Habari wanajf wote, Naomba kuuliza mtu akiwa na umri wa miaka 23 na akiwa na uzito wa 48.8 kunatatizo kiafya.
Naomba kujuzwa kitaalamu.
Natanguliza shukurani!
1. Kuimarisha Afya ya Moyo
Vitunguu saumu vina alicin, ambayo inaweza kusaidia kupunguza hatari ya magonjwa ya moyo kwa kusaidia kudhibiti viwango vya cholesterol na shinikizo la damu.
2...
Eti ili Mwanaume uwe vizuri na Nguvu za Kiume ziwe nyingi unatakiwa kutafuta Boga kisha unaweka Mafuta ya Kupikia uncchanganya na Vitunguu na wakati ukiwa Unavikaanga unachanganyia na Maziwa ya...
Chawa si nzito lakini husumbua, wahenga walikuwa na maana Matatizo madogo madogo yasipodhibitiwa tangu awali huweza kusumbua na kusababisha matatizo makubwa zaidi lakini pia kwa namna nyingine...
Mtoto anachunika ngozi mikononi na miguuni. Inaanza kama kidoti fulani kisha ukivuta ile sehemu ndo inatoka kipande kikubwa cha ngozi . Hahisi maumivu yoyote na hospital nimeenda wakasema ni...
Habari ndugu wana JF,
Leo nimependa kuzungumza nanyi mada kuhusu vyuo vikuu kufundisha ASTASHADA na STASHAHADA. ni ukweli usiopingika sera ya elimu inabidi kufanyiwa marekebisho kwasababu vyuo...
Habari wana jf!!nahitaji msaada wa kujua ni sabuni gani nzuri kwa ajili ya kusafisha papuchi kwasababu kwa baadhi ya post humu kuna sabuni zimetajwa sio nzuri na moja wapo nilikuwa natumia inaitwa...
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) kwa kushirikiana na Taasisi ya MO Dewji Foundation imeandaa kambi ya upasuaji kwa Watoto 50 wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi itakayofanyika...
Mwezi wa pili mke anajifungua na mtoto kufariki, mwezi wa nne mke anapata mimba nyingine. Ni sahihi wadau kiafya na kisaikolojia ya mke?
Karibuni wadau kwa elimu.
Poleni sana ndugu zangu watanzania kwa tatizo la mtandao wa internet linalowakumba kwa wakati huu.
Pia hongereni timu ya wananchi kwa kutwaa ubingwa wenu wa 30.
Pia nachukua fursa hii kuwapa...
Habari, nasumbuliwa sana na mingurumo kwenye tumbo na tumbo linaniuma sana, nimetumia dawa nyingi hospital lkn bado, naombeni ushauri ni dawa gani mzr itanisaidiaa ndg zangu
Hwl
Watu wengi wamekuwa wakipata Matatizo ya tumbo kujaa gas baada ya kula maharage na kujamba Sana.
Fanya hivi hakikisha katika maharage yako unayaunga na kuweka Sukari kidogo, unaweka...
Nina tatizo la Maumivu ya kifua upande wa kushoto takriban miezi mitatu sasa, kwa mbali panafanya kama uvimbe.
Hali hii nimesumbuka hospitali bila msaada wowote, napewa dawa za maumivu sababu...
Tunaelewa joto la dar ni kali lakini jitahidi mwanaume usioge maji ya moto/yaliyopigwa na jua kwa muda mrefu.
Kwa sababu nimeona niwafichulie siri, imetoka ripoti kutoka hospitali fulani kuwa...
Watu wa Mungu,
Ninasumbuliwa na ascaris lumbricode kwa miaka 7. Nimetumia aina nyingi za dawa za dukani na mitishamba lakini kila u napomaliza dozi nikipima minyoo iko palepale.
Nimeonana na...
Inakuaje unapoenda kukojoa mkojo unakuwa na povu jingi sana jeupe ni dalili za ugonjwa gani au ni ukosefu wa madini au vitamin kwenye mwili .Msaada kwa Dr please
Habari wakuu..
Naombeni msaada naona nina allergy na manukato (perfumes & body spray), zinanipa mafua makali sana..
Na hii sio nikipulizia mimi tuu hapana, hata nikikaa na mtu alojipulizia basi...
Katika nchi 15 zenye asilimia kubwa zaidi ya wagonjwa wa kisukari duniani nchi 5 ambazo ni Kuwait, Misri, Qatar, Saudi Arabia na Sudan ni za kiarabu. Nchi moja ya Pakistan ina ustaarabu...
Baada ya kuzaliwa mpaka miezi 2, mtoto hupitia hatua mbalimbali za ukuaji na maendeleo. Mwili wake unakua, uzito huongezeka na kiasi cha unyonyaji wake huongezeka kadri siku zinavyoenda. Baada ya...
Low Back Spinal Cord
Matibabu bila Upasuaji kwa kutumia DRX9000 SPINAL DECOMPRESSION MACHINE
Je kuna Mtu anafahamu ni clinic gani au Hospital za Tanzaia ipo hii Machine?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.