Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Nina shida ya kutokupizi wiki ya tatu sasa napiga mzigo hata usiku kucha dudu hailali na haitoi kitu. Ni nini haswa kinasababisha? Ushauri tafadhali.
1 Reactions
26 Replies
6K Views
Napenda kuwatakia asubuhi njema kwa wale wote mlioweza kuiona siku ya leo na bwana awatangulie. Mimi ni msukuma by nature and nw niko miaka 27 binafsi yangu nimekulia usukumani ambako suala la...
0 Reactions
0 Replies
795 Views
Kuna ushauri na somo pia napenda kulijua na litanisaidia pia kufahamu hivi kiwango cha juu cha cd4 ni ngp? na je mtu akiwa na chini ya cd4 300 akianza dawa anaweza kusukuma kama miaka mingapi? na...
3 Reactions
49 Replies
14K Views
Katika utafiti uliofanywa kwa vijana 1,500 kuanzia miaka 20 na kuendelea huko Australia ilionesha kwamba asilimia 25 wana matatizo ya jogoo kuwika na asilimia 8 hali ni mbaya zaidi. Jogoo...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Naomba kufahamu matibabu ya ugonjwa wa tambazi ambao dalili zake ni maumivi ya mifupa ya mwili kwa ndani hasa mifupa ya mikono.... Ahsante
0 Reactions
1 Replies
11K Views
Kuna mtu anamimba inayokalibia miezi 9 anatatizo la kutokwa na majimaji kwenye uke ambayo hayana harufu, kwa anayejua sababu na suluhisho la hili tatizo anisaidie
0 Reactions
6 Replies
917 Views
Heshima yako Daktari Katika maisha yangu sijawahi kushuhudia kupatwa kwa jua "solar eclipse" lakini safari hii nimeletewa fursa adimu ya kushuhudia tukio hilo hapo kesho tarehhe 20. Pamoja na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ARVs now for any CD4 count. People living with HIV (PLWHIV) would from October start anti-retroviral treatment straightaway given any CD4 cell count upon testing, the government has announced...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Wakuu, Nahisi muwasho hasa kwenye korodani na nadhani ni 'fangasi'. Kama nipo sahihi nini tiba yake?
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Jamaa Yangu ameniambia mkewe amejifungua Mtoto hivi karibuni. Lakini Mtoto inaonekana ana tatizo la tumbo kuvimba eneo Kati ya kitovu na kifua, uchunguzi wa madaktari eneo alilopo umebaini kuwa...
0 Reactions
2 Replies
648 Views
Hivi hizi ARVs zimetengenezwaje maana si ni dawa kwanini mtu anameza huku anakunywa pombe na hafi?
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Habari waungwana, Shida ni kwamba, tangu jana joto la mwili limepanda sana ili hali sijisikii vibaya, niko sawa tu. Ila linaniletea hali ya uchovu sana kila wakati.. Je, nini tatizo/nini...
0 Reactions
16 Replies
14K Views
By DENISE ROLAND Aug. 28, 2016 2:40 p.m. ET 0 COMMENTS GlaxoSmithKline PLC is pinning the future of its HIV business on an audacious bet: upending the decades-old treatment strategy that has...
2 Reactions
4 Replies
876 Views
Naombeni msaada tafadhali mwanangu hataki kula kabisa ana miezi 11 na alikataa ziwa akiwa na miezi 6.. yaani kula mpaka umkabe natumia nguvu nyingi kumkaba mpaka nahisi namuumiza. Hataki maziwa...
0 Reactions
4 Replies
821 Views
mwenye uelewa na ugonjwa huu dalili zake na matibabu yake tafadhali naomba anijuze
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Kuna mtu wa kike wa rafiki yangu ana miaka mitatu yapo na tatizo la kutokwa na udenda mdomoni, Naombeni tumshauri tiba yake
0 Reactions
13 Replies
17K Views
Quinine yasababisha mtoto kuzaliwa kiziwi Na Veronica Romwald, Dar es Salaam MATUMIZI yasiyo sahihi ya dawa zenye sumu kali ikiwamo Quinine inayotibu malaria imetajwa kuwa hatari kwa sababu...
1 Reactions
7 Replies
5K Views
habari za kutwa wakuu.. jamani muda kama wa nusu saa iliopita nmepatwa na hali ambayo sijaielewa. Gafla tu moyo umeanza kwenda mbio sana alafu nikainuka nilipo nikawa sijielewi nataka kufanya...
2 Reactions
34 Replies
7K Views
Wakuu Habari Zenu!!! Hivi Ni Kweli Eti Gangrene (Donda Ndugu) Halitibiki??
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani natafuta doctor mzuri wa ngozi kwaajili ya kuondoa madoa meusi usoni au kama kuna mtu anajua dawa yake tafadhari msaada
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Back
Top Bottom