Habari wana jamvi?nimekuwa nikiwaza na kuwazua juu ya hili jambo leo nimeona niliweke jukwaani ili watu waliokutana nalo au wenye uelewa waweze kunipa elimu.
Imenitokea mara kadhaa ninapo-kiss na...
Habari Jamii Doctor,
Ninasumbuliwa na vidonda vya mdomoni vinakuwa kama viupele halafu baadaye huwa vinaongezeka na kuwa kidonda kikubwa kiasi na kichwa kuuma na tumbo halafu mate huwa machungu...
Wakuu nimebakiza masaa 71 kujikinga na huu ugonjwa ndomu imepasuka nimegundua baada ya gemu kuisha mwenye kufahamu zinapopatikana hizi dawa anielekeze tafadhali
Nguvu za kiume ni nini?
Huu ni uwezo wa mwanaume kuweza kusimamisha uume wake na kuhimili mda mrefu kwenye tendo la ndoa bila kuchoka kirahisi.
Waswahili wanasema ni “uwezo wa gari kupiga starter...
Habari madaktari kama mada tajwa hapo juu nina zaidi ya siku 5 naamka asubuhi uume hausimami tafauti na awali hata kama nina mkojo je hili ni tatizo au ni hali ya kawaida naomba kujuzwa.
Wakuu salamu zenu
Wa Tanzania wenzangu kuna ndugu yangu anasumbuliwa sana na skio kuziba.Tumekwenda hospitalini tatizo wanalomwambia ni uchafu(wax material) ktk skio l
Umejaa,wakampa dawa inaitwa...
JE MLO GANI BORA KWA MAMA MJAMZITO?
Kipindi cha ujauzito ni kipindi ambacho mama mtarajiwa anatakiwa kupata mlo ulio kamili kwa muda sahihi na kiwango kinachotakiwa. Mlo kamili hutokana na...
Hamjambo wanajukwaa,
Kama tittle inavyojieleza,
Natafuta dawa ya kuzuia hisia za mapenzi yaani sitaki kushiriki tendo la ndoa katika maisha yangu yaliyobaki.
Je, kuna dawa yoyote naweza kutumia...
Habari za leo ndugu.
Nahitaji kujua hivi inaweza kunigharim shilingi ngapi kupima DNA? Nahisi nabebeshwa mzigo usio wangu hivyo nataka nipate uhakika ili kama ni mwanangu nimlee kwa moyo...
Za usiku wandug mim mwenzen Leo nimeenda zahanati kutkna na kuharisha sana Jana, sasa ktk kupima malaria, mkojo, na choo, majibu
Nimeambiwa Nina UTI na malaria ila kias au kiwango gan hapana na...
Habari zenu,
Shida yangu kubwa nilizaa mwaka 2015 mtoto akafariki ni opereshen nikaambiwa nitulie mwaka ndo niweze kuzaa tena, sasa kipind hicho sijatumia njia yoyote zaid ya kalenda, sasa wakat...
UPUNGUFU wa nguvu za kiume umekua ni tatizo kubwa sana nchini, kwa wanaume walio katika ndoa na hata wale ambao bado hawajaoa. Watu wengi wamekuwa wakisumbuka huku na kule katika kutafuta ufumbuzi...
Ze leo ndugu zamgu post kama ivyojieleza, ninamchubuko sehemu moja ambao unanitesa miaka nenda miaka rudi. Hauponi nimehangaika mahospitalini, Pharmacy lakini bado nikipata choo kigumu kidogo...
Wadau,
Najua humu kuna wajuzi. Mimi ni mnywaji sana wa hivi vinywaji vyenye vilevi (alcohol), lakini leo nilienda kupima sukari na Bp, sukari yangu imeonekana ipo juu na inakaribia kufikia kiwango...
Wakubwa.
kuna huyu Manzi alikuwaga rafiki angu enzi zile za tuition Mchikichini.
Mwaka huu mwezi wa tisa mwanzoni tulisex. Sasa leo kanicheki ananiambia J leo nilizimia.
nikastuka kidogo...
Salaam
Wandugu tatizo langu Ni Hili tumbo kunyonga ni kila chakula kilicho pikwa kwa mafuta kama wali Mboga zilizo ungwa....
Wataalamu tatizo Nini Hapo
Tiba yake Nini?
Asante