Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Nimeona nije nipate michango ya wanajamvi kutokana na kwamba jukwaa hili Lina wasomi na madaktari wengi. Kwasasa vijana wengi tumeangukia kwenye wimbi la kujipima na Kula tunda kavu, ata huko...
6 Reactions
99 Replies
5K Views
Mimi nina miaka 40 na ushee, miaka mitano iliyopita nilipata tatizo la kutokurudia tendo yaani nikipiga goli langu moja basi mpaka kesho. Sasa mwezi mmoja uliyopita limeibuka tatizo lingine...
9 Reactions
84 Replies
3K Views
Kwanini asilimia kubwa ya madaktari siku hizi hawatoi taarifa za ndani kuhusu ugonjwa, kama jinsi ya kujikinga na Chanzo cha ugonjwa. Wamekuwa wakitoa dozi tu wakati mwingine hata tatizo hujuzwi...
0 Reactions
1 Replies
225 Views
Wadau hamjamboni nyote? Asubuhi ya leo badala ya kunywa chai na vitumbua nimeamua kula ugali wa muhogo na dagaa. Naomba mnishauri ikiwa ni vema niendelee na utaratibu huu au niandae utaratibu...
2 Reactions
12 Replies
741 Views
Ndugu wanajamii, Leo nataka kushiriki nawe mjadala muhimu kuhusu psychedelics na jinsi wanavyoweza kuwa na faida kiimani na kiafya. Kwanza, ni muhimu kutambua kwamba matumizi ya psychedelics...
0 Reactions
1 Replies
349 Views
Nimeugua staphylococcus aureus infection for 3 good years wameshamblia Lolo, korodan na kila sehemu! Nashukuru mungu sasa nimepoa, tatizo si kubwa kama lilivokubwa. Watu watajiuliza miaka 3...
2 Reactions
27 Replies
1K Views
Hello Habari ya uzima na poleni kwa majukumu ya hapa pale. Naombeni kujua jambo kuhusu uzazi nk. Mwanamke akitoka kujifungua kwa operation, baada ya siku arobaini, je, akikutana na mumewe...
0 Reactions
1 Replies
248 Views
Mambo vipi Wana Jf wakubwa kwa wadogo Natumaini wote wazima, mwenye changamoto yoyote MWENYE MUNGU ATASAIDIA, Nije kwenye hitaji au dhumuni langu, nimepata changamoto kidogo upande wa kushoto...
0 Reactions
3 Replies
303 Views
Inawezekana uko Mjini ndio, sema Simatifoni siku hizi hadi vijijini zimezagaa, embu mwambie aliyeko Kijijini akutumie picha ya Mmea wa Kiasili ambao Kikwenu, mnatumia kujitibu kitu fulani. 1...
15 Reactions
52 Replies
7K Views
Nimesoma gazeti la nipashe la leo kuna makala inahusu dawa za nguvu za kiume. Kuna mtu kaulizwa kuhusu dawa ya mundende kutoka KONGO anasema akiitumia anachukua masaa matatu kupiga bao moja. Je...
1 Reactions
10 Replies
15K Views
Habari wakuu? Moja kwa moja kwenye mada: Kuna mdada nilikutana nae kimapenzi tarehe 16/04/2023, baadae akadai ana mimba yangu. Mimi kwa kuwa nilikuwa na mashaka na ile mimba nikajipa muda nione...
8 Reactions
61 Replies
2K Views
Watu mbalimbali wamekuwa wakianza kupata ufahamu juu ya meditation na wengine tayari wameshaanza kujifunza kufanya kitendo kicho. Meditation ni kitedo cha muhimu kwani kina faida kubwa na wengi...
9 Reactions
23 Replies
7K Views
Je supu ya ngozi ya ng'ombe inayouzwa maeneo ya mbagala inausalama kiafya Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Supu ya ngozi imayochanganywa na mapupu & bandama ambayo hupelekea...
14 Reactions
115 Replies
5K Views
Uchoraji wa tattoo ni sanaa iliyokuwepo katika eneo la uso wa dunia miaka mingi iliyopita ila sanaa hiyo imeendelea kukua hivi sasa kwa kiasi kikubwa baada ya ongezeko la asilimia kubwa ya watu...
1 Reactions
6 Replies
403 Views
Moyo Moyo wa kibinadamu baada ya kutolewa kwenye maiti kwa utafiti wa kiganga Moyo kama ishara ya upendo Muundo wa moyo wa kibinadamu *1 Vena kava ya juu (damu inaingia kutoka...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Habari wanaJF, Nimeleta kwenu bandiko lako ili tuweze kujadili njia mbalimbali za asili za kupanga uzazi. Tujadili... KUTUMIA KALENDA KWA KUZUIA MIMBA Njia hii haina uhakika sana wa kuzuia...
1 Reactions
815 Replies
290K Views
Salaam wakuu, Mimi nasumbuliwa na masikio yote mawili yanauma sana kama vile mtu anasukumiza matambara huko ndani, yakianza kuuma hivyo nasikia na kichwa kinaniuma na ninahisi kizunguzungu kwa...
2 Reactions
16 Replies
726 Views
Habari za usiku huu wana JF, naomba msaada wa haraka, mimi na mke wangu tupo mbali kidogo, leo ameniambia hajapata choo kwa siku saba, nimechanganyikiwa hapa sijui nifanyeje na tumbo linamuuma hatari
7 Reactions
102 Replies
3K Views
Nimesafiri umbali mrefu sana kwenda angaza kupima HIV na kwa bahati nzuri majibu yamekuja negative. Hii ni hatua muhimu kwenye ya kuwa makini na kujilinda. Asikwambie mtu kusubiri hayo majibu...
7 Reactions
15 Replies
671 Views
Back
Top Bottom