Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Me ni kijana wa kiume. Naomba msaada wa kujua kwanini nakojoa mapema sana ninapokuwa kwenye tendo la ndoa? Maana hunichukua dakika 2 mpaka 3 kufika kileleni kwa bado la kwanza. Kwa bao la pili...
0 Reactions
20 Replies
13K Views
Habari yenu wana jukwaa, hivi juzi nilikuwa nahisi maumivu ktk kifua upande wa kushoto lakini si maumivu makali yaani nahisi kero tu na inatokea mara chache tu japo sasaivi nahisi inaweza kutokea...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimechoma sindano mwaka Jana mwezi 9 mwilini inakaa miezi mitatu ambapo ilitakiwa kuisha mwezi Wa 11 katikati ya mwezi ila mpaka Leo cjaona siku zangu.naomba jmni ushauri wenu plz
1 Reactions
63 Replies
16K Views
Mwenye jibu la kisayansi anisaidie. Kama mama ananyonyesha mtoto mfano mwenye umri miezi 9 na kuendelea, akipata ujauzito, kuna athari zozote kuendelea kunyonyesha mwanawe?
0 Reactions
39 Replies
36K Views
Nina binti wa mwezi mmoja ratiba yake ya kulala ilikuwa nzuri tu na ya kawaida kama watoto wengine lakini cha kushangaza jana usiku hakulala kwa masaa kama sita yaani aliamka kama SAA tatu ya...
0 Reactions
3 Replies
802 Views
Habari zenu wanajukwaa, Kwa muda sasa nimekuwa nikijiuliza kuna uhusiano gani ulipo kati ya mkojo na ujauzito, kupima mkojo kwa wadada imekuwa njia mojawapo kubwa ya kujua kama mtu ni mjamzito au...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salamu kwenu JF Doctors, Naheshimu sana uwepo wenu katika jikwaa hili na natambua mchango wenu katika idara hii ya Afya, Naomba nijikikite kwenye swala lililonileta hapa, Nina mtoto mwenye umri...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Rejea tu Kichwa cha habari hapo juu halafu anza tu Kutiririka na Kuserereka zako tafadhali. Nawasilisha.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Sijui vinaitwa hivi vidude. Kila muda unapoensa ndio vinaongezeka. Msaada kama kuna dawa
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba kujua dalili hizi zinaweza kuwa ugonjwa upi.. -kuchoka mara kwa Mara na usingizi mzito -kuwa na hasira -kuwa na njaa muda wote hata kama chakula kikiliwa Nilikuwa napenda kufahamu ni...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Habari zenu nduguzang wana jf; Kwa ufupi zaidi nikama kichwa cha habari kisemavyo hapo juu Sio story dhahania hii, kwa vijana na wanandoa walioweng tatzo la kupoteza ham na hisia za mapenzi...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu msaada hapa Kwa wazoefu Alimaliza period yake tarehe 8 Na akasex tarehe 16 je kuna uwezekano wa Kupta ujauzto hapo maaana amesex Sku ya 8 baada ya kumaliza cku zake
0 Reactions
43 Replies
3K Views
Kama kichwa hapo juu kielekezavyo. Hivi ukipima B.pressure na kipimo kukuelekeza kama hivi hapa chini hua inamaanisha kitu gani haswa? .
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Najikita kwenye swali langu moja kwa moja bila kupoteza wakati. >>Nilifanya kipimo cha hiv test cha bio line. Nikasoma majibu ndan ya dk5 hadi 50 the answer wasa negative kwa maana ya line moja...
0 Reactions
47 Replies
9K Views
Wapendwa tupitie sehemu ya maandiko kuhusu vyakula visivyofaa kutumiwa na mwanadamu! Bwana akanena na Musa na Haruni, na kuwaambia. Neneni na wana wa Israeli, mkiwaambia, ,**Wanyama hawa ndio...
3 Reactions
41 Replies
11K Views
Wakuu matunda aina ya tende yana kazi gani ?na kwa siku ngapi yana fanya kazi ,na je mazuri kuliwa yakiwa mabichi su makavu ya supermarket? Juisi ya tende je iko vizuri ?
1 Reactions
12 Replies
30K Views
Samahani naomba kuuliza kwa wazoefu wa masuala ya ngozi. Akija mtaalamu, itapendeza zaidi. Nilikua napenda kujua kuhusu vidonge vya kufanya ngozi ing'are. Kama vipo, vinapatikana wapi na gharama...
1 Reactions
16 Replies
7K Views
Mchumba wangu anasumbuliwa na tatizo la kuwashwa sehemu za siri na maumivu makali wakati wa kujamiana. Naombeni msaada wa kitaalamu.
0 Reactions
8 Replies
20K Views
Nilichoma sindano mwezi Wa 9 mwaka Jana ikatakiwa kuisha mwez wa11 katikati ya mwez uo nilitakiwa niingie period but mpaka mwaka huu January sijaona ata tone la damu.nilivoona ivo nikaend kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wataalam wa afya. Sikio langu lilikua linawasha kwa muda mrefu na kutoa nta za langu tofauti na kawaida (zinaelekea na rangi ya usawa) Leo nilifanikiwa kumpeleka binti yangu hospital...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…