Habari zenyu wataalam,
Nakuja kwenu kuomba ushauri na msaada wa changamoto inayonikabili miezi karibu sita sasa.
Nimekua nikishiriki tendo la ndoa na mademu tofauti tofauti, katika utofauti huo...
Habari wanajamvi,
Leo baada ya kula chakula cha mchana, nlichukua toothstick na kukikata kipande kikubwa kias na kusafisha meno kwa kutoa mabaki ya chakula yaliyojishikiza kati ya jino na jino...
Uchambuzi wa kitabu cha Lisa EATING TO CONCEIVE, (Kula Upate Mimba)
Kanuni ya 16 na ya Mwisho:Usitumie Vyombo vya Plastiki, Husabisha Ugumba
1. Mwandishi Lisa anasema *usitumie vyombo vya...
NImekuwa nikisumbuliwa na vitu kutembea maeneo nyuma a bega la kushoto zaidi miaka 15..
Kuna kipindi nilikuwa nakaa nyumba yakupanga, mama mmoja aliniambiaga mtoto wake mdogo alimwambia Kaka...
Ndugu zangu naomba msaada, nitumie njia gani kuacha kuvuta ugoro? Ni Mwaka wa 4 sasa tangu nianze kuvuta baada ya kushauriwa kuwa inatibu shinikizo la damu.
Kwa sasa maji yamenifika shingoni...
Natanguliza salama kwa WanaJF wote natumain ni wazima kuja kwangu hapa leo nimepatwa na typhoid so nikaenda kwa doctor nikapata vipimo ×3 UTI, Malaria na typhoid majibu yakaja kuwa naumwa Typhoid...
Habari madaktari wetu!
Mgonjwa amepata uvimbe kwenye viungo (Swollen lymph nodes)
Mitaani huwa kuna imani kuwa mgonjwa akishafikia hatua hiyo ndiyo dalili za mwisho za kufariki. Je ni kweli?
au...
Salamu wanajamvii
Mabadiliko ya kimiundombinu au miji ni sehemu pia inayogusa mazingira yanayotuzunguka moja kwa moja.
Nikigusa moja kwa moja kwenye jiji ambalo nipo na limefanya niwasilishe...
Wadau wa JF habari za J2,
Naandika post hii kwa masikitiko makali sana ambayo yameshanipatia mawazo mpaka nahisi kuchanganyikiwa. Sasa ni wiki ya pili nimekumbwa na tatizo la kuwahi kumwaga pale...
Habari zenu wana jamvi,
Bila kupoteza muda mimi ni kijana mdogo 20s
Nimepata TATIZO naliona pigo kubwa katika maisha yangu.
Nilipata ajali niladondokea kinena yani njia ya mkojo ikaziba kabisa...
Kama kunamtu anauelewa au alishawahi kukutwa na hali hii naomba ushauri au experience yake.
Tuligundua mtoto ana mafindofindo yamevimba alipokuwa na umri wa miaka miwili. Tulijaribu kumtibu...
Wakuu habari.
Mwanamke wangu aliniambia kuwa mwezi huu hajaona siku zake tukasema tusubiri kidogo labda zimechelewa, lakini amekuja kuniambia ameingia period ila nikihesabu ni siku ya 43 au 44...
Habari za muda wakuu!!!
Jmani naomba msaada kwa anaejua dawa ya kienyeji ya PUMU ya ngozi.
Mwanangu anasumbuliwa sana nahuu ugonjwa, nimeshampeleka MUHIMBILI, EKENYWA, REGENYCY na tukapewa dawa...
Habari wakuu
Uzoefu: Nimeishi na mwenza mwenye maambukizi ya virusi vya ukimwi tukiwa katika mahusiano ya muda mrefu sana kwa takribani miaka 5 (2014-2019), katika kipindi chote hiki tulishiriki...
Umuofia kwenu Wakuu.
Ni zaidi ya wiki sasa mwili wangu ni dhaifudhaifu. Yaani balansi ya mwili haijakaa sawa, japo ninaweza kufanya mambo yangu bila tatizo.
Nimepima vipimo zaidi ya 10 mpaka...
Wakuu nimekutana na taarifa hii inatahadharisha wazazi kunywa maji baridi. Taarifa inaonya kwamba jambo hili ni hatari kwa afya.
Upi ukweli wa jambo hili?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.