Sijui ni mambukizi maana nililala na manzi
Hadi sasa kinawasha mno hadi kubabuka, nilpata na vipele mapajan nikatumia scaboma ahueni ila kwa dushe avisikiii vinawasha mbaya mbovu
Pia kama...
Kama picha inavyoonekana hapo, nasumbuliwa na hayo mabaka kwenye kende hapo. Vinawasha hatari sio poa.
Msaada wenu dawa gani inafaa?
=====
Maoni yaliyotolewa na mdau
Hiyo ni chronic fungal...
Jamani nawaasa na kuwaomba chondechonde tuliheshimu jino. Jino limeniweka kwenye nusu kaput, umwamba wote, mafunzo yote ya kibabe niliyasahau[emoji119]
Nimeapa kuwa balozi mzuri kuhusu haya...
1. Ndugu zangu JF nina shida ya jino limetoboka sasa sijajua gharama ya kuziba ni shilingi ngapi maana sina bima. Please, anayefahamu ni bei gani naomba anijuze.
2. Njia bora ni ipi, kung'oa ama...
Habari wakuu, hii sio masihara jana usku katika harakati ya kudumisha ndoa nilipata mshtuko wa uume nikahisi umevunjika, hadi saiz unauma na siwezi ku-Erect vizuri ukasimama wima, ila unanyanyuka...
Kama kawaida yetu sisi wa Tanzania tunapendana na Kujaliana hivyo mtu anapoazima kitu tunampatia anatumia na kisha anarudisha na wewe unaendelea kutumia.
Wengi huazimana Earphone kazini, kwenye...
Leo tupeane uzoefu kidogo kwa wanatumia tiba mbadala kama za wamasai, wachina, wakorea na makampuni mbalimbali kama BF suma.
Naona zinauzwa sana Kariakoo dawa asili za kutibu kisukari, pressure...
Mganga hajigangi .😷
Nina skull fracture ilio sababisha ubongo kua compressed >2.5mm inwards, space ilio wazi kati ya vipande vya fuvu ni >2mm, urefu wa ufa ni >35mm. MRI BRAIN IMAGES CHINI
hamna...
Serikali ya Tanzania imesema imeongeza posho za madaktari anapoitwa nje ya saa za kazi, posho ya sare za wauguzi na ile ya kuchunguza maiti kuanzia mwaka wa fedha 2024/2025.
Hatua hiyo imekuja...
Muda mchache ujao wanawake watakua wakiwalipa wanaume ili wanyonywe matiti.
Kutokana na report ya mtandao wa BBC madaktari wanasema wanawake wanapunguza uwezekano wa kupata kansa ya matiti kwa...
Habari wana JF, poleni kwa mihangaiko ya kusukuma mbele maisha.
Back to topic: Nina binti yangu ana miaka miaka miwili na miezi kumi, yapata katika kipindi cha miezi mitano sasa, kwa nyakati...
Habar wana Jf
Leo nimekuja kutoa ushuhuda jinsi nilivyopona vidonda vya tumbo kwa kutumia bamia narudia mara 2 ni kiboko ya vidonda vya tumbo.
Nimeteseka kwa muda sana nimetumia dose za gharama...
Habari wana JF,
Mwanangu ana tabia ya kujishika usoni na kulia sana wakati wa asubuhi, sasa leo hali naona imezidi mpaka mchana huu analia tu.
Naomba ushauri kabla sijampeleka hospitali.
Habari ndugu zangu,, kiufupi mimi nilifanyiwa operation ya Tonses mwezi July 2015 na baada ya hapo huwa tu nasikia maumivu, sasa Jana nimesikia maumivu makali na leo pia yaani nikimeza kitu kama...
Najua wengi watasema nenda hospitalini lakini ni kuwa huko amepelekwa na hadi madaktari wa mifupa amekutana nao lakini hawajafanikiwa. Anakuwa kama anapararize upande mmoja hasa kwenye mkono mmoja...
Uume wangu ni mkubwa sana hali hii inanikera kutokana nakimbiwa sana na wanawake wenye umri kama wa kwangu au niliowazidi.
Nikitoka kwenye shoo huwa hawarudi hata kutembea hawatembei vizuri...
Zujuie chuchu za Mwanamke !
✍️Dr. William
- Maziwa ya mwanamke ni futa futa za nyama ambazo zina wingi wa mishipa ya damu.
- Uhai wa maisha ya mwanamke upo kwenye maziwa yake, hivyo piga...
Nina vipele kwenye weusi kuzunguka chuchu. Nimetumia dawa vinaisha baada ya muda vinarudi tena.
Nikashauriwa nitafute Daktari wa ngozi.
Msaada tafadhali
Habarini wana JF, naombeni kuwauliza yafuatayo:
1) Hivi inawezekana mimba kutungwa endapo mwanaume katumia kinga kikamilifu (condom imara aina ya rough rider) na kinga hizo hazikuharibika hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.