Mimi ni mtoto kipenzi katika familia yangu baba na mama wananipenda sana na hilo nalijuwa lakin kuna kitu cha ziada kinanisumbuwa sana kutokana nimejaaliwa uwezo kipesa na familia iko vema sana...
Alcohol inaweza kupita kwenye damu ya mama na kumfikia mtoto...
Madhara yake ni huwa inaathiri ukuaji wa chembe hai za ubongo, chembe hai za uti wa mgongo na chembehai nyingine za mtoto...
Katika hali ya kawaida ya binadamu muda wowote mtu waweza pata ajali au kupatwa na ugonjwa wa ghafla ukiwa mwenyewe mtaani au barabarani
Je kwa nchi kama yetu ambapo hakuna kitengo vya dharura...
Inasemwa kuwa ugonjwa wawatoto wenye vichwa vikubwa husababishwa na mama/mtoto kukosa FOLIC ACID, na folic acids hupatikana sana kwenye MBOGA MBOGA na MATUNDA.
Kwanini waathiriwa/wagonjwa wengi...
Mimi ni kijana wa kiume umri wa miake 26 ni na uzito wa kilo 62. Tatizo linalinipatani kuwa kadri muda unavuokwenda maziwa yangu yanazidi kuongeza hali inayonikosesha sana amani hata kuvua shati...
Wakuu ninaomba kujulishwa suala hili: Ni kwamba katika maisha ambayo nimeyazoea kwa sasa ni kwamba kila ifikapo jioni/usiku baada ya kazi zangu ni lazima nipate kilevi(angalau chupa 2 za bia) ndo...
Je Wajuwa ? ukikata kitunguu Maji nusu na Kukiweka kwenye chumba chako cha kulala. Kitakusaidia Sana Kitunguu Maji wakati
umelala Kufyonza Bakteria Wote ikiwemo kumaliza Tatizo la Mafua.
Habari wana jf,
Ndugu zangu ngiri imenikamata kweli kweli ngiri ya tumbo, yaani linauma ile mbaya toka juzi naombeni mnisaidie kujua dawa ya hii kitu, ngiri ya tumboni
Tunajaribu kutafuta ufumbuzi wa upatikanaji wa ushauri na habari za kiafya kwa ubora zaidi kuliko ilivyo sasa. Utafiti wetu umeonyesha kwamba ni tatizo kwa wengi wetu kupata ushauri au habari za...
Naomba kujua kama kuna kipimo cha kitaalamu kinachoweza kuonyesha kuwa mtu fulani katika kipindi fulani cha maisha yake aliwahi kutumia bangi au aina nyingine ya madawa ya kulevya.
nimewahi yumia dawa hii na kupata madhara kumbe nilikosea maelekezo, maelekezo sahihi ni haya
kumbuka kwamba dose moja kwa mtu mzima ni vidonge 4 na anatumia jumla ya dose sita yaani vidonge 24...
Big step towards cure for HIV and other lifelong viral infections
Date: August 3, 2016
Summary: New research has taken us a step closer to finding a cure for human immunodeficiency virus (HIV)...
Nilikuwa natazama juu kipindi mwanga unapotea. Sasa naona macho yangu yameharibika hata mishipa ya juu imevimba.. Msaada nini nifanya cha Haruka. Naogopa kupofiukA
Hii kitu unaongea na mtu jambo la msingi linalochosha mawazo, unashanga eti katoa sigara na kuiwasha, pafu 1, 2, eti mawazo yamepungua.
Niliwahi kuvuta mara moja nikaishia kaumwa na Kufua na...
PROSTATE CANCER TREATMENT
1. B-CAROTENE & LYCOPENE CAPSULE
:: supplements body with vitamin A
:: serves as a strong antioxidant which deactivetes free radicals
:: prevents cancer,especially...
Poleni na mihangaiko ya siku itifaki ikiwa imezingatiwa sitaki niwachoshe na maneno mengi.
Hivi ni kwanini Madaktari(baadhi) huenda kinyume na mahitaji ya wagonjwa wao? mfano halisi ni kwangu...
Habari za humu ndugu?
Straight to the point: Juzi nimefanya mapenzi na bae wangu, sasa tatizo limekuja pale wakati wa kubadilisha style, dushelele fasta inalegea au ukitoa nje ndani ya 15seconds...
Wengi tunafuga nyuki, tunakula asali lakini hatujui kama nyuki wana faida zaidi ya hizi hapa.
Wanasayansi kutoka chuo kikuu cha tiba Washington, Marekani wamegundua katika utafiti wao kuwa sumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.