Dear jf members
Nina maumivu ya mgongo for long time nimejaribu kutumia mazoezi ya CERAGEM lakini siponi naomba kwa anaejua zaidi yaani panavuta na nikipagandamiza panauma kama mtoki vile...
Mtoto wangu ana shida ya Ngozi...anatokewa na vipele vinamwasha sana...ngozi inakauka na kukakamaa alianzwa akiwa na wiki 2 tukafikiri ni vipele vya joto lakini
vimeendelea mpaka sasa ana miezi...
5.UUME KUTOSIMAMA(ERECTILE DYSFUNCTION)
Huku ni kushidwa kuMantain erection,hii inatokana na uhaba wa damu kwenye mishipa ya uume maana Ili usimame unahitaji kiasi kikubwa cha damu..hii inaweza...
Swali No 1
Tafadhari naombeni msaada kwa yeyote anayejua nini chanzo cha mama mjamzito kutapika na kichefuchefu kila mara.
Kama kuna dawa please nisaidieni nijue kwani nina ndugu yangu anapata...
Habari zenu wakuu nilikua naomba madokta wa humu ndani mnisaidie kwenye haya matatizo mawili
Moja:na tatizo la kusahau sahau kwahiyo nilikuwa naomba mwenye kujua mwenye dawa naomba anisaidie...
Petroleum Jelly au Mafuta Mgando Yaligundulika Mwaka 1869 wakati drillers walikua wanachimba mafuta ndo wakakutana na hii byProduct Ya Oil,ni hydrophobic(inazuita unyevu-Unyevu) In nature ndo...
Habari wataalamu?
Ni hv juzi tu kama siku nne zimepita nilipata kipimo cha upt nikaona vimistari viwili kwamba nina ujauzito baada ya kuona nimepitiliza siku zangu kama wiki hivi, sasa cha ajabu...
Habari
Kwa siku kadhaa nimekuwa napata maumivu yasiyo makali wakati wa kukojoa na ninapotoa shahawa. Nimeangalia historia yangu mara ya mwisho kusex bila kondom ilikuwa august.
Msaada tafadhali
Wadau kama mada inavyojieleza hapo juu,nina mdogo wangu ni mjamzito wa miez mitano kamili,shida iliyopo ni moja tuu anatema sana mate mpk imefikia hatua anakuwa na kopo kila mahali anapokwenda au...
Kwa madaktari JF,
Je,mtu mwenye "white blood cells" chache mwilini na kadiri ya vipimo vya kitaalamu hana maaradhi yanayomsumbua kwa wakati huo,anapaswa afanye nini ili kuuwezesha mwili...
Wana wa Jf naumbuka mwenzenu, nina mke na wana 3.
Umri wangu miaka 50. Ni msaidizi wa Meneja kampuni fulani.
Nimekumbwa na tatizo uwezo wangu wa kumpa wife mchapo usiku umepungua.
Nilikuwa...
Madaktari nawaombeni msaada wa ushauri na tiba katika hili,nimeotwa na maupele madogo mgongoni yakifuata uti wa mgongo,
yanawasha,nikikuna yanazidi kusogea!!!!!!!nimepatwa na wasiwasi sana kwa...
,Natumai mu wazima wa afya
Mimi nina mke mke wangu yaan yeye toka siku alipogundulika kua ana ujauzito anatapika mfululizo non stop kwa siku ata mara sita,sometime anatapika nyogo kila...
Wakuu heshima kwenu
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ninawaomba wenye uzoefu wa mambo ya uzazi wanisaidie tips kuhusu dalili za uchungu wa kujifungua.
Wanadai kila Mwanamke Ana dalili zake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.