Wanajamvi naomba kuuliza mahindi ya kuchoma yanafaa Kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo maana nataseka sana aisee kupata fast food nikiwa mbali na nyumbani
Ukiwa unaishi na maambukizi ya virusi vya UKIMWI (VVU) na ni mtumiaji mzuri wa dawa za kupunguza makali ya VVU, na kufikia kiwango cha kufubaza virusi vyote, kitaalam undetectable viral load, na...
Wakuu samahani
Huwa nachoka sana mwili wangu kila siku zinavyokuja, nmepima kila aina ya gonjwa sugu mnalolifahamu ,sina
Niliachana na aliekuwa mke wangu miaka kadhaa iliyopita kutokana na...
Msaada mke wangu ni mjamziyo wa miezi miwili,anatapika sana npo nae hospitali toka juzi,anatapika sana chochote atakachokipitisha mdomoni lazima kirudi. Kuna MTU kaniambia nimchemshie tangawizi...
Wakuu kwema.
Hivi karibuni nilikuja humu kuomba msaada wa jinsi ya kutibu hizi fangasi baada ya kushindikana hospital
Nimekuwa nikipewa dawa ileile kwa kila daktari nayemtembelea, nimeenda hadi...
Natumaini wote wazima wa afya.
Naomba kujuzwa: ni chuo gani nchini Tanzania kinafundisha matengenezo ya zile mashine zinazotumika Hospitalini(Dental,Scanners,......)??
Natanguliza shukurani
Wakuu,
Ni muda sasa kumekuwa na fangasi kwenye pumbu zangu lakini sikuchukulia serious , kila nilipofatilia naambiwa ni usafi tu , basi naongeza usafi na precaution zingine huku maisha...
Naomba ushuhuda wa mtu aliyekuwa na bawasiri ya ndani akatumia dawa iwe ya hospitali au Tiba mbadala akapona atusaidie na sisi maana tumetumia hizo dawa za kienyeji mpk tumechoka Hela tu inaenda...
Poleni na kazi na majukumu ya kutafuta riziki. Jamani mwanangu ana matege nimetumia dawa za vitamini D lakini bado sioni mabadiliko ana miaka miwili sasa.
Je, wapi nitapata viatu vya kunyoosha...
Jamani kama uzi unavyojieleza hapo juu, naomba msaada kidogo kama kuna wataalamu wa afya mpo humu naomba mnipatie elimu kidogo juu ya jambo hili kwani linanitatiza katika ubongo.
Ni kwamba ule...
Wakubwa nina tatizo la kusikia nakuwa kama kiziwi.
Nimeenda hospital ekanywa nikapewa dawa za miezi miwili lakini sijapata nafuu.
Msaada hata dawa ya kienyeji anayejua ya kutoa kelele masikioni.
Punyeto ni nini?
Punyeto ni tabia ambayo inajulikana sana kwa vijana na hufanyika kwa kujichua sehemu za siri kwa ajili ya kujiridhisha kimapenzi. Hata hivyo, tabia hii ina madhara mengi kiafya...
Za majukumu,
Mimi ni kijana nimekuwa na tatizo la kubanduka kwa ngozi ya korodani mara tuu ninavyomaliza ku sex na mwanamke na hii inatokana na kugusa yale uke kwenye korodani.
Nahitaji msaada...
Karoti ni mboga ya mizizi, kwa kawaida ina rangi ya chungwa, ingawa zilikuwepo aina mbalimbali za urithi ikiwa ni pamoja na zambarau, nyeusi, nyekundu, nyeupe na njano zipo,. aina ya karoti mwitu...
1. Hawazeeki upesi
2. Huwa ni Wakakamavu
3. Hawaugui hovyo
4. Huishi muda mrefu
5. Upumuaji wao (siyo Kujamba) huwa mzuri
6. Miili yao huwa na Mvuto
7. Uwezo wa Akili huongezeka
Nayasubiri kwa...
Daktari nguli toka Zambia ametoa tamko kupitia Facebook ambalo wapenda punyeto huenda wakalifurahia sana. Binafsi sina facts za kisayansi kumpinga ila kulingana na ongezeko la wauza dawa za nguvu...
Hello JF, nina mdogo wangu mwenye umri 20+ anasumbuliwa na depression & suicidal thoughts karibu mwaka sasa. Tulimpeleka kwa therapist, anafanyiwa therapy lakini pia aliandikiwa dawa aina ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.