Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Hello mim mgeni samhn nasumbuliwa na kitu kukaba kooni nimezunguka bila kufanikisha Tiba mwenye kujua tiba tafadhali anijuze[emoji120]thanks
1 Reactions
41 Replies
8K Views
Kwanini unalala uchi ? 1. Kulala bila nguo kunafanya mwili wako uwe relax pamoja na celi za ngozi kupumua haswa. 2. Kulala uchi kwa asilimia 80% huwa wanawahi kupata usingizi zaidi kwa haraka...
18 Reactions
64 Replies
3K Views
Kuna mgonjwa akila chakula anapata maumivu kifuani usawa wa kwenye moyo anasema anasikia kama vile Kuna mtu anamchoma na misumari kwenye moyo na pumzi inakata kama vile mtu anaekata roho Kwa dk...
0 Reactions
9 Replies
404 Views
Naomba wajuzi mnieleze ukweli wa hili Jambo. Wife alienda piga , X- ray ya mbavu but akaambiwa avae kanga, but wakati wanapigwa akaambiwa aifungua Ile kanga. Je, ni kweli hili Jambo ilipaswa kuwa...
8 Reactions
49 Replies
1K Views
Heshima kwenu nyote Ni wazi kuwa sie wabongo ni watu wa kujaribu vitu hata vile tusivyo visomea. Nitaweka baadhi ya dawa(vidonge) ambavyo vinatibu ugonjwa fln lakni Kwa ujuaji wa kibongo vidonge...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu je nikweli wahaya wanajua dawa za magonjwa ya moyo
0 Reactions
5 Replies
290 Views
Habar wakuu nimekua namaumivu ya moyo upande wa bega kwa nyuma tangu mwaka Jana mwenz wa sita ..nlienda jkci nkafanyiwa echo na ecg majibu ya echo yalikua normal...ila ecg ilikuja sinus...
0 Reactions
0 Replies
155 Views
Habari za wakati huu wanajamvi, Rejea heading hapo juu nina ndugu yangu wa karibu kabisa naona tunaelekea kumpoteza siku si nyingi kutokana na stress ama msongo wa mawazo alikokua nao mpka...
0 Reactions
4 Replies
349 Views
Kwema wakuu, kuna dogo mtaani kanywa dawa ya kuulia magugu aina ya ParaeForce. Naombeni njia ya kumnusuru maana ana hali mbaya
1 Reactions
23 Replies
669 Views
Matatizo ya kibofu cha mkojo yamekuwa yakiwasumbua sana watu wengi.Prostate anlargement(kupanuka kwa tezi) ugonjwa huu umekuwa ukiwasumbua sana watu wengi tanzani na dunia kwa ujumla...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Amemaliza form 4 na kapasi vizuri tu ana one, ni Ke. Anataka kwenda diploma kwenye kozi ya sekta ya afya. Anaomba ushauri wa kozi gani nzuri kati ya hizi Ordinary Diploma in clinical medicine...
0 Reactions
3 Replies
230 Views
Naomba kufahamu ni hospital gani au Dr gani anaweza saidia tiba ya tezi dume. Mzee wangu ameonekana na tezi dume kwa vipimo vya awali. Mgonjwa yupo Morogoro.
3 Reactions
27 Replies
1K Views
Kumekuwa na kilio cha wengi juu ya tatizo hili na sisi JamiiForums tumeonelea vema kuwa na thread moja itakayotoa mtiririko unaoeleweka kwa msomaji ili afahamu ukubwa wa tatizo na matibabu...
4 Reactions
349 Replies
233K Views
Habarini wanajamiiforums, Hivi sasa kumekuwa na ongezeko la magonjwa yasiyokuwa ya kueneza (non-communicable diseases) kama vile kisukari, shinikizo la damu na kufeli kwa figo miongoni mwa vijana...
1 Reactions
8 Replies
385 Views
Utafiti unaonyesha kuwa chanjo mpya ina ufanisi zaidi ya 75% katika kuzuia magonjwa na vifo vikali katika mwaka wa kwanza na kwamba kinga huongezwa kwa angalau mwaka mmoja zaidi kwa kupata chanjo...
0 Reactions
0 Replies
245 Views
Habari wadau. Naomba kufahamu hospitalini ambayo ina wataalam wa magonjwa ya kina mama ama gynaecologist mzuri kwa hapa Dar es Salaam. Mpenzi wangu ana tatizo la maumivu wakati wa ngono, hii...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Hallo Wanajamvi habari za jioni. Ni matumaini yangu kuwa hamjambo na mnaendelea vema. Kuna jambo ambalo linanisumbua sana kwa sasa. Ni miezi miwili na nusu tangu mke wangu alipojifungua na...
0 Reactions
9 Replies
12K Views
Hàbar ndg zangu, Kama nilivyoanza hapo juu mwezenu kwenye mbupu zangu zinawasha na zinababuka ngozi sijui shida nini nasijui nitumie sawa gani?
2 Reactions
23 Replies
5K Views
kwa wenye kufaamu ni umri gani hasa mtoto mdogo anapaswa kupewa dawa za minyoo tafadhali nijulishe
0 Reactions
6 Replies
11K Views
Kama kuna mtu ambaye amewahi kutibiwa tatizo la maumbile madogo (kibamia) na akapona anisadie pia na mimi nipate tiba. Tafadhali kama kuna mwenye uhakika na sehemu panapotolewa tiba ya uhakika...
7 Reactions
65 Replies
10K Views
Back
Top Bottom