Naomba msaada ni vitu gani nitumie ili mfupa uunge haraka pia niliwekwa chuma baada ya kutoa wk iliyopita ile sehemu niliyotoa chuma imekakamaa sana na kuota vipele vilivyovilia maji nini...
Hii ni serious kidogo, kama huna mchango ni vyema ukapita sio laziama useme , sasa back to topic nina mke ambaye nina miaka naye kadhaa na sijawahi kutoka nje ya ndoa pia yeye naamini vivyo hivyo...
Fast facts on human papillomavirus
Here are some key points about human papillomavirus. More detail and supporting information is in the main article.
•Around 80% of sexually active men and women...
Matumizi Ya wipes yameonekana trending na modest sana kana kwamba watu wamefumbia macho side Effects zake kwa watoto wetu.Most of them are made of damaging Ingredients ambazo zina Longtime effects...
Naskia kuna watu wana tatizo la kupata choo,
Dawa: juice ya vitunguu swaumu nusu lita
Muda: Asubuhi kabla hujanywa kitu chochote ukae nusu saa ndo ule kitu kingine
Matokeo: dakika kumi
Nilijuaje...
Salaam wanajamvi,
Naomba nishee hii kitu cjui inanipata pekeangu au laa!! kila nikimaliza Ku do (sex) nasikia muwasho wa utamu ndani ya uume, I mean kwenye njia ya sperm huwa panawasha hadi...
Hivi karibuni niligundulika kuwa na Hypertention.Nimeambiwa nipunguze au kuacha matumizi ya chumvi.Ila nimesikia kuna chumvi maalum naweza kutumia!Mazoea mabaya sana ...kuacha chumvi ni changamoto!
Tatizo sugu na linalowaathiri wanaume wengi kwa sasa ni kukosa nguvu za kiume pamoja na kuwa na uume mdogo(kibamia) hivyo kushindwa kujiamini wakati wa tendo endapo tu watakuwa mechini na wanawake...
Habari za wakati huu wana jamvi.
Ni matumaini yangu mnaendelea vizuri na majukumu ya kulisaka tonge.
Nisiwachoshe sana nikachelewa kupata msaada ninaouhitaji kw ajili ya porojo zangu.
Ijumaa ya...
Wakuu habari zenu,
Kumekua na hivi vituo vya tiba mbadala na ukienda wanatoa huduma ya kupima mwili mzima,
Sasa nahitaji kujua kuhusu hivi vimashine(walioenda wanavijua) wanavokutumia kupima...
Habari zenyu wanaJF,
Ningependa kujua kama kuna duka/maduka yanayouza virutubishi au Supplements hapa Bongo kwetu. Kuna makampuni kama Ayurveda na mengine mengi tu yanayouza Hivi Virutubishi...
Habari wana Jf.. nina tatizo la kuwa na vipele vigumu kwenye kuta za mashavu ukeni. Nimekuwa nikisumbuliwa na hili tatizo kwa muda mrefu. Nimekuwa nikitumia dawa bila mafanikio.. mwanzon vilikuwa...
Asubuhi nashindwa kuamka kwa ajili ya mazoezi, nikiamka nashindwa kuvaa viatu naishia kuvaa open shoes. Nikiamka nasikia njaa inabidi nilijaze tumbo, nikilijaza nashindwa kutembea. Bodaboda...
TCU na NACTE pumzikeni kidogo mpumue
Wakuu mwalimu wangu wa bios o level alikuwa anatuambia mambo ambayo hadi sasa sijapata majibu..najua kuna wajuzi humu mnisaidie
1. Mtoto anaponyonya anapata...
MTOTO Flora William wa kijiji cha Mandi wilayani Babati, Manyara aliyezaliwa akiwa na ulemavu wa kutokuwa na sehemu ya haja kubwa, ameendelea kuteseka kwa miaka 15 sasa kutokana na wazazi wake...
Jaman mm nilikuwa napiga sana masterbation au kujichua sasa misuli ya uume wangu umelegea sana na ombeni ushahuri kwa yoyote anaejua dawa ili nilejee kama awali
Nimekua natumia tiba kwa miaka sita, naendelea vizuri, naogopa kuacha lakini kadiri mda unavyopita nguvu za kiume zinaisha.
Nifanyeje jamani? Msaada tafadhali, nipo mkoani.
HIJAMAH/ BLOOD CUPPING/ CHUKU AU KUUMIKA:
Kuna faida nyingi sana za kupiga chuku au kuondoa damu chafu mwilini. Hijama/ chuku hutibu maradhi mengi ndani ya mwili wa binadamu kama vile kuondosha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.