Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habar zenu jaman naomba mnisaidie mwenzenu napata shida sana hasa pale nnapo tumia chakula mfano nyama ya ng'ombe au ya kuku nakua navimba shingo kupinda kwa tabu, mda mwengine nahic kama kuna...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Okro, also known as the “ladies finger” is a flowering plant in the mallow family. It is very nutritious as it is highly rich in carbohydrate, vitamins, water, and protein. But studies have shown...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
The President of Gambia has claimed he can cure AIDS…but only on Mondays and Thursdays. Yahya Jammeh has ruled the country since 1994 when he was swept to power following a military coup. During...
0 Reactions
0 Replies
747 Views
Mara nyingi nikipiga bao la kwanza napumzika karibu nusu saa ndo napata uwezo wa kuendelea na round nyingine, kwa maana kuwa baada ya bao uume unalala mpaka nusu saa ndio unasimama tena. Naomba...
0 Reactions
70 Replies
19K Views
Habari zenu madokta,naomba msaada wa kunisomea majibu hayo nimepata kutoka maabara ya lancert,nahisi maumivu japo sio sana napoenda haja ndogo,kuna ndugu kanishauri kufanya culture japo sijapitia...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wadau habari. Naombeni msaada wa kitalaam wa kitabibu.Wife alikuwa katika siku zake za hatari nilipohesabu kalenda ilikuwa ni siku ya 14.Nikatumia condom maana tunapanga uzazi ile namaliza tendo...
0 Reactions
7 Replies
12K Views
Kwa wajuzi nisaidieni, Mpenzi wangu kila akifika kileleni basi ni balaa anajisikia kichefu chefu tumbo linauma, anadai linakaza mno na pia anajisikia kuchoka kuliko kawaida, inafikia hatua...
3 Reactions
29 Replies
8K Views
Naombeni msaada wenu wa haraka ilipo hospitali ya ccbrt nahitaji kumpeleka mtoto kwa ajiri ya kuangaliwa miguu yake ambayo inamatege. Please i need your help hata ushauri pia. NB: mtoto ni wa...
0 Reactions
6 Replies
9K Views
Kwa wanaume wa nguvu, supu ya ngombe, kuku, mbuzi etc. ni muhimu sana kuboresha utendaji kazi mwilini na kujenga taifa kwa ujumla. Ufikifika kwenye hotel na migahawa hasa nyakati za asubuhi...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Naombeni msaada wakuu kwa mtu anaejua hili tatizo nikiwa natembea juani au hata nikiwa ndani joto lamwili likipanda napata muwasho mmoja waajabu sana mwilini. Yani naweza nikawa nipo ndani nikawa...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
TONGUE TIE/Ankyloglossia...ni hali anayozaliwa nayo mtoto ambapo kunakuwa na kinyama kidogo chini ya Ulimi kilichoshikana na Sakafu ya Mdomo(floor of the mouth) Hali hii huathiri makuzi ya...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Ivi inawezekana mwanamke baada ya kujifungua tumbo lake likawa gumu kama zaman?? Na ni nini chakufanya ili yale manyama nyama ya tumboni yaishe yani tumbo liache kulegea na kucheza cheza?
1 Reactions
9 Replies
9K Views
Habari Wanajamii! Pengine hii mada ilishawahi kupewa maelekezo hapa ukumbini ila kwa ugeni wangu mnivumilie kwa swali hili! Jana nilipata wasaa wa kushuhudia watu wanatibiwa kwa kutolewa sumu...
1 Reactions
103 Replies
42K Views
1. Ugonjwa wa moyo Kiasi kingi cha madini ya magnesium katika mbegu za maboga yanazifanya mbegu hizi kuwa mhimu sana kwa watu wenye magonjwa mbalimabli ya moyo. Madini ya magnesium ni mhimu kwa...
2 Reactions
9 Replies
13K Views
Habarini wataalam wa afya,,nimejitokeza hapa kuja kuomba ushauri wa kitaalam kuhusu tatizo la kifua,nasumbuliwa na kifua kukohoa kwa muda mrefu na muda mwingine huwa kuna kimruzi flani hivi...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Majani ya mpera; Yanaongeza wingi na uimara wa mbegu (sperm) kwa wanaume.
3 Reactions
53 Replies
9K Views
How many hours of sleep do you get at night? I hope your answer is between 7 and 8 hours per night. Sleep is not a luxury, it's a necessity to keep your body healthy, your energy bouncing and your...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani msaada pleasee kwa mwenye kujua dawa ya kuondoa maumivu ya miguu kwenye unyayo. Maumivu hutokea kila mara unapotaka kutembea baada ya kukaa hata kwa muda mfupi au kulala. Uzito wa mwili ni...
2 Reactions
1 Replies
8K Views
Ni pale ambapo kunakuwa na mkusanyiko wa maji kati ya kuta mbili zinazozunguka mapafu. Kujaa huku kwa maji husababisha mgonjwa kupata shida ya kupumua vizuri. Je mapafu kujaa maji...
1 Reactions
2 Replies
24K Views
wasalaaam wapendwa Naomba kujua jambo kuhusu hiki kipimo cha ukimwi sd bioline,ni kwamba kimeandikwa dont read result after twenty minutes it may give false result,ok nahitaji mnifamishe...
0 Reactions
16 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…