Je, ni muda gani sahihi kwa mwanamke aliyejifungua kwa njia ya upasuaji anatakiwa kushiriki tendo la ndoa?
Ni miezi mitano sasa imepita tangu mke wangu ajifungue mtoto kwa njia ya upasuaji, hivyo...
Wengi hufikiri na kudhania kwamba hii hutokana na kamwagiwa ndani katika kipindi cha Ujauzito.
ONDOA HOFU, hali hiyo Kitaalamu hujulikana kama “Vernix Caseosa” ambao ni utando mweupe unaomzunguka...
Linapokuja suala la afya ya wanaume, saratani ya kibofu cha mkojo inachukua nafasi kubwa. Ni aina ya pili ya saratani inayogunduliwa kwa wingi kwa wanaume duniani kote, ikifuatiwa na saratani ya...
Nina maumivu makali ya nyonga
Maumivu makali chini ya kitovu (kwa pembeni)
Mkojo ni wenye harufu mbaya kupita kiasi
Nilishaweka mkojo kwenye container, kesho yake nikakuta unatoa wadudu (Funza)...
Habari zenu ndugu,
Naomba mwenye mawasiliano ya daktari wa tiba asili nimevunjika mkono hali ni mbaya maana ninivyosikia tiba yao ni ndani ya wiki mbili tu no operation no kuweka chuma na unakuwa...
Mwanang wa pekee amefariki masiku machache yaliyopita kwa kinachosadikiwa ni neumonia
Toka azaliwe alikuwa na afya njema ila ghafla alipoamka asubh saa 3 akanyonya vizuri kidogo. Ghafla akabanwa...
Je umeshawahi kukutana na mwanamke mwenye ndevu nyingi? Bila shaka, jibu ni NDIYO.
Hilo ni tatizo la kiafya ambalo hujulikana kwa kitaalamu kama Hirsutism.
Leo tujifunze kuhusu sababu za...
Nahitaji msaada na ushauri wenu wa dhati WAKUU,kuna kitu huwa kinanisumbua Sana sielewi tatizo NI nini.kwenye Koo LANGU KUNA kitu nakisikia Kama kimekwama Sasa nashindwa kuelewa NI kitu gani maana...
Mimi ni kijana wa Miaka 25 nna tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume..
Niligundua hili tangu mwaka 2023 baada ya kushindwa kusex Kwani uume ulisimana ila nataka kuingiza tu nikamwaga na uume...
kuna imani potofu kwenye mitandao ya kijamii kuhusu sehemu za siri za wanawake, mwanamke mmoja ameamua kujitoa kuelezea masuala hayo.
Dr Jen Gunter amekua daktari wa kina mama huko Marekani na...
TERATOMA ni aina mojawapo ya ugonjwa ambapo nywele, meno na aina nyengine za rushing kuota Mahali pasipo kawaida
Kwa mfano mwanamke mwenye ugonjwa huu anaweza akatokea kwa kitu mfano meno...
Hi!
Wakuu nafanya mazoezi ya gym almost miaka kumi now,
Kuna mazoezi nayapenda zaidi ni squat ,na mengineyo,
Squat napendelea kwa lengo niwe fit haswa pia kwajili ya self defence na afya...
Habar wakuu..nimerudi kuomba msaada kwenu.. nna ndugu yangu jinsia ya kiume jana majibu yameonesha figo zake zimefeli zote.
Ni hivi huyu ndugu yangu ameanza kujiskia vibaya tangu majuzi kazidiwa...
Habari za asubuhi,
Nimesafiri kuja mkoa fulani kuna Taasisi kubwa ya afya nzuri Sana mimi ni mla pombe wa kiwango cha 5G Kwa muda mrefu nimekuwa nikitamani kuziacha na nadhani huu ndo muda sahihi...
Sehemu ya uke iliyoathirika kwa viuvimbe kutokana na ugonjwa unaosababishwa na na virusi ujulikanao kama Human Papillomavirus (HPV). Ni moja ya magonjwa yanayosababisha muwasho sehemu za siri...
Je umeshawahi kukutana na mtu mwenye hali hii hapa chini kwenye picha katika sehemu yake ya kwapa/sehemu za siri?
Hali hiyo hapo juu kwenye picha ni ugonjwa hujulikanao kwa kitaalamu kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.