Kuna magonjwa ambayo kwa hapa Tanzania ukiyapata ngumu sana kutibiwa nayo ni:
1. Saratani (Cancer)
2. Vidonda vya tumbo
3. Kisukari
Ongezeeni mengine hapo
Siku ya Hedhi Salama huadhimishwa ikiwa na lengo la kuleta pamoja sauti za wadau mbalimbali ili kuhamasisha Hedhi salama kwa Wasichana na Wanawake
Siku hii huvunja ukimya na kubadili mitazamo...
Hebu tupeane experience.
Mie gono ya kwanza kabisa nilipata mwaka 2012, na dem alonipa ni alikua kisu balaa tena chuoni na nilihangaika kinoma kumpata, sikutegemea kama angekua anaumwa ugonjwa...
FIBROIDS:UVIMBE KATIKA KIZAZI UNAOWATESA WANAWAKE
Katika siku za hivi karibuni,wanawake nchini wamekuwa wakilalamika kuwa kila wanapokwenda kujifungua basi hukutwa na uvimbe katika nyumba ya...
FAHAMU TATIZO LA UVIMBE KATIKA MAYAI YA MWANAMKE (OVARIAN CYST )
Uvimbe kwenye mayai ya mwanamke (ovary) hutokana na mkusanyiko wa majimaji yanayozungukwa na kuta nyembamba ndani ya mayai ya...
Habari Wadau,
Karibun Mpate Juice Ya Kikongo (Asilipowerplus) Mahususi Kwa Ajili Ya Kutibu Matatizo Yote Ya Nguvu Za Kiume
Juice Hii Inafaida Nyingi Kama Vile
1. Kukuwezesha Kusimamisha Mashine...
Mimi si dakari wala mtaalamu wa mambo ya lishe, bali nimejaribu kusoma vyanzo mbalimbali kuhusu huu ugonjwa na kote nilikupita sijaona palipoandikwa moja kwa moja kuwa sukari ndio chanzo cha...
Je unaelewa nini kuhusu Kichechefu wakati wa ujauzito/ Morning sickness?
Kichefuchu ni dalili ya kawaida ya ujauzito, hasa wakati wa kipindi cha kwanza cha mimba(miezi 3 ya mwanzo). Hali hii...
Aisee Jana nimekutana na brother mmoja anasumbuliwa na ugonjwa wa kuvimba ulimi na ni muda mrefu sasa anaendelea na tiba ila hajapona nimeona huruma sana haongei analia anadai mwanamke wake...
Kwanza, niwapongeze Wahudumu wa afya wenye moyo wa dhati na wanaozingatia taaluma na uadilifu kuhudumia wateja wao. Nakiri maisha ya wengi ikiwemo mimi binafsi yana mchango wa wahudumu wa afya...
wananchi, kutokana na joto plus mijimmbu hapa mjini, huwa nalala na my feni inazunguka. nawekaga namba 1 au 2 smtimes. kuna cku niliamka na mafua i thnk ni 7bu ya feni. hv kuna effect sleepn wen...
Habari zenu wajuvi, naombeni msaada kama kuna mtu (watu) amesha wahikupona vipele vya ndevu vile vinavyo otaga maeneo ya shingo anisaidie yeye alitumia dawa gani kuvimaliza.
Kwasababu vimenitesa...
Mimi nimeweka kambi hapa kwa Colgate max fresh, hakika iko vizuri sana. Nilikuwa na tatizo la fizi kutoa damu ila baada ya kutumia hii tatizo limeisha.
Tushirikishe wewe huwa unatumia dawa gani...
Wakuu naomba kujuzwa kwa anae fahamu ubora wa hizi dawa za meno sina nia mbaya juu ya biashara za watu lengo langu ni kupata bidhaa bora kwa ajili ya matumizi na kwa afya zetu.
Wakuu,
Kama unashawai kuugua ugonjwa wa meningitis au ndugu yako naomba ushare experience!
Nina hizi dalili sasa kwa muda
1. Kichwa kuwaka moto/kuuma muda wote
2. Joto kali kichwani Fever
3...
Habar wakuu,
Nimesikia hii habari kuwa kwenye mahospital kuna dawa zinazotelewa kwa wahanga mfano watoto wanaobakwa kuzuia maambukiz ya vvu ambapo muhusika anatakiwa kutumia ndan ya masaa 72...
Habari wakubwa,
Mdogo wangu meno yake mawili ya mbele ni marefu kuliko mengine.
Anahitaji kufanya root canal ili yawe vizuri.
Ni hospitali gani nzuri kwa hii huduma na gharama zina range...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.