Wakubwa sijielewi kwani dakika tano ( 5 ) zilizopita na hata hivi ninavyoandika nimekumbwa na tatizo la ghafla ambapo Macho yangu yanawasha sana huku yanatoa machozi na siwezi ona kwa mbali. Je...
Wakuu poleni na kazi!!
Katika mfumo wa fahamu hivi kwenye sikio kuna njia yeyote inayopita hadi kwenye koo!!nauliza hivi kama kuna madoctor humu naomba kujuzwa kwa sababu mi jana sikio langu...
Wakati wote tumbo langu limejaajaa tu, ukila kidogo tu tumbo linajaa kupita kiasi, haja haipatkani unaweza utapata lakini ni kwa shida na Kwa mda mrefu, kuunguruma ndio saana na vichomi kiunoni...
Kichwa cha habari hapo juu chajieleza nilikua naomba kuelezewa nini chanzo au visabibishi vya tatizo hili la kupata over bleeding kwa wasichana au wanawake?
Kuuliza na je hili tatizo matibabu...
Leo nimeenda kuanza clinic nimepima vipimo vyotee na kuchoma chanjo lakini huwa naskia ukianza clinic unapewa dawa za kuongeza damu mie sijapewa kitu nimepangiwa tu tarehe ya kurudi is it right au...
Habari!
Naomba kusaidiwa/kufafanuliwa juu ya hili.
Mimi blood group yangu ni B positive na mume wangu ni O negative.Nimepata miscarriage mara 2.Je kuna uwezekano blood groups ikawa ni sababu ya...
Leo docta nimekuja na jambo ambalo limekuwa linanisumbua sana juu ya baadhi ya wanaume tena wengi upenda kuwa na wanawake wenye makalio makubwa tena docta wanawake wengine makalio yao imekuwa...
Licha ya mvuto yaliyonayo yakiwa kwenye jeans makalio makubwa ya wanawake ni kinga kwa kisukari na magonjwa ya moyo.
Wataalamu wa afya wanadokeza kwamba makalio ni muhimu kwa afya ya binadamu...
Wakuu,
Kwa zaidi ya miezi sita rafiki yangu wa karibu amekuwa akinieleza juu ya uhusiano wake na binti/dada mmoja mwenye umri ya miaka 27.
Sifa za dada.
Mrefu, maji ya kunde, mchangamfu, wowo...
LuSESYO campain yenye makao yake kyela mbeya ..inawakaribisha katika semina ya mafunzo juu ya tiba mbalimbali kutokana na mimea mbalimbali...inayofanyika tare 2 mwez wa kumi.kuanzia saa...
Jf Dr.
Naomba kuuliza, ni kawaida mwanamke kutokwa majimaji ukeni anapojisikia kufanya tendo la ndoa na majimaji huendelea wakati wa tendo ili kumuongezea radha.
Sasa swali langu ni kwamba...
Matunda yana faida nyingi sana za kiafya mwilini. Ukiachana na ladha tamu inayotokana na kula matunda, kila mtu anashauriwa ale matunda tofauti yasiyopungua matano (5) kwa siku ili kupata faida...
Habari wakuu mwenzenu nina kitabia cha kushindwa kurudia tendo endapo demu nimezoeana naye kwa muda mrefu,
Ila akiwa mgeni huweza kurudia hata mara 6 why inakuwa hivi?
Nimefanya nae mapenzi akiwa ovulation lakini baada ya siku chache alinza kuugua...akaenda kupima akaambiwa homa aliyonayo ni kwasababu ya ulcers...hvo kapewa dawa zinaitwa anti acid, amoxylin n.k...
Ninawapeni faida ya kujitibu maradhi ya kichwa kilichokushika gafla. Na Maradhi ya Stress Shika vidole vyako 2 kidole cha gumba na kidole cha shahada kwenye mkono wako kushoto bana kidogo huku...