Habari ya muda huu madaktari wa jf...,
Kama kichwa cha habari kinavyosema, huwa kuna fununu zinazosambaa kuwa kuna baadhi ya vyakula ukivila kwa wakati mmoja huwa vinaenda kutengeneza sumu kali...
JF doctors,
Naomba msaada kuna mzee flan mwenye umri wa miaka 70 anatokwa na mkojo, yani anaweza kukaa tu mkojo ukatoka wenyewe tatizo ni nini, sio mlevi wala mtumiaji wa dawa zozote za kulevya...
Habari za asubuhi wana jukwaa nina tatizo moja nimeliona kwa siku hizi mbili jicho linakuwa linawasha na nilipoangalia jicho moja nikaona zile nyama zinazokuwa pembeni kwenye kona ya jicho karibu...
Watu wengi huvumilia mkojo kwa muda mrefu kutokana na sababu mbalimbali. Baadhi wanaweza wakawa katika eneo ambalo hawezi kwenda haja ndogo lakini wengine ni uzembe ambapo wengi utakuta anaangalia...
naomba msaada kujua kwanini korodani yangu ya kulia huwa inapanda juu au kuingia ndani mara baada ya kumaliza kufanya ngono,huwa na maumivu madogo lakini yananinyima raha,mara nyingi hutokea...
Wadau habari za asubuhi,
Natumai mu wazima wa afya tele kabisa,
Swali langu ni kwamba kwa mfano mwanaume akitahiriwa wa umri wa miaka 18 je inachukua muda gani kupona kabisa?
Na ustaarabu gani...
Wakuu nimejiuliza nimekosa majibu, kwa sababu hapa JF kuna vichwa vya aina mbalimbali, natumai nitapata majibu na ufafanuzi mzuri.
1: Anayekunywa maji ya uvuguvugu alfajiri, na anayekunywa maji...
Jamani wanajamvi ukiona mtu mzima analia ujue kuna jambo nimekua nakosa raha kwa kutokwa jasho kwapani hata kama nimetoka kuoga kuna jamaa wakanambia eti kunyoa kwapa kutafanya tatizo liishe...
Ndugu wanajamvi salamu kwenu, niende moja kwa moja kwenye mada husika, nina mzazi wangu ambae amekua akisumbuliwa na maumivu ya mwili, na baada ya kupimwa sana kujua tatizo imegundulika ana...
Ukimeza karatas ya nailon
Haya yakufungia sugar
Meupe na co lizima n
Kidogo hata hakawez
Kuingia vijiko vya skar
Viwili,
je kuna madhara
Yoyote maana hisi
Kama nmelimezea kwenye
Chakula wakat...
Habari za sahizi wakuu!
Kuna Nadharia (Japo sina uhakika) kwamba mtu akilogwa yaani kulishwa atabaki kuumwa tumbo tu lakini Hospitali atakuwa Hatibiki..Je mtu wa dizaini hii anasaidikajee?
Pia...
Habari ndugu zangu,
Ni siku nyingi sasa mke wangu kila tukifanya tendo la ndoa baada ya kumaliza kiuno chake huwa kinauma. Ni tatizo gani na nini solution ambayo inaweza kumsaidia aweze...
Nimelalwa sana jamani nahitaji mtoto sasa nimepata mwanamke tunapendana, natafuta dawa ya kunitibu usenge sasa basi kuna siku naweza kufanya mapenzi na kuna siku siwezi.
Naombeni dawa nipo Dar...
Habari wana jamii forum , kuna Rafiki yangu wa kike anahitaji ushauri afanye nini,
ni hivi aliingia MP siku kumi na tano zimepita ila bado damu zinatoka kidogo kidogo na anahisi maumivu ya kiuno...
Habari wakuu!!
Niko nachota mchanga kwa kutumia koleo hapa Nyumbani, sasa kila ninapo chota huo mchanga kuna kelele/sauti Kali ya kuscrachi/ya mkwaruzo inatokea hii ni kutokana na huo mchanga...
Msaada tafadhali nina tatizo la muwasho wa Mkali kwenye mikono mbele na nyuma ya vidole pia kwenye nyayo za miguu nikijikuna kunatoka malengelenge please mwenye kujua dawa anisaidie
Sent using...
Habari za jioni wakuu…
Poleni na majukumu ya kulijenga taifa na kujitafutia chochote kile ili mkono uende kinywani.
Nia na dhumuni langu kuandika waraka huu, ni kupata usaidizi/ushauri na hata...
Taifa zima kila kona limeguswa na ugonjwa wa Lissu. Hata hivyo inatupasa tuwe na matumaini ya kupona kwake. Mara nyingi baada ya masaa 72 ya ajali au operation kupita kwa mgonjwa ambae yuko kwenye...