila kuna wengine hujifungua kwa operation nini kinapelekea wanawake kujifungua kwa operation? Kwa wajuzi mnaweza mkatiririka
Nimeona nije huku kwa great thinkers Huenda nikapata mawazo mawili matatu.
Mtoto wangu wa mwaka na miezi mitano anaharisha na kutapika leo ni siku ya Tatu. Anapata choo chenye rangi ya njano hivi...
Habari zenu Wana jf poleni na misukosuko ya maisha.
Mimi nina tatizo la kujamba kila baada ya dk mbili yaani twenty four hours na hili tatizo lilianza tangu nije hapa kwa wahindi maana nakaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.