NIMESHARE NA WEWE MWANA JF NIMEITOA FB KARIBU TUJITIBU SOTE.
Hii ni orodha ya magonjwa 90 kwanza.
Inapotokea wafalme wa Misri, Malkia wa Ulaya, Mitume na wanasayansi wa kisasa wanakuja na...
Uelewa mdogo wa jamii kuhusu masuala ya lishe ikiwemo matumizi sahihi ya vyakula vinavyopatikana katika maeneo mbalimbali ya nchi ni miongoni mwa sababu zitajwa kuchangamoto utapiamlo ndani ya...
Habari wakuu
Rejea kichwa tajwa hapo juu,kuna dada anasumbuliwa na huu ugonjwa anawashwa ukeni na tumbo linauma kwa chini.
Naomba dawa nzuri itakayomsaidia.
Salaam.
Nimejaaliwa kupata mtoto mchanga na anatimiza mwezi wa pili kesho kutwa.
Nikiri kwamba huyu ndie mtoto wangu wa kwanza, leo katika kufanya observation ya mtoto nimeona kabonyea upande...
Salaam.
Wadau naomba msaada wenu wa njia mbadala wa kupunguza uzito , tunafanya Mazoezi lakini matokeo yake ni kidogo sana. Kama kuna Mdau mwenye ushauri mzuri kuhusu suala hili atusaidie au Kama...
Nimefanyiwa root canal treatment nimewekewa dawa sielewi ni dawa au nini inayeyuka kadri siku zinavyoenda na shimo la Jino linaonekana napata shida hata kula siwezi
Mwenye Experience na root...
Habari zenu wana JF
TATIZO;
Nilikuwa najihisi nina malaria, baada ya kupima nilikuwa nayo ipo ya kutosha
Nilitumia dawa zinaitwa EKEFLIN (za Kenya) but baada ya hapo asubuhi niliamka na hali...
Kuna kesi ipo mtaani:
Kuna wagonjwa (mke + mume) wa HIV ambao walishapima tangu miaka 15 iliyopita baada ya kuumwa mara kwa mara magonjwa kama vile fungus, typhoid na maradhi mengine
Baada ya...
Salaam Wakuu,
Binafsi nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu tumbo la chini kulia, maumivu makali sana baadaye yanapotea. Baada ya vipimo vya x ray, ultra soun na CT scan imebainika nina mawe matatu...
Nipo naumwa jamani sasa katika swala la lishe naona napata changamoto sana vidonda vinanipa shida sana ndani ya mdomo na ulimi. Nimejaribu kutumia vitamin B complex lakini naona dozi inaishia...
Naombeni ushauri na msaada kuna mtoto anakohoa sana nimetumia dawa zote hospitalini lakini bado. Wakati wa usiku ndo vinazidi mpaka anashindwa kulala halafu kinakuwa kikohozi kinamletea kama...
ATHARI ZA KUPIMA UTI PASIPO ULAZIMA
Ukienda kupima malaria unaambiwa una UTI. Ukijisikia dalili za homa inayotokana labda na infection kwenye jeraha, dokta anakuambia utapata dawa za kidonda na...
nimegundua vijana wengi na watu wazima ambao sio wazee ambao hunyoa kipara kichwa chote muda wote huwa wanavipara kama vya wazee ikitokea wameacha kunyoa nywele. Asilimia kubwa.
Jana nikiwa kwa...
VICHOMI ni lugha ilio zoeleka kwa wanao sema kua kuna vitu vinachoma juu ya tumbo au mbavu, maumivu makali na ya mda mfupi kama mwiba umechoma eneo kilo.
LAKINI KIUHALISIA TUKISEMA TUNAVICHOMI...
ADUI WA KWANZA MAGONJWA
Magonjwa ni adui namba 1 wa uume wako. Magonjwa ya sehemu za siri, magonjwa ya mwili. kwa ujumla, na magonjwa ya wanaume kama - tezi dume ni adui wa uume wako. Ugonjwa kama...
🔹Kuwa kijana huja na Matukio ya kusisimua ambayo yana Changamoto maradufu.
🔹Akili ya kijana hukua Kulingana na namna anavyoshughulikia maisha yake ya kila siku.
🔹 Tafiti Zinaeleza kuwa 75% ya...
Jamn siku ya leo nimeshindwa kufanya tendo nikiingia kidogo kwenye uke namwaga mapema. Mwanzoni nilikuwa muhanga wa punyeto lakin nimeacha kwa muda mrefu kidogo ila sasa nashindwa kufanya tendo...
Ni siku ya 16 sasa hamu ya mapenzi iko juu San Imenifanya nmefuluriza nafanya mapenzi sana kila siku iendayo kwa MUNGU Kuanzia tarehe 02 april mpaka leo hii tarehe 18april
Kinachonisikitisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.