Kwema wakuu,
Naombeni msaada. Nina mtoto ana umri wa miezi mitano ila ansumbuliwa na kidonda /jipu kwenye pua. Naona kama siku zinavyoenda pua inazidi kuchubuka naombeni msaada ndugu zangu niijue...
Kuna rafiki yangu ana tatizo la miguu kutoa harufu kali, yani akivua viatu ni balaa, akinitembelea home huwa namwambia aingie na viatu, wapo waliomshauri aloweke miguu kwenye maji ya betri mwisho...
Unaponyoa ndevu zako, unakata nywele kwenye usawa wa ngozi. Nywele unazoziona kwenye uso wako ni seli zilizokufa za keratinized ambazo zimesukumwa kutoka kwenye vinyweleo chini ya ngozi. Kunyoa...
Watoto hula kamasi yao kwa sababu ni Yana Ladha ya chumvi.
Jaribu kutumia uimarishaji chanya ili kusaidia kukomesha tabia hii. Usimkaripie mtoto wako kwa kuokota na/au kula viburudisho. Badala...
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA KUHUSUNSHIDA HII
Jamani wana JF naombeni msaada wa ushauri wenu kwani kwa muda mrefu sasa ninasumbuliwa na tatizo la kutoka mapele ya ndevu mara baada ya kunyoa...
India ni moja ya mataifa yanayo amini sana kwenye Tiba asilia na ndio sababu wana idadi kubwa sana ya dawa za asili. Kampuni kama Himalaya ina dawa nyingi sana za asili za magonjwa tofauti...
Wakuu habari ya leo, kwa miezi kadhaa nimehangaika na ugonjwa ambao hapo chini nimeweka dalili ninazozipata, vipimo na dawa nilizotumia lakini bado sijapata suluhisho. Kama kuna mwenye uzoefu...
Ukweli ni kuwa hakuna kijana aliyeathirika na nguvu za kiume
Kuna mambo kadhaa hufanya mtu aonekane hana uwezo wa tendo ipasavyo.
1: Hili suala linategemea sana ushirikiano wa wote wawili...
Habari wana jamii forum. Nina mtoto wangu wa kiume miaka 2 na nusu, mwanagu huyu anasumbuliwa mno mno na kifua na hata mafua.
Nimehangaika hospital nyingi anapewa madawa na kuchomwa sindano kwa...
Jamani naombeni msaa wenu kuhusu nini cha kufanya maana nina tatizo la kukosa choo kwa muda mrefu inakia kipindi nakaa hadi siku tano sita.
Naombeni utatuzi wa tatizo hili.
Asanteni.
Nianze na kumshukuru Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehema. Ndugu zangu nauliza Kwa mjamzito ambae anaendekea na clinic akiumwa magonjwa yahusianayo na ujauzito wake je matibabu yanakuwa yanalipiwa ama...
Wakuu hivi hawa waganga wa kienyeji Huwa Wana maneno matamu kiasi Gani yaani mtu mpaka anamtorosha mgonjwa wake hospitali ili ampeleke Kwa mtaalamu.
Cha ajabu zaidi ugonjwa wenyewe unakuta...
Kwa wale wenye ugonjwa wa Depression au msongo wa mawazo. Supplements za Vitamin B complex ni vidonge vyenye msaada mkubwa sana.
Vitamin B complex ni mchanganyiko wa Vitamins kama nane hivi, na...
Maelfu ya wakazi wa mji wa ifakara na walio nje ya mji leo tarehe 30/06/2024 wameanza kupokea tiba ya macho toka kwa madaktari bingwa wa macho ambao wameweka kambi hapa kwenye hospitali ya...
HAPA NI ELIMU YA ASALI TU
Unakuta mtu anaasali nyingi hajui matumizi yake. Niulize chochote kuhusu asali nitakujibu hapa natoa na elimu yake
Dawa ya Asili ya Kikohozi Sugu
VIFAA
1.Kitunguu...
Habari zenu wakuu,
Nilikuwa nasumbuliwa na maumivu makali ya kichwa na mwili kuuma, ikabidi niende hospital kupata vipimo, majibu yakaja yanaonesha Nina damu nyingi ambapo ni 18 gm/dm (kama...
Nipo Zenjibar kwa mama kizimkazi. Nimeshavuruga sana huko Mchambawima, Dole na Bubu.
Changamoto kubwa week ya 3 hii nikienda haja kubwa harufu inatoka kali sana. Mimi mwenyewe nashindwa himili...
Jamani jamani jamani! Ukimwi unatisha! Ukimwi ni kuchungulia kaburi hata kama utajiliwaza vipi?
Mimi nilikuwa mtu wa bata saana! (Hata sasa hivi japo nimekua).
Siku hiyo nikawa pale Sinza mori...
Habari za muda wana jamvi, nina ndugu yangu amepata miscarriage, ameenda hospital wamemwambia kuna njia mbili za kusafishwa
A. Kutumia vifaa vya kusafishia
B. Vidonge
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA KUHUSU TATIZO HILI
Wadau ni dawa gani inaweza kutibu minyoo hookworms,tapeworms na wengineo kwa uhakika kwa watoto wadogo na watu wazima. pia ni minyoo aina gani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.