Habari zenu wadau,
Naomba kushea hii kitu, kuna mtu nimekutana naye ana shida ya uzazi lakini mwanzo aliweza kubeba ujauzito na kujifungua mtoto mmoja. Baada ya hapo hakuweza tena kubeba ujauzito...
Wakuu nina mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi tisa mwenye shida ya kukohoa sana, mda mwingine anakohoa hadi anatapika
Na akianza kukohoa inachukua mda wa Hadi dk 30 mfululizo bila kupoa...
Salam wana jukwaa.
Kwenye video ni Dr. Wahome kutoka Kenya mbele ya Mhe. Museven, Rais wa Uganda akimwelezea jinsi WHO inavyojipanga kupitisha sheria au protocol ambayo itaipa nguvu katika kufanya...
Chembe hai za ubongo (neuronal cells) zina utando unaoitwa Sphingolipids( Haya ni mafuta maalum ya ubongo) na mojawapo yanaitwa Sphingomyelin.. mafuta haya husaidia kusafirisha taarifa ( impulse)...
Habari Ndugu zangu!
Nimetafuta ujauzito kwa muda mrefu bila ya mafanikio! Nimekutana na Daktari kaniambia Nina PCOS kwenye ovary mbili zote!
Amenipatia metrofromin na kaniambia tu nifanye...
Usugu wa dawa, au usugu wa antibiotics, ni hali ambayo viumbe vidogo kama vile bakteria, virusi, na vimelea vinakuwa na uwezo wa kustahamili athari za dawa za kuua viini au kuzuia ukuaji wao. Hii...
Habari Ndugu zangu!
Nimetafuta ujauzito kwa muda mrefu bila ya mafanikio!
Nimekutana na Daktari kaniambia Nina PCOS kwenye ovary mbili zote!
Amenipatia metrofromin na kaniambia tu nifanye...
Habari JF
Sambamba na kichwa cha habari hapo juu naomba kufahamishwa hospitali ya macho nzuri inayotibu kwa bei nafuu ukiachana na CCBRT ya Msasani Masaki.
Note . Kwa hapa Dar es Salaam
Kondo la uzazi kumtangulia mtoto (Placenta previa) hutokea wakati wa ujauzito, kondo huongezeka ukubwa na kutanuka kadri mfuko wa uzazi unavyotanuka na kukua.
Ni miongoni mwa hali za hatari kwa...
Huu ni ushauri katika Hospitali zetu waongezwe wataalamu ambao wataweza kufanya huduma bora za kuvisha meno yenye tundu kofia za silva ili kuepuka usumbufu katika utafunaji.
Kumekuwa na...
Mama anapokuwa mjamzito, chembechembe za mtoto huhamia kwenye mkondo wa damu wa Mama na kisha kuzunguka tena ndani ya mtoto, hii huitwa “fetal-maternal microchimerism”. Kwa muda wa wiki 41, seli...
Kwanini ninakuwa na hamu ya mapenzi mara kwa mara? Yaani hata nikimaliza kusex baada ya masaa matatu nataka tena hata kama nimepiga vitatu ninataka tena.
Wataalam shida nini hapa na nifanyeje...
Kwa wenye experience wa hizi dawa za PEP naomba kuuliza kwa nini nikinywa hizi dawa nakuwa napatwa na homa na najisikia kuchoka sana naomba mnijuze hii ni kawaida au?
Unachangiwa na tatizo la saikolojia za baadhi ya wahudumu kwenye vituo vya afya. Mfano unakuta mhudumu anamsongo wa mawazo kwa namna yeyote na afikapo kazini anamhudumia dawa mgonjwa badala ya...
Wakuu,
Juzi nilicheza mechi ila nilisahau kununua kondomu aisee na leo nlikuwa na mpango baadae ila nimetoa wakati wa kukojoa nimeona kama kuna chembe za usaha kwenye njia ya mkojo.
Hii inaweza...
Habarini wna JF ni matumaini yangu nyote ni wazima wa afya tele, ningependa ku share hii experience wakati nikiendelea kuishi kwa hofu sana baada ya kukutana na mdada ambae ni muathirika baada ya...
- Msongo wa mawazo
Hapa inakuwa hivi unapoenda hospitali mhudumu anakuandikia dawa kimakosa yatokanayo na msongo wa mawazo, mf badala ya kuandika 2*3 anaandika 1*2.
Ni vema wahudumu wasahau...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.