Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

wakuu habari za wakati huu? Mke wangu ana ujauzito wa wiki ya 38 na siku 2. Anatakiwa kusafiri kati ya Dar na Morogoro. Sababu ya kusafiri ni madai ya kua sitaweza kumtunza atakapo jifungua, ni...
0 Reactions
10 Replies
24K Views
Wakuu mnisaidie, nimejaribu sana hospital na dawa za hapa na pale. Mwanangu ana miaka miwili. Anajisaidia bila kusema kila baada ya nusu saa, tena kinyesi kidogo sana! Mwanzoni alikuwa akitaka...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wasalam wana bodi. Naomba ushauri, mke wangu analalamika vichomi vimezidi, mwili mzima. Hana amani na kwa kulalamika kwake nahisi vinammaliza. Sijui vinaumaje but i can emargine. Naomba kujua...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari waungwana wa jukwaa hili Nimeanza kukohoa ni wiki ya nne hii Mwanzo hali ilikua mbaya sana nilikua nakohoa mpaka nakosa usingizi hususani wakati wa usiku Nilikua nakohoa sana mpaka koo...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari wadau wa jf nilikuwa naomba kujua kuhusu hii genetic inayoitwa (eve gene) ambayo inasemekana ipo kwa mwanamke mweusi na pia wanasema mwanamke huyu mweusi ndio anaweza kuzaa mtoto mwenye...
0 Reactions
0 Replies
651 Views
Habari wana Jamvi kutokana na uzoefu wa kupiga nyeto takriban mwaka mmoja sasa nimeamua kujikana mwenyenyeeee kabisa. Nina kama niezi mitatu sasa tangu niache ponyeto lakini cha kushangaza usiku...
1 Reactions
31 Replies
7K Views
I hope you are doing well and heloing people i need your help last night was chating to my cousi brother and he was diagnosed since 2014 hiv possitive and when am talking with him the speck of his...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari za kazi wanajamii nauliza swali na tunahitaji majibu mimi na rafiki yangu tulikuwa tunazungumza kwa mbali kidogo kama umbali wa menza ya kulia chakula basi wakati anaongea nikahisi tembe ya...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Habari za maisha? Nilimpeleka mke wangu hospitali hivi karibuni. Alikua na vipele vidogo vidogo pembeni na kwa ndani ya sehemu zake za siri. Kabla hatujaenda hospital tuli-google kidogo tunajua...
0 Reactions
43 Replies
33K Views
Jamani kwema? My wife wangu ana mimba ya mwezi mmoja na robo tatu, sasa tumbo linamkata sana pia anatapika na kichwa kugonga mno, najua kuwa hivi vitu ni vya kawaida kwa miezi mitatu ya mwanzo...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Jamani kwema? My wife wangu ana mimba ya mwezi mmoja na robo tatu, sasa tumbo linamkata sana pia anatapika na kichwa kugonga mno, najua kuwa hivi vitu ni vya kawaida kwa miezi mitatu ya mwanzo...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari kinavyo eleza ni kwa mda gani mama mjamzito chuchu zake uanza kutoa maziwa. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, Leo mezani nawaletea akina dada njia kuu mbili za kufanya uke wako kua mdogo na wakubana. Njia ya kwanza: Chukua vitunguu swaumu menya yale maganda yake ndo dawa tosha...
4 Reactions
141 Replies
278K Views
Nimeona hata baadhi ya vyombo vya habari vikiandika kuwa ARVs ni dawa za kuongeza maisha kwa wenye virusi vya UKIMWI. Hii si sahihi na ni upotoshaji mkubwa. ARVs ni dawa za kutibu UKIMWI na hilo...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Ni kwanini asilimia 46 ya vinasaba vinapingà uhalalili wa mtoto kwa wazazi husika msaada plz Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Heshima kwenu wakuu, mwaka huu nimepitia mtihani mgumu mno na usioelezeka kirahisi, nilikutana na binti mmoja ambaye baada ya kufahamiana tukaanzisha mahusiano ya kimapenzi. Ilikuwa tarehe...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
wataalamu wa mambo habarini. mimi binafsi nadhani ukimwa hau ogopeki sana siku hizi. sijui kwanini hauogopeki kama miaka ya zamani kidogo? ......... watu wanauchukulia poa. au kwasababu ya...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Virusi hatari vinavyoweza kusababisha madhara kwa ubongo wa watoto vinaweza kusaidia kwenye matibabu mapya kwa saratani ya ubongo kwa mtu mzima, kwa mujibu wa wanasayansi nchini Marekani. Hadi...
0 Reactions
0 Replies
754 Views
Habarini ndugu zangu, mnamo mwaka 2009 nikiwa nasoma sekondari, shuleni kulitokea vurugu hali iliyopelekea kuteguka bega. Nilipata tiba hospitali ya morogoro nikawa vizuri, lakini baada ya wiki 2...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu mwanangu ana miaka 3 na hii ni mara ya pili nyama za pua zimerudi anakoroma anashindwa kulala vizuri hamu ya kula imepungua na unalia sana pale pumzi akivuta kwa shida. Akiwa mwaka 1...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…