Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Hapa ndipo uwezo wa Mungu unapoonekana. Sijawahi kusikia daktari yeyote duniani akielezea kinga ya mwili aliyonayo mwendawazimu. Kwanini ipo tofauti sana! Wanakula vyakula vya hatari sana havina...
5 Reactions
29 Replies
3K Views
Madaktari mliopo humu Jamvini tunaomba msaada wenu tafadhali kwamba Kitabibu au Kiafya Binadamu anatakiwa kutumia muda gani Kutoa Haja Kubwa yake pindi awapo Chooni kwani kuna mahala fulani...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Habari wadau wa jf doctor Naombeni msaada kwani nakata tamaa kabisa ya kupata mtoto baada ya kusimama kwa hedhi yangu ...iko hiv nilibeba mimba mwaka 2015 kwa bahati mbaya mimba ilivyofikisha...
5 Reactions
33 Replies
8K Views
Habarini wadau Mke wangu ana ujauzito na tarehe ya matarajio ilikua ni tarehe 1 lakini naona siku zinaenda tu mtoto wangu hazaliwi kazi yake ni kurukaruka tu tumboni kwa mama yake. Je watalamu...
0 Reactions
59 Replies
17K Views
Poleni na kazi wanajamvi mimi shida yangu ni kwamba naumwa sana tumbo kwnye kitovu linavuta kama manati jamani nisaidieni korodani moja imepanda toka muda sasa na sometime nyngne huwa inapandag na...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Nitangulize salamu na heshima kwenu wana JF mimi ni mwanamme wa makamo ilipofika mwaka 2016 mwezi wa 8 nilifanikiwa kuuaga ukapela ilipofika mwaka 2017 mwezi wa 7 nilijaaliwa kuitwa baba kwa Mara...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari wakuu...!!! Heshima kwenu nyote, wadau na wapenzi wa jukwaa hili na JF's members wote kwa ujumla!! Shukrani za dhati na za kipekee kwa wale wote wenye moyo wa kujitolea maarifa...
0 Reactions
13 Replies
11K Views
Asalam aleykhum wana JF Doctor ninatatizo la kushindwa kusimamisha uume vizuri, ninapotaka kufanya jimai au ninapoona kishawishi chochote kitachonipelekea kupata hisia za mapenzi uume husimama...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Shukrani sana ziwaendee wakuu humu jamvini. Mwishoni mwa wiki iliyopita nilileta Uzi wangu humu kuhusu mke kuchelewa kujifungua hadi wiki la 41 mwishoni....nilipata ushauri safi na ulionifanya...
6 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari za asbh wataalamu wangu wa mambo ya kisayansi. Bila kupoteza muda naoma kuweka mada yangu(swali langu) kwenu, liko hivi: -Kama baba ni mchezaji wa mpira wa miguu namba kumi na moja(11)...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Naombeni msaada ndugu zangu. Nina mtoto wa kiume miaka 7 ana tatizo la kuvimba korodani moja ya kulia, kuna wakati inarudi kawaida ila Mara nyingi inavimba nimempeleka hospital wamesema ni henia...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Habari wapendwa humu, naomba msaada wa anaejua matibabu ya kupona kabisa uric acid ikiwa juu wilini, ninatatizo hilo mara kwa mara napima nakuta iko juu napewa dawa ya aloplunol inanisaidia kwa...
1 Reactions
3 Replies
5K Views
Wana Jf nimeona niwape ushuhuda baada ya kupona uti Kwa kunywa bia ya castle Kwa wiki kutwa Mara tatu. Nilifanya kama utani hivi sasa mkojo mweupe sio njano tena nikaenda Pima hamna uti.Jaribu...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni kama siku nne zimepita, ilikuwa jumanne this week usiku nilikunywa dawa za mafua za chenga chenga sijui trof zileee. Asubuhi niliamka ngozi inayofunika korodani imechubuka na niligundua baada...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Hatimaye baada ya vipimo/check up niliambiwa ni uvimbe unatokana na kuvizia damu eneo ilo. Sababu kasema ijapo watu wa tatizo wapo Mara kwa Mara ila sababu hasa ya uhakika haijajulikana. Akasema...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu JF, Kwanza kabisa habarini za miaka, nilipotea kwa sababu za mihangaiko ya hapa na pale. Nchi imegeuka na sasa ni kufanya kazi kwa bidii. Lakini pamoja na yote haya, kuna rafiki yangu ana...
5 Reactions
192 Replies
31K Views
Broccoli inafanana na cornflower isipokuwa ina rangi ya kijani. Inapatikana soko la Kisutu, Mwenge FAIDA ZA BROCCOLI MWILINI 1. Mfumo wa Neva: Inasaidia kufanya mfumo mzima wa neva kufanya kazi...
5 Reactions
12 Replies
23K Views
Ndugu wanajukwaa naomba niende moja kwa moja kwenye maada Kuna hili tatizo la kuota vipele vyenye kuwasha na pia husabisha hata nywele kutoota mahali vilipo tatizo hili linawapata sana...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wadau, Naomba msaada wenu. Nina UTI sugu, kila nikitibu baada ya miezi miwili inarudi tena. Nitumie nini kuitibu hali hii?
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…