Wana Jf mimi nina mdogo wangu wa kike ambaye anatatizo la kuota vinyama kama vipele kwenye ngozi then vinakua vikubwa.
Mfano aliota vinyama sehemu aliyotoboa masikio sasa vinazidi kurefuka tu...
Wapendwa wana jf naomba msaada kwa yeyote mwenye ufahamu kuhusu dawa ainaya PREGABALIN nimeandikiwa dawa hizi jana kutibu maumivu ya kiuno lakini nilipo soma kikaratasi cha maelekezo nimetishika...
Nitajitahidi kuandika ufupi kwa kwenda moja kwa moja kwenye suala ambalo kwangu linanichanganya. Nina rafiki wa kike ambaye tumefahamiana kwa takribani miaka miwili na tumekubaliana tuwe wachumba...
By VERAH OKEYO
More by this Author
THURSDAY SEPTEMBER 22 2016
One Kenyan may soon place the country as the first nation whose citizen found a vaccine and a cure for HIV.
Prof Thumbi Ndung’u—...
Hizi dawa zimetengenezajwe maana mtu akianza kutumia mwili unabadilika gafla na kua mnene na kwa baadhi ya wanawake wanakua na makalio makubwa na hipsy? Pia kwa wanaume wanakua na kitambi je huwa...
Salamu wana JF.
Hivi Chanjo ni dawa au ni kitendo?
Mimi nilikuwa naaelewa kuwa ni kitendo lakini majuzi nimemsikia Waziri wa Afya akisema kuwa Serikali imeagiza Chanjo, nikatatanika.
Nasubiri...
Wakuu poleni,
Hivi katika sayansi ni kweli mwanamke mwenye mimba haruhusiwi kula asali nakumbuka kipindi niko mdogo kuna mama jirani yetu alikuwa ana mimba kuna siku walienda kurina asali...
NATUMAI MU WAZIMA.
Ndugu zangu ma dokta na manesi na wote wenye uelewa wa mambo ya afya naomba mnijuze hili swali linalonitatiza kwa muda mrefu sasa.
Kama habari inavyosema, wanene...
Nimekua nikisikia eti yale maji ya moto wanayokandwa wanawake wakitoka kujifungua huwa ni chanzo cha nyama za tumbo kukaa vibaya na pia huwa yanasababisha stretch mark kuonekana vibaya. Je mtu...
Wiki tatu sasa ghafla tu joints za kiuno hasa upande wa kushoto zinanisumbua mashindwa hata pandisha ngazi vyema najivuta tu na pia nashindwa hata fanya. Movement za miguu vyema.
Nilienda...
Habari wana jf
Mimi nina tatizo complicated kidogo but hope nitapata ushauri kwenu wadau
tatizo langu lilianza tangu 2014 ambapo nilianza kusumbuliwa na mgongo (yaani nilikuw naskia maumivu...
chukua ndizi mbili mbivu,kata vipande vidogodogo ,weka maji level ya hzo ndizi kwenye sufuria ,chemsha dakika 10
kunywa hayo maji
kalale baada ya dakika 20
utashtuka kesho saa nne
mimi...
kama swali linavyo jieleza hapo juu,kwanini mtoto mchanga anachomwa sindano kwenye paja katika muscle ya vastus lateralis na sio kwenye tako(gluteal muscles??
NB:Sitaki kuanza kuniambia niende...
Habarini wanajamvini
Nina rafiki yangu wa kiume 24 anasumbuliwa na
-maumivu makali wakati wa kukojoa
-kukojoa damu
-kukojoa kama usahaa
Na inafika wakati anakojoa mpaka anaanguka...
Imeelezwa kuwa kutozingatia sheria za ulaji wa vyakula na matumizi ya pombe kali vimechangia ongezeko kubwa la wagonjwa wa Figo nchini jambo ambalo ni hatari kwa taifa kutokana ugonjwa huo kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.