Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari wana JF poleni na majukumu. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 naombeni msaada ninasumbuliwa na maumivu ya kiuno sana mpaka kuna muda kukaa siwezi nikisimama dakika kumi siwezi...
5 Reactions
31 Replies
1K Views
Habari ndgu zangu niliumia mazoezini December 2022 goti likavimba baadae nikaenda hospital nikafanya vipimo kama x ray,MRI ya goti ikabainika nimepata impacted Trabecular fracture on medial tibia...
1 Reactions
7 Replies
579 Views
Mara nyingi tunapo nunua bidhaa huwa tunaangalia expiring date tu. Je, tunasoma alama zinginezo? Hii inaitwa shelf life, na inamaana gani? So shelf life in pale utakapo anza kutumia bidhaa hiyo...
12 Reactions
27 Replies
1K Views
Mada imejieleza wakuu. Mke shemji enu na WiFi wifu. Ana mtoto mwezi sasa ushauri wa madaktari naomba asizae tuseme asibebe mimba miaka minimum 2yrs itatakiwa. Kwa sasa anaonekana amesha pata...
5 Reactions
45 Replies
1K Views
Naombeni kuuliza kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu Nimekuwa napenda kunywa chai kila muda ninapokula chakula iwe mchana au usiku. Nahitaji kila nikila chakula basi na kikombe chachai...
5 Reactions
29 Replies
960 Views
Kwema? Leo nimeamkia PITC nikasema liwalo na liwe acha niijue afya yangu. Sijawahi kupima HIV na niliapa sitopima labda niwe mjamzito. Ila kuna wakati viapo vinatenguliwa unakuwa na nafasi mbili...
13 Reactions
141 Replies
8K Views
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ametoa rai kwa wananchi kufanya mazoezi ya mara kwa mara ili kuifanya miili yao kuwa imara na kujikinga dhidi ya magonjwa yasiyoambukiza. Waziri Ummy alitoa wito huo...
2 Reactions
2 Replies
291 Views
Napenda kujua kwa kina ni muda gani mtu endapo mtu akijamiana na mtu mwenye VVU anaweza pimwa na kukuta ana maambukizi n kweli kwamba kwa sasa inawezekana akabainika ndani ya masaa 24???
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Nimeona jambo Hilo kwa mtoto mwenye miaka kama nane hivi. Wataalamu wa miili ya watu embu mtusaidie, Hali hii hutokana na Nini? Na Je sawa? Kama si sawa ni Nini kifanyike?
2 Reactions
7 Replies
387 Views
Nakubaliana kabisa kuwa maziwa ya mama yanavirutubisho vyote anavyohitaji mtoto Nakubaliana kabisa kuwa maziwa ya mama ni chakula bora na muhimu kwa mtoto mchanga na anatakiwa kunyonyeshwa hadi...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
KUNA makundi matatu makuu ya ugonjwa wa vidonda vya tumbo na leo tutajadili kwa kina aina hizo za magonjwa haya ya tumbo kama ifuatavyo: 1. Gastric Ulcers: Aina hii ya vidonda vya tumbo hutokea...
2 Reactions
8 Replies
7K Views
Wadau habarini za uchana huu wanajamii. Natumaini mu wazima wa afya. Niende kwenye mada moja kwa moja,nipo hapa kuuliza na kuomba Ushauri nawezaje kufocus na kuzingatia (concentrate) kwenye jambo...
3 Reactions
11 Replies
422 Views
Heshima kwenu wadau. Naomba kujuzwa dawa ya maumivu ya mfupa wa kwenye goti, tatizo lilitokana na ajali ya boda goti likavunjika hata kutembea ikawa shida kwa muda wa miezi 6+ ni kitandani tu...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari za humu ndani, Kuna tatizo limetokea Mama yangu umri 56, amepata tatizo la miguu yake kufa ganzi hali inayompelekea hata kushindwa kutembea. Kuna mda miguu yake inatetemeka (vibration)...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi karibuni Rais Samia Suluhu Hassan alizungumzia kuhusu mpango wa Wanaume kuruhusiwa kuingia katika vyumba vya kujifungulia wakati wenza wao wanapokuwa katika mchakato wa kujifungua. Kuna...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Ďr. Julie Makani Dr. Lisokotala Dr. Gilbert Sanga Dr. Ally Nah Dr. Angela Mwakimonga Dr. Cyprian Ellas Mayagi Dr. David Isaya Dr. Kache (Magu) Dr. Masangu (Masanza Kona)
3 Reactions
32 Replies
1K Views
Hoja yangu ni kwamba mwanamke kwa mfano akiwa ameweka kijiti kile cha muda wa miaka mitano (5) na akafikisha miaka mitatu (3) nacho akaamua kukitoa kabla ya muda uliyokusudiwa Je anaweza kupata...
1 Reactions
14 Replies
925 Views
Habari za wana JF? Kwa kipindi cha miaka miwili sasa Bibi yangu amekuwa na tatizo la kuishiwa nguvu kwenye miguu, Umri miaka 70. Akisimama kwa mda wa lisaa lazima aanguke chini, akitembea nyayo...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi naapa nilikuwa siwezi kula , kunywa wala kulala, meno yametoboka yanauma mno hadi machozi yanakuja mi mwanaume nakaza hakuna kulia, mishipa ya kichwa inatoka kichwa kinauma mno, nikamuuliza...
2 Reactions
3 Replies
452 Views
Back
Top Bottom