Hii mitandao inaharibu Sana watu. Hasa sisi wanaume.
Leo wakati fulani napitia blogs na YouTubers jamaa mmoja anaelezea kwanini uume mdogo na namna ya kufanya uwe kama muhogo.
Nikichoelewa ni...
Habari wana jukwaa ;
Naomba msaada wa wataalamu na wazoefu , nina mtoto anaetumia maziwa ya lactogen ila leo nimeenda kununua muuzaji akanambia number 1 iko ya Kenya na kuna ya South Africa. Ya...
Wakuu wa humu mko vizuri?
Ebana jana kulikua na sherehe somewhere ya jamaa yangu, yani me toka asubuhi ilikua ni nyama na pombe tu.
Sasa leo nimeamka, kila nikijamba natoa shuzi linanuka sio...
Kuoga ni sehemu ya muhimu sana katika maisha ya binadamu, baadhi imekuwa ni kama ibada au kujitwaharisha. Wapo wanaopenda kuoga kuendana na mtindo wao wa maisha, mara moja kwa siku au mara moja...
Wakati nafanya tendo kwenye round ya pili, nikawa nakaribia kukojoa nikagundua condom imevuja.
Kumuambia mwenzangu tukapime, akawa mkali sana. Nilifanya kila jitihada akawa ananikimbia, leo ni...
FAIDA ZA PARACHICHI
(Faida 20 za Kula Parachichi)
Parachichi ni aina ya kipekee ya tunda. Matunda mengi kwa asili ni wanga lakini parachichi limejaa mafuta yenye manufaa makubwa kiafya.
Tafiti...
Habari za mchana wadau ningeomba kuuliza nyama ambayo Haina mchuzi wa nyanya inafaa Kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo naombeni msaada wenu nipate kujua wadau
Vumbi hili lina majina mengi sana nayo ni Kasongo, Mundende, putururu, Mpesu, nk. Vumbi hili si vumbi kama vumbi la stoo, barabarani, shambani nk. Hili ni vumbi linalotokana mizizi au Magome ya...
Habari wapendwa Nina mtoto wa mwezi mmoja lakini leo ni siku ya tatu hajapata choo na anakua anajamba na maranyingine ushuzi unatoa harufu hii ni kawaida au kunatatizo, kwa mwenye ujuzi na na...
Wakuu naombeni ushauri,
Kuna rafiki yangu anatokwa na vipele kama hivi, shidah ni nn , maana anasema vilianza kumuwasha mapajani vikafika mpaka uumeni na nyuma kwenye makalio vimemtokea, shidah...
Kuna mgonjwa akila chakula anapata maumivu kifuani usawa wa kwenye moyo anasema anasikia kama vile kuna mtu anamchoma na misumari kwenye moyo na pumzi inakata kama vile mtu anaekata roho kwa dk...
- HIV ni kirusi ambacho hadi leo hakijawahi kuonekana umbile lake sababu kinauwezo wa kugeuza na kubadilika zaidi ya maumbile 360.
- HIV ukiipata leo, itakuchukua WIKI moja ndio ionekane kwenye...
Mimi ni mgojwa wa vidonda vya tumbo. Kuna dawa asili natumia sasa hivi tumbo naweza kulialia halisumbui ila tatizo lililobaki kiungulia hasa nikitembea au nikilala kinakamata ila nikikaaa...
Wakuu habarini smaahani,
Ninaomba kwa anayeweza kufahamu mtu anayekuwa katika hali hii anakuwa anasumbuliwa na ugonjwa gani?
Nina Baba Mkubwa wangu yeye kuna hali humtokea yani unakuta amelala...
Mimi nina sumbuliwa na "Chronical Acne", zinaninyima amani mbele za watu, nakuwa uncomfortable [emoji21], hata kumtizama mtu usoni inakuwa ni ngumu. Umri unaenda bado zipo, mpaka sasa 30 yrs...
Habari ya leo wakuu, kama kichwa cha habari kinavyosema.
Ningependa nipate msaada wenu kwa kunifahamisha dawa au tiba ya Uric acid nyingi mwilini.
Natanguliza shukrani
Habari ndugi zangu
Naomba nijue kuhusu kutolewa kwa kizazi kwa ambao washapitia changamoto hiyo
Je unakuwa na tofauti gani katika kufanya tendo la ndoa na mume
Je Kuna changamoto zingine...
Sikuile naangalia UEFA akaja jamaa na kibaraghashia…
Sasa pale kwenye kibandaumiza kulikuwa na TV mbili zote zinaonesha mechi moja ila zinatofautiana quality na rangi. Moja ilikuwa imepauka nyasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.