Mke wangu amepimwa amkutwa na uvimbe kwenye Ovary ya kulia dokta anasema inabidi afanyiwe surgery
Kwa wale wenye utaalam na hili swala naomba msada wenu hivi hakuna dawa anazoweza kutumia uvimbe...
Salaam wanabodi,
Napenda kuwataarifu juu ya ujio wa madaktari bingwa wa MIFUPA, FIGO, MOYO, SARATANI (CANCER) na MFUMO WA MKOJO kutoka Narayana Health Hospitals-India.
Madaktari hawa bingwa...
Madaktari tafadhali nisaidieni. Mwanangu anaumwa macho yapata mwezi sasa. Yamekuwa mekundu na yanatoa machozi muda wote na pia ndani kuna usaha. Hospitali dozi kapewa lakini hajapona kabisa...
Wakuu hivi kawaida ya hedhi,kuvuja hasa huu mwezi Mke wangu imekuja kwa matone matone tu siku ya kwanza kdogo sana ya pili
Ndyo kabsa hamna.
By mm.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana jamvi
Ni wazi kuwa Ugonjwa wa dengu
Umekuwa hatari na umesababisha vifo vya watu we hapa nchini hasa Dares-salaam na umeendelea kusambaa mikoa ya Tanga ,pwani na zanzibar.
Pamoja na...
Habari wana jf doctor. Ninayo furaha kubwa sana kuwajulisha na kuwashukuru wote kwa wawazo yenu nilipoleta tatizo langu la kichwa. Wengi mlinishauri kuwahi hospitalini, nilifanya hivyo lakini...
Naomba msaada maana mwenza wangu analazimisha nimnunulie magic ashevie nywele za ukeni lakini mimi napatwa na wasi wasi nahisi labda anaweza kupata madhara
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafahamu fistula huwapata pia wanaume?
Madaktari bingwa wa upasuaji wa magonjwa ya njia ya mkojo wamesema ajali, saratani ya kibofu na magonjwa ya njia ya mkojo yamekuwa sababu za kasi ya kukua...
Wadau habari za muda huu?
Ndugu zangu kuna dada yangu alijifungua miezi miwili na wiki mbili nyuma kwa operation, wiki mbili hivi akiwa ameenda kutafuta huduma ya kupanga uzazi aliomba kwanza...
wakuu heshima yenu....naombeni tafsiri ya majibu yangu baada ya kufanya kipimo cha sperm analysis....ninampango wa kupeleka kwa daktari na shemeji yenu but nataka nijue nini maana ya haya majibu...
Naomba nisaidiwe!kwani nahisi kukauka kwa midomo na tumbo kuuma kwa mbaali upande wa kushoto pamoja na kukosa ladha yachakula chochote nnachokula!!nilienda kupima hospita!mkojo,typhod,malaria n...
Nina mke wangu anatatizo naombeni ushauri, mke huyu huwa anamzunguko wa siku 28 (hedhi). Kuna kipindi aliugua kama maupere mwilini, mfano wa surua, akanywa dawa za kienyeji, baada ya kunywa dawa...
Nawashukuru wote mlionipa ushauri kwenye hii post yangu Wanaume mnasababisha tuwe wanene, Mungu anawaona! kusema kweli imekuwa shida kwangu kupungua maana tatizo lipo palepale .Nimeona niache tu...
za leo.
Ni miaka mitano (5) sasa mgongo unaniuma sana tena mno. Wengi waliniambia kwa kua umetoka kujifungua, na nilijifungua kwa njia ya kawaida. kuna miaka mi2 nyuma uliacha sasaiv umeludia...
Wangwana kuna rafiki yangubkaniuliza suali hili:-
Mke wake amejiifungua kwa kawaida ila njia ilikia ndogo akaongweza na akashonwa vitango 7.
Hadi sasa ni siku ya 20 mwanamke alizuiya damu siku...
Wakati nasoma sekondari kuna dada alikuwa hadi anazimia mara adondoke yaani tabu tupu.
AKIPELEKWA HOSPT MADAKTARI WANATUULIZA je ana mpenzi?( maana tulikua tunatoka sehemu moja hivyo tulikuwa...