Wakuu naanza kwa salamu zangu za dhati kwenu pia poleni na mihangaiko ya siku nzima ya leo.
Kabla sijaenda kwenye maada. Naanza kwa kusema kuwa najiona kuwa na bahati sana kuwa katika jamii ya...
Wakuu habari,
Kuna mjamzito hapa kapitiliza siku zake za kujifungua, leo hii ni siku ya 13 tangu tarehe ya makadirio aliyo andikiwa. Huu ni ujauzito wake wa pili na wa kwanza haukuwa na...
Habari zenu,
Naombeni msaada mke wa rafiki yangu amekuwa na tatizo la KUJAA mate mdomoni, nilipoambiwa nilidhani ni dawa anazotumia zinasababisha, kifupi anatibiwa afya ya akili pale Muhimbili so...
Je Unaijua Homoni ya Kiume/Testestrone?
Leo tuzungumze kidogo kuhusu Homoni ya Kiume/ Testestrone. Kwani upungufu wa hivi vichocheo huweza kuleta madhara makubwa sana siyo tu kitandani bali hata...
Kwakweli kumekua na kero sana kwa manesi walipo hospitalini hapa, wamekuwa wakitoa maneno ya kashfa na kejeli hasa kwa manesi wa clinic,
Ni maneno mabaya na ya kejeli sana yakiambatana na...
Mwanamke anapokuwa mjamzito, chembechembe za mtoto huhamia kwenye mkondo wa damu wa mama na kisha kuzunguka tena ndani ya mtoto, huitwa “fetal-maternal microchimerism”. Kwa muda wa wiki 41, seli...
WADAU WANAOHITAJI KUFAHAMU KUHUSU MATATIZO HAYA
Habari zenu wana JF.
Nina mpenzi wangu toka nikutane nae analalamika maumivu makali wakati wa tendo na hata baada ya tendo maumivu yanadumu kwa...
Nimempeleka mke wangu Kwa ajili ya kujifungua katika kutuo cha AFYA cha serikali Ulyankulu. Na ikahitajika kufanyiwa upasuaji ila cha ajabu gharama nilizopewa nilishangaa sana. Huduma ilisuasua...
Ukiwa unaishi na maambukizi ya virusi vya UKIMWI (VVU) na ni mtumiaji mzuri wa dawa za kupunguza makali ya VVU, na kufikia kiwango cha kufubaza virusi vyote, kitaalam undetectable viral load, na...
Siku zangu za kupata hedhi kila mwezi,ni kila tarehe mbili imebadilika sana hedhi yangu, naweza nikapata tarehe moja na huwa naenda siku tano tu.
Sasa basi, mwezi ulopita,yaani mwezi wa tatu...
Tafadhar nisaidien, mke wangu anasumbuliwa sana na tumbo kila baada ya tendo la ndoa, tumbo humuuma sana mpk analia. Naomba anayejua tatizo nin na dawa gani,?
Habari wakuu naombeni msaada wenu.
Nasumbuliwa na tumbo kuwaka moto, nahisi kukabwa na kitu kooni, natoa vitu vidogo vidogo kama mabaki ya chakula yaliyo Ganda kwenye Koo, sauti kukata nikiongea...
Salaam wakuu.
Shida yangu mwaka 2014 nilifanya check up ya macho na kuambiwa nitumie miwani yenye lensi 3 X 5 na kwa sasa ni miaka miwili natumia miwani ila miwani yangu ilipo haribika...
Nimekuletea faida chache za kunywa maji nusu saa kabla haujala chakula ni muhimu kuzingatia mida ambayo huwa unapata Milo yako kila siku
Kuywa maji nusu lita kabla ya kula chakula inasaidia...
Mimi ni mtumiaji mzuri sana wa pilipili. Kila nipatapo chakula basi huwa nahakikisha pilipili haikosekani. Je eti matumizi ya pilipili nyingi yana madhara yoyote mwilini?
Wataalamu wa afya na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.