Na MWANDISHI WETU
SERIKALI ina kila sababu ya kuangalia kero ya maji nchini na kuitafutia ufumbuzi wa kina ikiwamo kutafuta njia bora ya kuhifadhi bidhaa hii muhimu.
Katika kuadhimisha wiki ya...
Kwa mara ya kwanza daktari wa Italia atajaribu kufanya operation ya kuhamisha kichwa kutoka kwa raia wa Urusi anaeugua ugonjwa wa kuharibu misuli yake(muscle wasting).
Team ya madaktari 100...
Tume Kua Tukiona Au Kusikia Kila Siku Kuhusiana Na Matibabu Au Dawa Zinazo Tolewa Na Madaktari, Wataalamu, Matabibu Zinazo Husiana na kukuza maumbile ya binadamu kama umme, makalio, matiti, unene...
kumezoeleka mtu aking'atwa na nyoka mguuni,mkononi mtu anafungwa kamba,nguo ili kuzuia sumu kutosambaa.
sasa je,nini cha kufanya endapo mtu aking'atwa maeneo hatarishi kama kichwani,ubavuni n.k...
Mwezi mrefu na mfupi huwa sijuagi...nimejalibu kufuatilia kwa makini kwa mfululizo ndani ya miezi mi3 ili nijue kama ifuatavyo:-
August nimeanza tarehe 23
September nimeanza tarehe 20
October...
Habarini wakuu,
Nimepata tatzo hapa, kwa bahati mbaya mke, amepaka hii dawa mtoto maeneo ambayo. Imekatazazwa kama kichwani na usoni, ndio gafla ameanza kulia.
Tumejaribu muogesha sana na maji...
Ndugu zangu nilikuwa nasumbuliwa na tatizo la mkojo kutoka kidogo kidogo yaani kila nikienda chooni mkojo hauishi. Nikaenda hospitali ya rufaa nikapimwa wakanikuta nina UTI sugu, nikaandikiwa...
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 26 sasa. Toka nianze kupata period haijawahi kutokea nikakosa period on time. Ila this time imekuwa tofauti. Ni miezi miwili toka nisex na mwezi uliopita nilipata...
Habari za wakati huu wapenzi wa JF,
Naombeni ushauri wenu sababu nina msichana wangu (mpenzi wangu wa kike) amekuwa akipata maumivu kwenye ziwa lake la upande wa kulia na ameenda hospitali...
Jamani sijui nitakuwa nimeenda nje ya thread hii lakini naomba kujua kitu kimoja ambacho kimekuwa kikinitatiza sana ukienda kununua dawa katika duka la dawa hususani zile wanazoweka katika vi...
Salaaaam jf baada ya kupata mimba ambayo hatukua tumepanga kwa sasa, tuliamua kufanya utaratibu wa kuiondoa ikiwa na wiki tatu tuu sasa kilichotokea ni huyu dada amevimba miguu na akitembea chini...
Hivi inakuaje mpaka binti wa miaka ishirini kisa ndoa/au umezaa watoto wawili watatu unakuwa kama bibi wa miaka hamsini...ndio majukumu au nini hii.....
Maana kuna binti hapa mtaani kwetu alikuwa...
Habarin wakuu,
Nimepata tatzo hapa,kwa bahat mbaya mke,amepaka hii dawa mtoto maeneo ambayo. Imekatazazwa kama kichwani,na usoni,ndio gafla ameanza kulia, tumejaribu muogesha sana na maji ndio...
Kitunguu maji hupikwa kama mboga na hujulikana kama ni aina moja wapo ya kiungo muhimu katika mapishi. Kitunguu kimethibitika kisayansi kuwa na manufaa makubwa sana katika afya ya mwanadamu...
Je ukiwa ICU....
Unaruhusiwa kuonana na Watu mara kwa mara?
Unaruhusiwa kupiga stori za Kufikirisha na Watu?
Unaruhusiwa kuzungumza na Watu na Kucheka sana?
Unaruhusiwa hata Kujinyoosha na...
Kuna uwezekano wowote mwanamke mjamzito kupoteza hamu ya tendo na akawa hana hata hisia? Hii imenitokea kwa wife ana preg ya karibu miezi mitatu hivi na tangu ameipata nimepigwa kibuti yaan...