Wakuu,
Nina hili tatizo muda mrefu hata nijiloweke kwene jiki bado ngoma iko pale pale.
Nashukuru Mungu ni mwanaume ningekua Mwanamke nadhan ningeteseka zaidi.
vitu ninavoogea
1. Deto ya maji...
Habari za asubuhi ndugu zangu,
Naomba kufahamu kuhusu kufanya tendo la ndoa na mke ambaye alijifungua baada ya mwezi mmoja.
Hivi kuna madhara yoyote kwa upande wa mtoto wala kwa mama?
Nina miez takriban tisa kwenye ndoa yangu lakin changamoto kubwa inayonikabil ni tatzo la kukoroma usiku, hali inayomtesa sana mke wangu kipenzi.
Tafadhali kama kuna mwenye dawa yoyote au njia...
Kuna hii hali ya vidoa vilivyopauka kutokea kwenye ngozi ya mtoto. Naomba mwenye ufahamu wa tiba yake ya asili au ya hospitalini maana tuneshatumia dawa unaenda na kurudi.
Nahisi nina shida ya Acid reflux, huwa usiku inatokeaga nacheua ambapo vinapanda hadi puani, kucheua huko huambatana na kiungulia kikali mnoo!
Kwa sasa nahisi kama kuna kitu kimekwama kooni...
Je wajua 37% ya wanawake kujifungulia Nyumbani Nchini Tanzania? Anyway tuendelee
Katika kijiji kidogo huko Pwani, Tanzania, aliishi kijana mmoja mdogo aitwaye Kaanayi, dereva bodaboda mwenye...
Dalili za hatari wakati wa Ujauzito
Wanawake wajawazito ni vizuri wakajua kuhusu viashiria vya hatari (matatizo wakati wa ujauzito) hii ni muhimu kwa kuhakikisha afya yao na afya ya mtoto/watoto...
Habari zenu ndugu zangu.
Mimi ni binti wa miaka 26, sijaolewa na Sina mtoto.
Mwaka Jana nilisumbuliwa sana uvimbe kwenye mayai mpaka ikapelekea kufanya upasuaji nikiwa na matumaini nimepona...
Matumizi ya HIV Rapid Home Test Kit Yamekatazwa Au?
◇ Maduka mengi ya dawa hawauzi hizi Kit.
◇ Yale maduka machache yanayouza unakuta wanauza kimachalemachale kama vile wanavyofanya wauza bangi...
Angalizo: mimi sio daktari wa wanawake na wala sio mtaalamu wa kiswahili
Hii ni maada ambayo haiongelewi kwa upana wake nchini, yawezekana ni sababu ya kukosa maarifa, au watu wanaona kawaida na...
[NOTICE] May 2024
Kumekua na upotoshaji Sana katika jamii kuhusu matibabu. Pia kuna dhana ya kwamba kuna zinaa sugu, wataalamu wanakanusha. Isipokua kuna shida kwenywe diagnosis za ugonjwa...
Habari wana MMU, natumai muwazima ndani ya jukwaa letu pendwa.
Mimi ni kijana wa makamo niliye ndani ya ndoa sasa yapata mwaka wa tatu, na tatizo linalonikabili ndani ya ndoa yangu, nilikutana na...
Kama kichwa kinavyojieleza hapo zaidi ya 70% ya confirmed cases za corona virus wagonjwa walipoteza uwezo wao wakunusa na kutest ladha kabla hata ya kuanza kuumwa
===
UFAFANUZI KUTOKA KWA...
Habari za muda huu madaktari,
Napenda kupokea ushauri wa kitabibu kutoka kwenu maana kuna mtoto wa Dada yangu alipitia yafuatayo wakati wa kuzaliwa:-
1.UJAUZITO zile tarehe za makadirio...
Pepsi ni jina la kinywaji aina ya soda ila uki tulia kwa makini na ukalifanyia utafiti wa jina hilo linatisha vibaya.
Nilicho gundua mimi katika pepsi ni maneno tofauti na awali.
siku moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.