Habari wakuu.. ninaomba msaada kuhusu hizi Batholist Cyste
Nilifanyiwa operation mwezi wa 11 mwaka jana baada ya kuwa na vipele vigumu kwenye ukuta wa uke na vilinitokea kwenye shavu moja la...
Kufikia Miezi minne ya Ujauzito (wiki 16), Mtoto huanza kunyonya kidole gumba, kupiga miayo, kunyoosha na kutengeneza nyuso. Mfumo wa neva / mfumo wa fahamu huanza kufanya kazi katika hatua hii ya...
Habari wana-JamiiForums,
Mimi ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa3 Sasa Kwa kipindi imenibidi ni simamishe masomo kutokana na Naumwa UTI wa mgongo ni miezi sita Sasa. Siwezi kusimama wala kutembea...
Ninaonesha dalili zifutazo
1. Homa kali kichwa kama kinawaka moto
2. Maumivu ya mgongo
3. Maumivu ya kichwa
4. Kuhisi kama unachanganyikiwa
Kama kuna mtu ashawai pata hilo tatizo anikosoe.
Habari wakuu,
Naomba kujua bei ya kipimo cha VVU kile cha kujipima mwenyewe, sijui kisayansi kinaitwaje nadhani wajuvi mtakuwa mmenielewa.
Na je kinahitajika hicho tu au kuna viambata vingine...
Je unasumbuliwa na changamoto ya kupoteza hisia ya harufu?
Kama jibu ni ndiyo, basi usijali kwani leo tutajifunza sababu kadhaa zinazosababisha changamoto hiyo ya kupoteza hisia ya harufu, hali...
Poleni na mihangaiko ya mchana kutwa
Ndugu Madaktari wa JF na wadau wote wa afya naomba msaada wenu.
Mimi ni mama mjamzito mimba yangu ina wiki 35.
Katika umri huu nimepima utra sound mtoto ana...
Wadau hamjamboni nyote?
Nimefurahi sana lna pia namshukuri Mungu na hii ni baada ya kupima afya kwa kuoanisha uzito na urefu wangu na kupata matokeo mazuri kiafya
Nimeweka matokeo kwa rejea...
Hii Ni maalum kwa wanawake wote ambao wamekuwa wakishika ujauzito na huwa zinaharibika kabla ya muda wake.
Sasa Leo tumewaletea kaujanja ambako hakatumii gharama kubwa katika kulidhibiti tatizo...
Habarini ndugu zangu.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.mimi mdogo wenu nimeingia kwenye ndoa mwezi wa kwanza mwaka huu,hadi sasa mimi na shemeji yenu tuna miezi 6 ya ndoa yetu...
Hellow doctors
Nini husababisha kutokutoka kwa maziwa kwa mama anaenyonyesha ikiwa mwanzo maziwa yalikua yanatoka vzuri tu,na anakula ipasavyo..maana friend of mine now ni siku ya tatu...
Anaemia/ Upungufu wa Damu kwa wajawazito
Je unajua upungufu wa damu huchangia 14.5% ya vifo vya kinamama(Martenal Deaths) Tanzania?
Kiasi cha damu pungufu ya 11g/dl uhesabika upungufu wa damu...
UFAFANUZI WA KINA NA MBINU ZA KUACHA UVUTAJI WA SIGARA
Mbinu Za Kuacha Uvutaji Wa Sigara
Miongoni mwa mambo magumu kabisa katika ufanikishaji wake ni mtu kuachana na uvutaji wa sigara. Watu wengi...
Kuna mshkaji wangu tunafanya naye kazi jana amekuja analalamika kuwa wakati akijisaidia haja kubwa anatokwa na damu. Sasa ameanza kupata wasiwasi kuwa anaweza kuwa na kansa ya njia ya haja kubwa...
Maana ya Msongo wa Mawazo (Sonona) Msongo wa mawazo ni mfadhaiko wa akili anaoupata mtu kutokana na shida, taabu, dhiki, matatizo au changamoto zinazomkabili katika maisha ya kila siku.
Mtu...
Mtu mwenye Msongo wa Mawazo huwa na 43% zaidi ya kupatwa na Kifo cha Ghafla kuliko mtu asiye na tatizo hili
Pia, huongeza nafasi ya kuugua Magonjwa sugu, kujiingiza kwenye tabia hatarishi kama...
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA KUHUSU TATIZO HILI
Wakuu, nina tatizo la mwili kuwasha baada ya kumaliza kuoga tu. Hili tatizo lilijitokeza kama miaka mitatu iliyopita likatoweka lenyewe, sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.