Siku hizi ni kama nina bahati mbaya yaan Kila nikiotea kibint nakuta kinanuka ukeni .....yaan vingine vidogo tu lkn balaa....
Naomba msaada wa matibabu ya hii kitu maana Kuna bint mmoja...
Hello, habari za muda huu! Wapendwa, naombeni ushauri kutoka kwa yeyote aliye na uzoefu na hali kama yangu na jinsi alivyofanikiwa kuondokana nayo. Mimi ninasumbuliwa sana na tatizo la kupata...
Habari zenu, naombeni msaada nimekuwa na tatizo la fungasi sehemu za siri kwa muda.
Nilipima VDRL nikawa sina kitu ndio nikaambiwa kwamba ni fungus ila mpaka kujua hilo nilikuwa nimeanza kutoka...
Kitu nilichojifunza kwenye kufungua kesi.
No.1 Hakikisha wewe mwenyewe una ushaidi ulioshiba bila kutegemea watu.
No.2 Usiokote mawakili wa barabarani, tafuta mawakili kupitia watu wako wa...
Habari zenu wakuu natumaini mu wazima. Moja kwamoja kwenye mada...
Wakuu mimi ni kijana jinsia "me" nasumbuliwa na tatizo la FANGUS kwa muda mrefu. Nimetumia dawa mbalimbali za kunywa...
Oga vizuri, jikaushe maji chukua limao ulikate then ujipake makwapani, aloo hata ukishinda na mishe za juani hutasikia hata tone la harufu.
Usiku pia ukisharudi kwenye mishe zako oga, paka tena...
Wakuu habari za jioni, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna mama ni mjamzito kwa sasa ana watoto watatu lakini ametoka kujifungua mwaka umepita mtoto wa mwisho na uzao wote ni kisu. Sasa...
Nimezoea kunywa maji ya kawaida lita 2 asubuh kabla sijaja kitu.
Sasa kuna mdau kaniambia niache eti kasema hayo maji ni mengi yatapandisha sukari mwilini mwangu
Jamani hii kweli au mshikaji...
Mwanangu wa miaka miwili usiku tukiwa tumelala akiwa usingizini huanza kusugua meno yanatoa sauti ya kukera sana.
Mchana akiwa amelala usingizi huwa hafanyi hivo.
Je, ni nini husababisha?
Wakuu nina ndugu yangu ana kisukari mwaka wa tano sasa toka agundue kuwa ana huo ugonjwa
Afya yake kimuonekano yuko poa kabisa huwa anatumia sindano na dawa lakini tunatafuta kama kuna uwezekano...
Nimekutana naye zaidi ya mara tatu, na kila nikikutana naye anatoa harufu kama ya dawa hivi.
Na hii harufu pia huwa naisikia nikikutana na mtu mmoja ambaye taarifa zilizopo ni kuwa anatumia dawa...
Salaam wakuu!
Hivi kwa nini asilimia kubwa ya Wachaga (kutoka Kilimanjaro )magonjwa yao makuu ni kisukari na shinikizo la damu la juu?
NB: Ikiwa una historia ya ndugu wa karibu, ambao wana...
Issue ni kuwa binadamu wazima tunahisi njaa afu tunakula ili tuishi sasa hao ndugu zetu tajwa hapo juu wao wana pataje feelings kuwa wana njaa na wanahitaji kula?
Kwakuwa akili za ku sense...
Wakuu habari za jioni,
Kama kichwa kinavyojieleza, shemeji yenu anasumbuliwa na damu kutoka puani hari hii inaanza tu wakati anaanza kupiga chafya mfululizo gafla damu zinaanza kutoka lakini...
Mm bado ntabaki na msimamo wangu uleule kwamba hawa ndugu zetu tuliowatoa ubavuni mwetu japo ni watamu lakini pia wanatusababishia matatizo makubwa mno.
HISTORIA YA KWELI
Mnamo mwaka juzi mwezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.